Askofu Mwamakula: DP World kujenga msikiti wa Masjid al jumaa wa Mbeya na kuendelea kusaidia dini ya kiislam nchini Tanzania!

Njia ya kudeal na akina Mwaipopo ni kuwaignore ili ujinga wao ujionyeshe wenyewe. uachie umma udeal nao kwenye tit for tat, ila Askofu wewe inabidi uconcentrate ktk hoja za mkataba ulivyo.
Na mkataba dharimu umepitishwa kwa ujinga kama huu wa kujifanya kupuuza kila kitu.
Leo hii nikienda shule na kofia ya jah people natolewa darasani kwamba siyo uniform ila kuvaa ijabu shuleni ni halali,
 
Mmepewa Chuo cha TANESCO pale Msamvu ( MUM) lakini mmeshindwa hata kukiendeleza.
Serikali imegoma kuwapa chuo gani tena!!??
Si chuo kikuu tu, wewe uliisha sikia wapi Serikali ya Tanzania inaenda negotiate kuhusu nchi wafadhili kutusaidia halafu ikawaambia pia wawasaidie wakiristo!!?? Lakini Serikali ili waruhusu Libya na Morocco kuwasaidia Waislam (Misikiti na misaada mingine (msikiti kinondoni na msikiti wa Gadafi Dodoma).
Tatizo la Hawa Waarabu kila Agenda ya Maendeleo wanayoipeleka hasa hasa katika nchi maskini wanaichanganya na kueneza DINI ya kiislam.
Kwa sasa ni Mwanamfalme wa Saudia tu, na sijui YESU ameamua kuingilia kati kumbafili thinking yake? huyo ameamua kufunga taasisi zote walizoanzisha nje ya Saudia. Ona hii video
 
Hizi habari ni ngumu sana , dini ni kikwazo kingine katika mfumo wa maendeleo ya jamii.
 
Sas kama IGA inanguvu hiv nini umuhimu wa HGA?

Kama maoni yetu hayana athari kweny IGA why IGA imeletwa, yani tunajadili kitu kisichobadilika?
 
Hizi habari ni ngumu sana , dini ni kikwazo kingine katika mfumo wa maendeleo ya jamii.
Umesema kweli hasa hasa Tanzania, na Serikali ingeng'amua hilo na kusimama kidete kutoruhusu influence ya dini yeyote kwenye Serikali na vyama vya siasa. Tanzania itakuwa na Maendeleo ya kubeep beep tu kutokana na kuruhusu dini zituingilie. Hata kwenye u
 
TOP 3 YA MATAJIRI NCHINI NI WAISLAM.HIO HALI YA UCHUMI UNAIPIMAJE. SINGIDA KUNA SHULE NYINGI ZA KIISLAM SAS SIJUI ULITAKA IWE NINI KWENY UPOTOSHAJI WAKO
 
Nilishasema mwanzo hili suala limeingia udini ndani yake, wakristo hawaitaki DP World kwa sababu ya uislam.

Wagalatia wana roho mbaya sana.
Ni kwanini mlimpindua Mwarabu Zanzibar?
Wakristo hawajawahi kuwafukuza Waarabu ila ni nyie Waislamu wenyewe.

Halafu Lawama munawatupia Wakristo.

Sisi Wakristo Uislamu hautusumbui kabisa.
Rekebisheni huo Mkataba Waje wafanye kazi.
 
Sure ndugu yangu, hata hizo dini zenyewe zinajipinga, zenyewe zimejichelewesha kwa misimamo ya mawazo ya zamani ya waanzilishi wao, tukiwapa nafasi watu wa dini usiku utatufikia tukiwa hatujafika popote.
 
Kurudisha tena kwa jamii kuna ubaya gani?. Said Bakhresa ametajirika kwa kutoa sadaka kama hii wanayotoa DPW.

Miaka ile ya 80 tukiwa watoto kila siku ya ijumaa na zile sikukuu kama Eid walikuwa wanapanga foleni ndefu wazee na wasiojiweza pale Livingstone na baraka alizopata ndizo hizi zimemuwezesha kuwa tajiri mkubwa hapa Tanzania.

Sadaka ya hawa waarabu isiwe nongwa kwa sisi wengine tunaojaa roho ya chuki.
 
Suala la msingi katika kupinga mkataba wa bandari si la dini bali la maslahio ya Taifa!! Mkataba gai usiokuwa na ukomo? mkataba ambao hauwezi kuuvunja no matter what!! Mkataba ambao hauainishi sisi tutyapata nini!! mkataba ambao hauainishi mwekezaji atawekeza kiasi gani! etc. Huu ni mkataba kama al,ioingia sultan Mangungo!!
 
Dini imejificha nyuma ya mkataba
 
Mbeya kuna bandari ipi? Mpaka akimbilie huko? Mbona sijawahi kusikia GGM imejenga zahanati Iringa? I la huko Kahama/Geita walipo wanajenga na ni sahihi.JITAMBUE NDUGU.
Ulivoandika unaona umepatia menyew [emoji23][emoji23].

Akili yako unajua bandari ni majini pekee.

Sawa akili mingi ntajitambua
 
Kwa nini tunagombana kwa ajili ya dini zetu? Wakati dini ni variable wala si constant, leo unaweza kumuona mtu mkristo mara kesho kabadili kawa muislamu, vile vile unaweza kumuona muislamu leo, kesho ameritadi. Hivyo tuangaliye maslahi yetu ya kidunia kama wananchi wa nchi moja na imani zetu zilenge katika kutufanya tuwe binadamu bora kabisa kuishi haya maisha ya dunia.
 
Kujenga misikiti hiyo ni mambo yao binafsi, Ni sawa na wewe ufanye biashara na mtu alafu baada ya kugawana faida yule unaefanya nae biashara akupangie hela yako ufanyie nini ni jambo ambalo haliingii akilini

kila mtu anaamua hela yake afanyie nini, hoja iwe ni mkataba wa bandari na hoja isiwe sijui wamiliki wa Dp world wamevaa kanzu au wameenda msikitini kutoa sadaka hiyo ni mambo binafsi.

Vinginevyo kama kuna vita ya udini sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…