shabanmbarak
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 1,178
- 1,150
Kwaio shida ni kujenga msikiti au kujenga msikit mbeyaJiulize kwanini Msikiti upelekwe Mbeya???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaio shida ni kujenga msikiti au kujenga msikit mbeyaJiulize kwanini Msikiti upelekwe Mbeya???
Na mkataba dharimu umepitishwa kwa ujinga kama huu wa kujifanya kupuuza kila kitu.Njia ya kudeal na akina Mwaipopo ni kuwaignore ili ujinga wao ujionyeshe wenyewe. uachie umma udeal nao kwenye tit for tat, ila Askofu wewe inabidi uconcentrate ktk hoja za mkataba ulivyo.
KWANIN BARRICK MINING WAJENGE VISIMA/VITUO VYA AFYA KWANI WAO NI SERIKALDP world ni wawekezaji sio waenezaji wa dini
Si chuo kikuu tu, wewe uliisha sikia wapi Serikali ya Tanzania inaenda negotiate kuhusu nchi wafadhili kutusaidia halafu ikawaambia pia wawasaidie wakiristo!!?? Lakini Serikali ili waruhusu Libya na Morocco kuwasaidia Waislam (Misikiti na misaada mingine (msikiti kinondoni na msikiti wa Gadafi Dodoma).Mmepewa Chuo cha TANESCO pale Msamvu ( MUM) lakini mmeshindwa hata kukiendeleza.
Serikali imegoma kuwapa chuo gani tena!!??
Sas kama IGA inanguvu hiv nini umuhimu wa HGA?IGA kwa kifupi ndio chimbuko la makubaliano mtayoenda kuyafanya mbele ya safari, kwa maana nyingine ni kwamba, huwezi kutoka nje ya mlichokubaliana IGA ukienda kwenye HGA, au niseme, kwa ile IGA sisi tayari tumeshajifunga, hatuwezi tena kutoka nje ya ile IGA bila kukubaliana na mwarabu.
Ndio maana pale chini ya IGA, kuna saini ya Samia na Mbarawa.
Umesema kweli hasa hasa Tanzania, na Serikali ingeng'amua hilo na kusimama kidete kutoruhusu influence ya dini yeyote kwenye Serikali na vyama vya siasa. Tanzania itakuwa na Maendeleo ya kubeep beep tu kutokana na kuruhusu dini zituingilie. Hata kwenye uHizi habari ni ngumu sana , dini ni kikwazo kingine katika mfumo wa maendeleo ya jamii.
TOP 3 YA MATAJIRI NCHINI NI WAISLAM.HIO HALI YA UCHUMI UNAIPIMAJE. SINGIDA KUNA SHULE NYINGI ZA KIISLAM SAS SIJUI ULITAKA IWE NINI KWENY UPOTOSHAJI WAKOHata mzungu angeona aibu sana kujenga kanisa pekee.
Ukienda Ndala (Tabora) kijijini kuna kanisa kubwa la Roman na Hospital ila ukienda kwa Mwaarabu kuna msikiti mkubwa na kisima cha kujitawazia.
Tanzania kuna misikiti mingapi? Wanazidiwa akili hata na Mwamposa aliyejenga Hotel?
Huwa natembea Singida mpk inatia huruma, kuna misikiti mikubwa na mizuri sana ila hakuna hospital hata moja iliyojengwa na muislam. Njoo kwenye hali za kiuchumi za waislamu ni mbaya sana. Ukiumwa utaenda kujitawaza msikitini?
Huu mkataba ndiyo maana unapigwa vita. Mwaarabu akikusaidia sana atakujengea msikiti na kisima cha kujitawazia.
Kumbuka wazungu walitawala pia [emoji23][emoji23]Mwarabu Hana maajabu yoyote,amekaa pwani ya Afrika Mashariki miaka kibao hakuna la maana aliloliacha zawadi ya majina ya kiarabu na magofu ya nyumba
Ni kwanini mlimpindua Mwarabu Zanzibar?Nilishasema mwanzo hili suala limeingia udini ndani yake, wakristo hawaitaki DP World kwa sababu ya uislam.
Wagalatia wana roho mbaya sana.
Sure ndugu yangu, hata hizo dini zenyewe zinajipinga, zenyewe zimejichelewesha kwa misimamo ya mawazo ya zamani ya waanzilishi wao, tukiwapa nafasi watu wa dini usiku utatufikia tukiwa hatujafika popote.Umesema kweli hasa hasa Tanzania, na Serikali ingeng'amua hilo na kusimama kidete kutoruhusu influence ya dini yeyote kwenye Serikali na vyama vya siasa. Tanzania itakuwa na Maendeleo ya kubeep beep tu kutokana na kuruhusu dini zituingilie. Hata kwenye u
Hiyo ni miradi ya kijamii haina tatizo kabisa, ila Dp world wanajenga nini ?KWANIN BARRICK MINING WAJENGE VISIMA/VITUO VYA AFYA KWANI WAO NI SERIKAL
Kurudisha tena kwa jamii kuna ubaya gani?. Said Bakhresa ametajirika kwa kutoa sadaka kama hii wanayotoa DPW.Kampuni ya DP World ambayo katika Mkataba wa Bandari kati ya Ufalme wa Dubai na Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa kuendesha Bandari zote Tanzania Bara (Tanganyika) inatumia faida inayopata katika biashara zake kusaidia misikiti na Waislamu kwa ujumla.
Mwaka huu wakati wa mfungo wa Radhamani, wawakilishi wa DP World walitembelea Mbeya ambako waliahidi kujenga Msikiti wa Masjid Al Jumaa na misaada mbalimbali. Baada ya hapo walisema wanakwenda Zanzibar ambako nako pia watafanya hayo hayo.
Video:
Video hii imerekodiwa kwa lugha ya Kingereza na Kiswahili na ilichukuliwa Mkoani Mbeya! Je, ulijua kuwa Kampuni ya DP ina malengo pia ya kukuza Uislamu mahali popote pale inapokuwa duniani? Je, ulijua kuwa DP World ina malengo ya kidini? Je, unafikiri hii ndiyo sababu Sheikh Mwaipopo alitoa kauli kali ya kutisha na kuonya Waislamu wasihudhurie Mkutano wa Temeke wa 23 Julai 2023 uliolenga kujadili na kuhoji Mkataba wa Bandari unaolalamikiwa sana?
Je, unafikiri kwa nini wawakilishi wa DP World walipofika hawakutembelea Makanisa, viwanja vya michezo, vyuo vikuu badala yake waliamua kutembelea Misikiti na kuahidi kutoa misaada huko? Je, faida watakayopata DP World katika kuendesha Bandari zetu itatokana na Kodi za Waislamu pekee?
Je, unafikiri moja ya sababu za Spika Dkt. Tulia kuutetea Mkataba wa Bandari na kufikia hatua ya kuwaita wanaoupinga kuwa ni 'wapumbavu wasiosha upumbavu wao' ni pamoja na hao DP World kutembelea Mbeya na kuwasidia wapiga kura wake Waislamu kwa kuaahidi kuwajengea Msikiti wa Masjid Al Jumaa?
Usimkarikie Askofu Mwamakula kwa kuandika haya na kuweka video hii hapa, wakasikirikie DP World kwa kuweka malengo yao wazi kuwa wanasaidia misikiti na sio dini nyingine. Pia, walaumu waliovujisha video hii hadi ikamfikia Askofu. Je, ni nani sasa anayeleta udini katika mjadala huu wa Mkataba wa Bandari? Je, ni DP World au wanaoupinga Mkataba wa Bandari?
Je, kuweka hadharani habari hizi ni uchochezi, uhalisia au uzalendo? Je, ni kwa nini viongozi wa Serikali na CCM hawaweki wazi wananchi katika mikutano yao ya hadhara kuwa faida mojawapo ya DP World ni pamoja na kujenga misikiti na kusaidia Uislamu? Je, ni kwa nini hili linafichwa wakati liko wazi hata katika malengo ya DP World? Kama Serikali haikujua malengo hayo, Waarabu hao wangesafiri hadi Mbeya kwa kificho na kuahidi kujenga misikiti nchini?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 26 Julai 2023; 07:55 am.
Suala la msingi katika kupinga mkataba wa bandari si la dini bali la maslahio ya Taifa!! Mkataba gai usiokuwa na ukomo? mkataba ambao hauwezi kuuvunja no matter what!! Mkataba ambao hauainishi sisi tutyapata nini!! mkataba ambao hauainishi mwekezaji atawekeza kiasi gani! etc. Huu ni mkataba kama al,ioingia sultan Mangungo!!Nilikwambia Toka Mwanzo kinachopingwa hapa na waliojificha kwenye sijui mkataba mbovu ni mambo ya Kidini.
Kwamba ni sawa Wazungu kutoa pesa za kusaidia Wakristo ikiwemo kuwajengea makanisa nk ila ni haramu hao hao DP World kutoa pesa za kusaidia Waislamu 😁😁😁😁
Duuh [emoji23][emoji23][emoji23]Waliombwa na nani!!??
Hawakuwepo hapa, hao waliowaomba walikutana nao wapi!!??
Dini imejificha nyuma ya mkatabaSuala la msingi katika kupinga mkataba wa bandari si la dini bali la maslahio ya Taifa!! Mkataba gai usiokuwa na ukomo? mkataba ambao hauwezi kuuvunja no matter what!! Mkataba ambao hauainishi sisi tutyapata nini!! mkataba ambao hauainishi mwekezaji atawekeza kiasi gani! etc. Huu ni mkataba kama al,ioingia sultan Mangungo!!
Ulivoandika unaona umepatia menyew [emoji23][emoji23].Mbeya kuna bandari ipi? Mpaka akimbilie huko? Mbona sijawahi kusikia GGM imejenga zahanati Iringa? I la huko Kahama/Geita walipo wanajenga na ni sahihi.JITAMBUE NDUGU.
Kwa nini tunagombana kwa ajili ya dini zetu? Wakati dini ni variable wala si constant, leo unaweza kumuona mtu mkristo mara kesho kabadili kawa muislamu, vile vile unaweza kumuona muislamu leo, kesho ameritadi. Hivyo tuangaliye maslahi yetu ya kidunia kama wananchi wa nchi moja na imani zetu zilenge katika kutufanya tuwe binadamu bora kabisa kuishi haya maisha ya dunia.Kampuni ya DP World ambayo katika Mkataba wa Bandari kati ya Ufalme wa Dubai na Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa kuendesha Bandari zote Tanzania Bara (Tanganyika) inatumia faida inayopata katika biashara zake kusaidia misikiti na Waislamu kwa ujumla.