Askofu Mwamakula: DP World kujenga msikiti wa Masjid al jumaa wa Mbeya na kuendelea kusaidia dini ya kiislam nchini Tanzania!

Zingatia neno wameombwa,mnaweza kuomba pia.

TUJIKITE KWENYE MADHAIFU YA MKATABA ILI HGA IKITOKA IWE STRONG ,NA IMAN SERIKAL ITATUSIKIA
Haya mambo wewe bado sana, huwezi kuwa na IGA mbovu ambayo ndio kama msingi, hqlafu utegemee HGA nzuri, upo gizani sana, kama pangekuwepo na hiyo second chance, hayupo ambaye angepiga kelele.
 
Naona unapiga kelele kwa herufi kubwa.

Iko hivi, hizo pesa za hao matapeli mnazofurahia kujengewa misikiti ya msaada, ni haramu, hiyo tayari itakuwa najisi kwa hilo jengo, ila kwa upeo wako wa kuchekelea misaada, huwezi ona hili.
Sas em niambie kwa kina huo uharamu wa hizo ili kila mtu afaham.
 
Kampuni ya DP World ambayo katika Mkataba wa Bandari kati ya Ufalme wa Dubai na Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa kuendesha Bandari zote Tanzania Bara (Tanganyika) inatumia faida inayopata katika biashara zake kusaidia misikiti na Waislamu kwa ujumla.

Mwaka huu wakati wa mfungo wa Radhamani, wawakilishi wa DP World walitembelea Mbeya ambako waliahidi kujenga Msikiti wa Masjid Al Jumaa na misaada mbalimbali. Baada ya hapo walisema wanakwenda Zanzibar ambako nako pia watafanya hayo hayo.

Video:
Video hii imerekodiwa kwa lugha ya Kingereza na Kiswahili na ilichukuliwa Mkoani Mbeya! Je, ulijua kuwa Kampuni ya DP ina malengo pia ya kukuza Uislamu mahali popote pale inapokuwa duniani? Je, ulijua kuwa DP World ina malengo ya kidini? Je, unafikiri hii ndiyo sababu Sheikh Mwaipopo alitoa kauli kali ya kutisha na kuonya Waislamu wasihudhurie Mkutano wa Temeke wa 23 Julai 2023 uliolenga kujadili na kuhoji Mkataba wa Bandari unaolalamikiwa sana?

Je, unafikiri kwa nini wawakilishi wa DP World walipofika hawakutembelea Makanisa, viwanja vya michezo, vyuo vikuu badala yake waliamua kutembelea Misikiti na kuahidi kutoa misaada huko? Je, faida watakayopata DP World katika kuendesha Bandari zetu itatokana na Kodi za Waislamu pekee?

Je, unafikiri moja ya sababu za Spika Dkt. Tulia kuutetea Mkataba wa Bandari na kufikia hatua ya kuwaita wanaoupinga kuwa ni 'wapumbavu wasiosha upumbavu wao' ni pamoja na hao DP World kutembelea Mbeya na kuwasidia wapiga kura wake Waislamu kwa kuaahidi kuwajengea Msikiti wa Masjid Al Jumaa?

Usimkarikie Askofu Mwamakula kwa kuandika haya na kuweka video hii hapa, wakasikirikie DP World kwa kuweka malengo yao wazi kuwa wanasaidia misikiti na sio dini nyingine. Pia, walaumu waliovujisha video hii hadi ikamfikia Askofu. Je, ni nani sasa anayeleta udini katika mjadala huu wa Mkataba wa Bandari? Je, ni DP World au wanaoupinga Mkataba wa Bandari?

Je, kuweka hadharani habari hizi ni uchochezi, uhalisia au uzalendo? Je, ni kwa nini viongozi wa Serikali na CCM hawaweki wazi wananchi katika mikutano yao ya hadhara kuwa faida mojawapo ya DP World ni pamoja na kujenga misikiti na kusaidia Uislamu? Je, ni kwa nini hili linafichwa wakati liko wazi hata katika malengo ya DP World? Kama Serikali haikujua malengo hayo, Waarabu hao wangesafiri hadi Mbeya kwa kificho na kuahidi kujenga misikiti nchini?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 26 Julai 2023; 07:55 am.
Udini udini udini Acheni ubaguzi wa dini hakuna kanisa wala msikiti unaogawa pesa za kula kwa waumini wao !!

Yanayotolewa siku zote na miaka yote ni majengo ya kufanyia ibada na kukusanyia sadaka !!

Kwahiyo usione wivu waarabu kuwajengea misikiti waislamu kwani hata wazungu ambao wamemiliki migodi ya Nchi hii tangu hata kabla ya Uhuru ndio hao hao wanatoa misaada ya kujenga nyumba za kufanyia ibada tu na sio kugawia waumini wao chakula !!
Musitugawe kwa misingi ya Dini ! Hatutaki kabisa !!
 
Misikiti ipo na vijana hawaendi kuswali hivyo tatizo sio misikiti, sehemu kama ilala(Dar) kuna misikiti kama 9 yani unaamua tu uswali msikiti gani ila bado vijana hawaendi kuswali.

Ifike wakati waislamu waache kukariri kujenga na kurembesha tu misikiti tu wakati waumini wenyewe hata elimu ya kuabudu vizuri hawana.
Haya ndo mawazo tunataka.
 
Kwani wakijenga misikiti shida nini, mabeberu nao si watajenga makanisa
Mabeberu hawana akili km za waarabu. Muarabu ni mtu wa ovyo sana na hii ukitaka kujua nenda sehemu ambazo kuna waislamu wengi hakuna maendeleo. Zanzibar, Tanga, Tabora, Pwani, Lindi, Mtwara, Singida na Shinyanga mjini. Muarabu muislamu atakujengea msikiti na kisima cha kujitawazia.
Beberu Missionary anakujengea kanisa, shule na hospitali.
Panda gari mpaka makuyuni (Arusha), panda gari mpk Karatu mjini kisha panda gari kwenda Mang'ora, shukia barazani. Ni porini haswaa
Utakuta kuna kanisa kubwa la Roman Catholic na hospital. Hatua km mita 200 kuna msikiti wa waislamu mkubwa na kisima cha kujitawazia.
Sikatai kujenga msikiti ila maisha ni zaidi ya msikiti,wajenge hospitali au hata hotel km mwamposa itasaidia kuongeza ajira na vipato vya watu
 
Naona unapiga kelele kwa herufi kubwa.

Iko hivi, hizo pesa za hao matapeli mnazofurahia kujengewa misikiti ya msaada, ni haramu, hiyo tayari itakuwa najisi kwa hilo jengo, ila kwa upeo wako wa kuchekelea misaada, huwezi ona hili.
Ni sahihi bora wangezipeleka madhabahuni wakaungame, Rugemalila yeye alizipeleka MKOMBOZI BANK na nyingine akazitolea sadaka fungu la Kumi hawa kina yakhee wao wanaenda kujenga Misikiti na nchi yetu haina dini ila dini ya kikatoliki iliyotuletea elimu dunia
 
Udini udini udini Acheni ubaguzi wa dini hakuna kanisa wala msikiti unaogawa pesa za kula kwa waumini wao !!

Yanayotolewa siku zote na miaka yote ni majengo ya kufanyia ibada na kukusanyia sadaka !!

Kwahiyo usione wivu waarabu kuwajengea misikiti waislamu kwani hata wazungu ambao wamemiliki migodi ya Nchi hii tangu hata kabla ya Uhuru ndio hao hao wanatoa misaada ya kujenga nyumba za kufanyia ibada tu na sio kugawia waumini wao chakula !!
Musitugawe kwa misingi ya Dini ! Hatutaki kabisa !!
Sehemu ambazo kuna waislamu wengi hakuna maendeleo kuna misikiti mingi na visima vya kujitawazia. Maisha ni zaidi ya nyumba za ibada. Ukiswali na kujitawaza halafu kinachofuata?
Mnazidiwa akili hata na Mwamposa aliyenga Hotel? Watu wamepata ajira na uchumi wa hilo eneo unakuwa.
Ukienda Mwanza kuna kanisa kubwa Roman Catholic, mita km 500 kuna shule ya missionary.
Nenda Tabora, ndala kuna kanisa kubwa la Roman Catholic halafu kuna hospitali ya Mission ya Ndala.
Nenda kwa nyumba ya Mwaarabu msikiti kuna msikitini mkubwa na kisima cha kujitawazia.
 
Haya mambo wewe bado sana, huwezi kuwa na IGA mbovu ambayo ndio kama msingi, hqlafu utegemee HGA nzuri, upo gizani sana, kama pangekuwepo na hiyo second chance, hayupo ambaye angepiga kelele.
Bahati nzuri napenda kujifunza mambo mapya.

JE NI KWELI HGA HAIWEZI KUBADILISHWA KAMA IKITOKEA IGA INAMADHAIFU?

KAMA NDIO! HIZI KELELE NI KWA AJIRI IPI,IGA IFUTWE KABISA ILI TUJE NA IGA NYINGINE?

KINACHOZUIA MADHAIFU YA IGA YASIONDELEWE KWENY HGA NI KIPI?
 
Mabeberu hawana akili km za waarabu. Muarabu ni mtu wa ovyo sana na hii ukitaka kujua nenda sehemu ambazo kuna waislamu wengi hakuna maendeleo. Zanzibar, Tanga, Tabora, Pwani, Lindi, Mtwara, Singida na Shinyanga mjini. Muarabu muislamu atakujengea msikiti na kisima cha kujitawazia.
Beberu Missionary anakujengea kanisa, shule na hospitali.
Panda gari mpaka makuyuni (Arusha), panda gari mpk Karatu mjini kisha panda gari kwenda Mang'ora, shukia barazani. Ni porini haswaa
Utakuta kuna kanisa kubwa la Roman Catholic na hospital. Hatua km mita 200 kuna msikiti wa waislamu mkubwa na kisima cha kujitawazia.
Sikatai kujenga msikiti ila maisha ni zaidi ya msikiti,wajenge hospitali au hata hotel km mwamposa itasaidia kuongeza ajira na vipato vya watu
Umezungumza vizur. Lakin faham wanaomba misikiti ni waislam wenye don't blame warabu. Hapa shida ni vipaumbele japo misikitin ni muhimu.

Kuna vyuo, mashule vimejengwa kwa ufadhiri wa warabu

NOTE;UTAKACHOOMBA NDIO UTAKACHOPEWA
 
Charity Organisations za Wazungu ziko kama zote,hao unaowataja wanatoa misaada kiserikali sio misaada ha kibinafsi.

Mwisho kwani DP World kama kampuni binafsi inakatazwa kusaidia wenye uhitaji ikizingatiwa imetokea sehemu ya Waislamu?
Tumia hekima ndg. Ktk nchi yenye mchanganyiko kama yetu, kulipa fadhila zilizoegemea dini moja tena Rais akiwa wa hiyo dini ni sawa sawa na kumhonga ili upate hiyo tenda. Kwa taratibu za manunuzi haziruhusu hilo.
DP WORLD inataka kuingia mkataba na Serikali ya Watanzania hivyo haitakiwi kabisa kuwa na Sura ya Udini. Serikali tafadhali saidieni hili ama sivyo suala hili ndilo Lita mark lawlessness kwa Tanzania as evidenced in many countries these days due to other social upheavals
 
Niliwahi kumuuliza Faizafoxxy kwamba mtanzania muislamu au uislamu hapa Tanzania unaifaidikaje na urais wa Samia? Akaishia kupanic tu akala kona.
Gadhafi kaja Tanzania kajenga msikiti mkubwa na kisima cha kujitawazia.
Ni vizuri ila kuwa na nyumba za ibada nyingi siyo maendeleo ila ukiwa na shule na hospital ni maendeleo. Angejenga hospital kubwa ingesaidia sana.
Ukienda Mang'ora kuna Kanisa kubwa la roman catholic na hospital halafu kwa pembeni kuna msikiti mkubwa na kisima cha kujitawazia.
Ukiuugua utaenda kuswali msikitini?
 
Umezungumza vizur. Lakin faham wanaomba misikiti ni waislam wenye don't blame warabu. Hapa shida ni vipaumbele japo misikitin ni muhimu.

Kuna vyuo, mashule vimejengwa kwa ufadhiri wa warabu

NOTE;UTAKACHOOMBA NDIO UTAKACHOPEWA
Hata kama ni mashule, kwa kuwa mkataba huo ni kwa watanzania, basi misaada hiyo iwe kwa mtizamo wa watanzania.
 
Sehemu ambazo kuna waislamu wengi hakuna maendeleo kuna misikiti mingi na visima vya kujitawazia. Maisha ni zaidi ya nyumba za ibada. Ukiswali na kujitawaza halafu kinachofuata?
Mnazidiwa akili hata na Mwamposa aliyenga Hotel? Watu wamepata ajira na uchumi wa hilo eneo unakuwa.
Ukienda Mwanza kuna kanisa kubwa Roman Catholic, mita km 500 kuna shule ya missionary.
Nenda Tabora, ndala kuna kanisa kubwa la Roman Catholic halafu kuna hospitali ya Mission ya Ndala.
Nenda kwa nyumba ya Mwaarabu msikiti kuna msikitini mkubwa na kisima cha kujitawazia.
Ndio maana tunasema kila mtu afanye yake katika dini yake yanayompendeza !!
Pilipili usioila inakuwasha nini !!

Msitugawe kwa misingi ya kidini Hatutaki !!
 
Kumbe kelele zote tu mkataba hivi mkataba vile kwa kuwa tu mwekezaji anatokea nchi ya kiislamu yaani hicho tu ndio kinawatoa watu mapovu kwa nini mwaaarabu muislamu awekeze Tanzania wakati kampuni yenyewe tu haina dini na ina watu wa kila dini ndani yake wahindi ,walatin amerika wazungu wa ulaya,wacanada na waarabu kwenye menejimenti yao na hawajitambulishi kama shirika la dini la ni kampuni ya kibiashara na huko Dubai kwenyewe milango iko wazi kampuni zote zinaenda kuwekeza kule tuache mambo ya dini kwenye biashara na kazi na tuangalie maslahi ya taifa yaani tukose kipato cha trillioni 27 kwa mwaka toka kwenye uwekezaji kisa tu hofu za watu wengine. Na huko Uingereza waliwekeza port ya southampton nako wamepeleka dini hii ni yaani low IQ kabisa.
 
Malizia- Al Qaeda, Shabab na Ampatuan wa kule ufilipino, hayo hayo tu malengo yake- islamic state in the making ...
Mwaarabu ni mtu wa ovyo sana. Ukienda Singida, misikiti ni mingi sana kuliko hospitali na shule. Kila mtaa ni msikitini. Sawa ni vizuri wajenge hata hospital. Nilienda vijijini ndani kbsa misikiti ni mingi ila shule hakuna.
Wakishakuwa wengi wanaanza kuanzisha vikundi vya kigaidi km islamic state.
Hao DP nimewadharau sana, hata mzungu ataona aibu sana kujenga kanisa tu. Mzungu anajenga kanisa, hospital au shule.
Mikoa ambayo kuna waislam wengi hakuna maendeleo
 
Mabeberu hawana akili km za waarabu. Muarabu ni mtu wa ovyo sana na hii ukitaka kujua nenda sehemu ambazo kuna waislamu wengi hakuna maendeleo. Zanzibar, Tanga, Tabora, Pwani, Lindi, Mtwara, Singida na Shinyanga mjini. Muarabu muislamu atakujengea msikiti na kisima cha kujitawazia.
Beberu Missionary anakujengea kanisa, shule na hospitali.
Panda gari mpaka makuyuni (Arusha), panda gari mpk Karatu mjini kisha panda gari kwenda Mang'ora, shukia barazani. Ni porini haswaa
Utakuta kuna kanisa kubwa la Roman Catholic na hospital. Hatua km mita 200 kuna msikiti wa waislamu mkubwa na kisima cha kujitawazia.
Sikatai kujenga msikiti ila maisha ni zaidi ya msikiti,wajenge hospitali au hata hotel km mwamposa itasaidia kuongeza ajira na vipato vya watu
Umesema kweli maisha ni zaidi ya msikiti, yani jinsi wanavyojenga hiyo misikiti utadhani waislamu wa Tanzania wana shida na uhaba wa misikiti tu.
 
Kampuni ya DP World ambayo katika Mkataba wa Bandari kati ya Ufalme wa Dubai na Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa kuendesha Bandari zote Tanzania Bara (Tanganyika) inatumia faida inayopata katika biashara zake kusaidia misikiti na Waislamu kwa ujumla.

Mwaka huu wakati wa mfungo wa Radhamani, wawakilishi wa DP World walitembelea Mbeya ambako waliahidi kujenga Msikiti wa Masjid Al Jumaa na misaada mbalimbali. Baada ya hapo walisema wanakwenda Zanzibar ambako nako pia watafanya hayo hayo.

Video:
Video hii imerekodiwa kwa lugha ya Kingereza na Kiswahili na ilichukuliwa Mkoani Mbeya! Je, ulijua kuwa Kampuni ya DP ina malengo pia ya kukuza Uislamu mahali popote pale inapokuwa duniani? Je, ulijua kuwa DP World ina malengo ya kidini? Je, unafikiri hii ndiyo sababu Sheikh Mwaipopo alitoa kauli kali ya kutisha na kuonya Waislamu wasihudhurie Mkutano wa Temeke wa 23 Julai 2023 uliolenga kujadili na kuhoji Mkataba wa Bandari unaolalamikiwa sana?

Je, unafikiri kwa nini wawakilishi wa DP World walipofika hawakutembelea Makanisa, viwanja vya michezo, vyuo vikuu badala yake waliamua kutembelea Misikiti na kuahidi kutoa misaada huko? Je, faida watakayopata DP World katika kuendesha Bandari zetu itatokana na Kodi za Waislamu pekee?

Je, unafikiri moja ya sababu za Spika Dkt. Tulia kuutetea Mkataba wa Bandari na kufikia hatua ya kuwaita wanaoupinga kuwa ni 'wapumbavu wasiosha upumbavu wao' ni pamoja na hao DP World kutembelea Mbeya na kuwasidia wapiga kura wake Waislamu kwa kuaahidi kuwajengea Msikiti wa Masjid Al Jumaa?

Usimkarikie Askofu Mwamakula kwa kuandika haya na kuweka video hii hapa, wakasikirikie DP World kwa kuweka malengo yao wazi kuwa wanasaidia misikiti na sio dini nyingine. Pia, walaumu waliovujisha video hii hadi ikamfikia Askofu. Je, ni nani sasa anayeleta udini katika mjadala huu wa Mkataba wa Bandari? Je, ni DP World au wanaoupinga Mkataba wa Bandari?

Je, kuweka hadharani habari hizi ni uchochezi, uhalisia au uzalendo? Je, ni kwa nini viongozi wa Serikali na CCM hawaweki wazi wananchi katika mikutano yao ya hadhara kuwa faida mojawapo ya DP World ni pamoja na kujenga misikiti na kusaidia Uislamu? Je, ni kwa nini hili linafichwa wakati liko wazi hata katika malengo ya DP World? Kama Serikali haikujua malengo hayo, Waarabu hao wangesafiri hadi Mbeya kwa kificho na kuahidi kujenga misikiti nchini?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 26 Julai 2023; 07:55 am.
Ni maswali muhimu

Mimi sina shida na wao kujenga misikiti.
Swali liko pale pale kuhusu mkataba mbivu na ziaid tunapouliza tunaambiwa ni udini.

Kweli mkataba mbovu mtu akiuliza huu mkataba una Muda gani wa miaka mingapi mtu unajibiwa acha udini?

Sasa hao DP World wenyewe ni watu wa dini.
Je ndio sababu kila mtu anayehoji anambiwa ni mdini? Kwa sababu imeletwa na wadini?
 
Back
Top Bottom