Askofu Mwamakula azungumzia "matembezi ya hiyari"!

kama umemuelewa vizuri Yuko tayari hata kutembea peke yake
Namkubali sana tena sana huyu baba, ni Mwenzetu wa kweli. Lakini kwa Watanzania, bado tunaogopa sana kufa, and the dictators is taking advantage of this! sijui tunatokaje hapa tulipo
 
Hakuna mwenye ubavu huo! Pia mnachodai hamkijui mnashinikizwa na wale wanaolilia nchi yetu ikumbwe na majanga! Maana wakoloni bado wanatamani nchi zetu - wanataka kututumia sisi wenyewe (Lissu) kupora!
Hamna cha katiba mpya mpaka tujiletee maendeleo. Hata ikibidi kidikteta - maendeleo kwanza, na wao (wazungu, wachina) walifanya hivyo mwanzo na kukataa kubughudhiwa. Sasa wameendelea, hawataki sisi kufuata nyayo zao. Maendeleo kwanza halafu mengine baadae.
 
Askofu anatafuta ulemavu wa kujitakia
 
Hata hili suala la katiba ni sehemu ya maendeleo ila tatizo wengi wenye kuitaka na ni kwamba huitaka ili kuwakomoa watu fulani na kuwadhibiti hilo ndio lengo lao kubwa na wasioitaka hiyo katiba ni kwa sababu ya kuepuka hayo mambo na ndio maana hili suala lilikwama.
 
Mayila: Je! Utaomba kibari kutoka Jeshi la Polisi?

Askofu Mwamakula: Hatuhitaji kuomba kibari, bali tutatoa taarifa sio tu kwa Jeshi la Polisi bali kwa umma wote wa Watanzania na dunia nzima!
Matembezi ya hiari yanaanzia wapi, saa ngapi mpaka wapi?

Mwambieni Askofu kwamba Polisi wamesema hata jogging tu ni marufuku maana “inaleta usumbufu kwa wafanya ibada”
 
Dah.... huyu baba askofu Mungu amtunze na kumbariki kwa mapana na marefu.
 
Reactions: BAK
Upumbavu nacho ni kipaji! Eti mnachodai hamkijui!!! Akili za wapi hizi? Au ni ngumbaru au ni ZERO BRAIN? 😳😳😳
 
Aisee...huyu Jamaa ni Mwamba kwelikweli...
Bila shaka hili ndo limefanya akamatwe..
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…