Askofu Mwamakula: DP World kujenga msikiti wa Masjid al jumaa wa Mbeya na kuendelea kusaidia dini ya kiislam nchini Tanzania!

Askofu Mwamakula: DP World kujenga msikiti wa Masjid al jumaa wa Mbeya na kuendelea kusaidia dini ya kiislam nchini Tanzania!

Mwaarabu ni mtu wa ovyo sana. Ukienda Singida, misikiti ni mingi sana kuliko hospitali na shule. Kila mtaa ni msikitini. Sawa ni vizuri wajenge hata hospital. Nilienda vijijini ndani kbsa misikiti ni mingi ila shule hakuna.
Wakishakuwa wengi wanaanza kuanzisha vikundi vya kigaidi km islamic state.
Hao DP nimewadharau sana, hata mzungu ataona aibu sana kujenga kanisa tu. Mzungu anajenga kanisa, hospital au shule.
Mikoa ambayo kuna waislam wengi hakuna maendeleo
Arusha, kilimanjaro na Bukoba na Mbeya kuna maendeleo sababu ya Wazungu wa mwanzo.
 
Hakuna alichokosea Askofu Mwamakula, usimfundishe uoga au unafiki, muhimu jiulize, hicho alichosema hapo kina ukweli au hakina?

Kama ni kweli alichosema, kwamba hao waarabu wameahidi kujenga msikiti Mbeya, unataka afiche kusema ukweli kwa sababu gani? ukweli lazima usemwe hata kama mchungu, hiyo ndio maana halisi ya kuwa kiongozi wa dini, na sio huyo Mwaipopo na utapeli wake.

Hao waarabu ni matapeli, wanaotumia faida ya huo utapeli wanaotufanyia kuwajengea msikiti, na kama huo msikiti unajengwa kwa kipato haramu cha utapeli halafu bado mnashangilia, nyie mnaonesha liko tatizo somewhere upstairs.
Jamii ya watanznia wengine ni watu wa hovyo.

DP wameahidi wenyewe live bila chenga sasa mtu anatutarifu tu kuwa wameahidi misikiti anakuja mtu anasema .........😅
 
Ndio maana tunasema kila mtu afanye yake katika dini yake yanayompendeza !!
Pilipili usioila inakuwasha nini !!

Msitugawe kwa misingi ya kidini Hatutaki !!
Siyo kuwagawa, mezidi ujinga sana. Gadhafi alipokuja alijenga msikiti na kisima cha kujitawazia.
Maisha ni zaidi ya kuswali na kujitawazia ndiyo maana wakristo (wazungu) wanajenga makanisa na hospital.
Hata elimu dunia mnayopata kwasababu mnaishi na wakristo bila hivyo mnakuwa na elimu ya madrasa. Zanzibar ingekuwa ina wakristo wengi ingekuwa ina maendeleo sana.
Umewaona ndugu zako wa Afghanistan?
 
Sidhan sana lkn inawezekana! wachangiaji wengi wapo ndani ya mjadala ambao kiujumla hakuna anayejua, isipokuwa unatumika udhoefu wa hisia za watu binafsi na kupitia mawazo ya wengine, hili swala wapo wakulisemea ,kwasisi tulipo nje ya uwanja ni wapinzani Kwenye mada ambayo hadhina yake ni wananchi wenye nchi na mashabiki kwenye mada ambao hadhina Yao ni umiliki! Swala la UDINI ni mitazamo ya watu wenye hisia na mihemko ya kidini, , sijapinga mada, sauti yako ya maandishi imewagusa wafia nchi! Karibu sana Afrika mpya.
 
Sas em niambie kwa kina huo uharamu wa hizo ili kila mtu afaham.
Uharamu uko hapa, hao waarabu kwenye ule mkataba wa hovyo, hakuna pesa yoyote watakayotoa kwenye serikali yetu, mfano kodi, hii kodi ambayo ni haki yetu waliyotunyima hao matapeli, kwa ushirikiano na ujinga wa viongozi wetu, ndio inaenda kuwajengea nyie msikiti mnaoshangilia hapa.
 
Bahati nzuri napenda kujifunza mambo mapya.

JE NI KWELI HGA HAIWEZI KUBADILISHWA KAMA IKITOKEA IGA INAMADHAIFU?

KAMA NDIO! HIZI KELELE NI KWA AJIRI IPI,IGA IFUTWE KABISA ILI TUJE NA IGA NYINGINE?

KINACHOZUIA MADHAIFU YA IGA YASIONDELEWE KWENY HGA NI KIPI?
IGA kwa kifupi ndio chimbuko la makubaliano mtayoenda kuyafanya mbele ya safari, kwa maana nyingine ni kwamba, huwezi kutoka nje ya mlichokubaliana IGA ukienda kwenye HGA, au niseme, kwa ile IGA sisi tayari tumeshajifunga, hatuwezi tena kutoka nje ya ile IGA bila kukubaliana na mwarabu.

Ndio maana pale chini ya IGA, kuna saini ya Samia na Mbarawa.
 
Siyo kuwagawa, mezidi ujinga sana. Gadhafi alipokuja alijenga msikiti na kisima cha kujitawazia.
Maisha ni zaidi ya kuswali na kujitawazia ndiyo maana wakristo (wazungu) wanajenga makanisa na hospital.
Hata elimu dunia mnayopata kwasababu mnaishi na wakristo bila hivyo mnakuwa na elimu ya madrasa. Zanzibar ingekuwa ina wakristo wengi ingekuwa ina maendeleo sana.
Umewaona ndugu zako wa Afghanistan?
Dini za wazungu na waarabu hizo !!
 
Hilo haliwezi kutokea, masuala ya nchi hayawezi kutugawa mpaka kufikia huko. Kikubwa tunajua nyinyi wagalatia ni wabinafsi basi tutaenda hivyo hivyo mpaka mnyooke.
Mnaogopa maana mkipewa nchi lazima iwe kama Somalia ndani ya miaka 2
 
Sidhan sana lkn inawezekana! wachangiaji wengi wapo ndani ya mjadala ambao kiujumla hakuna anayejua, isipokuwa unatumika udhoefu wa hisia za watu binafsi na kupitia mawazo ya wengine, hili swala wapo wakulisemea ,kwasisi tulipo nje ya uwanja ni wapinzani Kwenye mada ambayo hadhina yake ni wananchi wenye nchi na mashabiki kwenye mada ambao hadhina Yao ni umiliki! Swala la UDINI ni mitazamo ya watu wenye hisia na mihemko ya kidini, , sijapinga mada, sauti yako ya maandishi imewagusa wafia nchi! Karibu sana Afrika mpya.
Hata mzungu angeona aibu sana kujenga kanisa pekee.
Ukienda Ndala (Tabora) kijijini kuna kanisa kubwa la Roman na Hospital ila ukienda kwa Mwaarabu kuna msikiti mkubwa na kisima cha kujitawazia.
Tanzania kuna misikiti mingapi? Wanazidiwa akili hata na Mwamposa aliyejenga Hotel?
Huwa natembea Singida mpk inatia huruma, kuna misikiti mikubwa na mizuri sana ila hakuna hospital hata moja iliyojengwa na muislam. Njoo kwenye hali za kiuchumi za waislamu ni mbaya sana. Ukiumwa utaenda kujitawaza msikitini?
Huu mkataba ndiyo maana unapigwa vita. Mwaarabu akikusaidia sana atakujengea msikiti na kisima cha kujitawazia.
 
Mabeberu hawana akili km za waarabu. Muarabu ni mtu wa ovyo sana na hii ukitaka kujua nenda sehemu ambazo kuna waislamu wengi hakuna maendeleo. Zanzibar, Tanga, Tabora, Pwani, Lindi, Mtwara, Singida na Shinyanga mjini. Muarabu muislamu atakujengea msikiti na kisima cha kujitawazia.
Beberu Missionary anakujengea kanisa, shule na hospitali.
Panda gari mpaka makuyuni (Arusha), panda gari mpk Karatu mjini kisha panda gari kwenda Mang'ora, shukia barazani. Ni porini haswaa
Utakuta kuna kanisa kubwa la Roman Catholic na hospital. Hatua km mita 200 kuna msikiti wa waislamu mkubwa na kisima cha kujitawazia.
Sikatai kujenga msikiti ila maisha ni zaidi ya msikiti,wajenge hospitali au hata hotel km mwamposa itasaidia kuongeza ajira na vipato vya watu
Mbona uarabuni na nchi za kiafrika za waarabu mbona ni matajiri.
 
Dini za wazungu na waarabu hizo !!
Bora hata mzungu kuliko muarabu. Mwaarabu anakujengea msikiti na kisima cha kujitawazia halafu mzungu anakujengea kanisa, hospital na shule.
Wazungu walipokuja kutawala tanganyika walijenga makanisa, shule na hospital ila muarabu alijenga msikiti na kisima cha kujitawazia. Gadhafi na jina lake kubwa anajenga msikiti na kisima cha kujitawazia.
Sehemu ambapo kuna waislamu wengi hakuna maendeleo. Lindi na Mtwara mpk aibu.
 
Mapango na miti yetu tumeiacha 😅😅🙏🙏
 
Nilishasema mwanzo hili suala limeingia udini ndani yake, wakristo hawaitaki DP World kwa sababu ya uislam.

Wagalatia wana roho mbaya sana.
Badala ya kujenga shule nyingi na vituo vya afya,mnaangaika na misikiti
 
Bora hata mzungu kuliko muarabu. Mwaarabu anakujengea msikiti na kisima cha kujitawazia halafu mzungu anakujengea kanisa, hospital na shule.
Wazungu walipokuja kutawala tanganyika walijenga makanisa, shule na hospital ila muarabu alijenga msikiti na kisima cha kujitawazia. Gadhafi na jina lake kubwa anajenga msikiti na kisima cha kujitawazia.
Sehemu ambapo kuna waislamu wengi hakuna maendeleo. Lindi na Mtwara mpk aibu.
Mwarabu Hana maajabu yoyote,amekaa pwani ya Afrika Mashariki miaka kibao hakuna la maana aliloliacha zawadi ya majina ya kiarabu na magofu ya nyumba
 
Kwani Mimi ni muslamu wote tunapinga mkataba mkataba ila mnapoingiza mambo ya dini mnasabisha hata waislam wanaopinga waone tunaajenda binafsi
 
Hata mzungu angeona aibu sana kujenga kanisa pekee.
Ukienda Ndala (Tabora) kijijini kuna kanisa kubwa la Roman na Hospital ila ukienda kwa Mwaarabu kuna msikiti mkubwa na kisima cha kujitawazia.
Tanzania kuna misikiti mingapi? Wanazidiwa akili hata na Mwamposa aliyejenga Hotel?
Huwa natembea Singida mpk inatia huruma, kuna misikiti mikubwa na mizuri sana ila hakuna hospital hata moja iliyojengwa na muislam. Njoo kwenye hali za kiuchumi za waislamu ni mbaya sana. Ukiumwa utaenda kujitawaza msikitini?
Huu mkataba ndiyo maana unapigwa vita. Mwaarabu akikusaidia sana atakujengea msikiti na kisima cha kujitawazia.
Wakiristo kwa ujumla huwa Wana ufikirio na kutaka kuwa Karibu na wenzao wa kiislam; ona Magufuli mpaka alichangisha kanisani kujenga msikiti chamwino, huwa wanavaa mavazi ya kiislam, Vatican iliikubalia Serikali ya italii kukajengwa msikiti maeneo ya Karibu ya Vatican (uliza kama makanisa yanaruhusiwa huko Saudia) huko Pemba tu juzi juzi walikataa Kanisa lisijegwe Pemba.
Yote hii ni kwa sababu Quran inawakataza Waislam kuwa na urafiki na wakiristo na wayahudi.
 
Mbona uarabuni na nchi za kiafrika za waarabu mbona ni matajiri.
Waislamu wa kweli ni waarabu (weupe) na Quran ni ya waarabu (weupe).
Mwaarabu mweupe anajua kuna maisha baada ya kuswali na kujitawaza kwahiyo atajenga shule, hospital n.k ndiyo maana nchi za waarabu weupe kuna maendeleo.
Mwaarabu mweupe anamchukulia mwaarabu mweusi ni nyani na mtumwa wake ndiyo maana hataki uende kwao kama Tunisia wakihofia wataharabu uarabuni wao weupe utapotea ndiyo maana hata watumwa wa kiafrika walikuwa wanahasiwa ili kizazi chao kisienee na wakati mwingine uawawa.
Mwaarabu mweupe hapendi kumuona mwaarabu mweusi anajua Quran yake ndiyo maana anakulazimisha utumie lugha yake ili usiendelee kujua, atakujengea msikiti na kisima cha kujitawazia kwasabbu ww ni mtumwa wake na usiwe na maendeleo. Gadhafi alipokuja alijenga msikiti. Je, maisha ni kuswali na kujitawaza? Ukiugua utaenda kujitawaza ili upone?
Unaweza kunitajia nchi ya waarabu weusi wenye maendeleo?
Kwa wajinga wa waarabu weusi hujilinganisha kama na wao waarabu weupe.
 
Gadhafi kaja Tanzania kajenga msikiti mkubwa na kisima cha kujitawazia.
Ni vizuri ila kuwa na nyumba za ibada nyingi siyo maendeleo ila ukiwa na shule na hospital ni maendeleo. Angejenga hospital kubwa ingesaidia sana.
Ukienda Mang'ora kuna Kanisa kubwa la roman catholic na hospital halafu kwa pembeni kuna msikiti mkubwa na kisima cha kujitawazia.
Ukiuugua utaenda kuswali msikitini?
Yani waislamu wa Tanzania sijui nani kawaambia kuwa mahitaji na maendeleo ya waislamu ni misikiti tu,yani wao hawahitaji huduma za afya wala elimu. Halafu cha ajabu bora hiyo misikiti ingekuwa inajengwa sehemu zenye uhitaji kweli wa misikiti kama vijijini huko ila unakuta misikiti yenyewe inajengwa mijini unakuta eneo moja misikiti kibao.
 
Kwani Mimi ni muslamu wote tunapinga mkataba mkataba ila mnapoingiza mambo ya dini mnasabisha hata waislam wanaopinga waone tunaajenda binafsi
Ajenda binafsi anayo huyo anayekuja nchini kwetu halafu anatubagua.Angejenga shule au hospital uone kama udini ungeongelewa.
 
Back
Top Bottom