Askofu Mwamakula: DP World kujenga msikiti wa Masjid al jumaa wa Mbeya na kuendelea kusaidia dini ya kiislam nchini Tanzania!

Ukishachota maji kisimani na kujitawaza na ukiingia kuswali. Ukatoka hapo na kuangalia msikiti unaona nchi ina maaendeleo?
Nilienda Mang'ora kwa mara ya kwanza nilikuta kanisa kubwa na hospitali ya kanisa ila hapo hapo pembeni kuna msikiti mkubwa na kisima cha kujitawazia. Nikaona hii nchi ukimpa mwarabu au mtu ambaye ni muislamu hakuna maendeleo atakayofanya zaidi ya kujenga misikiti mingi na visima vya kujitawazia.
Jenga picha hapo, mkristo akiugua anaenda hospitali ya kanisa anatibiwa anarudi nyumbani halafu muislamu akiugua anaenda kuchota maji kisimani anajitawaza anarudi nyumbani.
Amkeni ndugu zangu, Lindi, Tanga, Mtwara, Kigoma, Zanzibar na Pwani ni mikoa ambayo ina waislamu wengi halafu hakuna maendeleo
Kenya saa hivi vitu wanavyofanya Tz hata tupewe miaka 50 sidhani. Kwa sababu Kenya wazee wa vibaraka sheh hawana nguvu sana kama hapa tz.
Siku raisi wa Kenya akitokea kanda ya pwani/visiwani yani hapo kwisha kazi.
 
Kwani Serikali ya Vatican wakiamua kujenga kanisa Tz ni dhambi? Mbona serikali ya Gadafi ilijenga msikiti Dodoma na pia Waarabu waliahidi kujenga uwanja mkubwa wa mpira pale Dodoma na haijawahi kuwa nongwa? Acheni propaganda na uchochezi wa kidini. Weka makosa uliyoyaona wewe ya kwenye mkataba lakini sio kumpangia mtu kutumia pesa yake kusaidia jamii.
 
Kwsnza serikali iondoe kila kituo cha mafuta cha waislamu kuwa na msikiti
 
Kama kuna kitu kitakachoiingiza Tanzania katika vita vya wenyewe kwa wenyewe ni dini. Na vita ya kidini hapa Tanzania italetwa na Wakristo wasioridhishwa kwamwe juu ya upendeleo wote waliopewa, bali Muislamu akishika madaraka tu wanaanza mayowe ya Udini! Katika watu extremists, parochial na wasiokubali co-existance ni hawa. Naturally, si wote, lakini dini yao ndiyo kinara wa machafuko ya Kidini Tanzania.
 
WAKATI MNAPAMBANA KUONDOA KIFUNGU HEWA CHA MKATABA WA MILELE (ambacho hakipo) WEKENI NA AKIBA YA MANENO.

TUKUMBUKE MWAKA 1992

Mwaka 1992, Serikali iliingia Mkataba na Makanisa kupitia Taasisi zao za TEC na CCT. Chini ya Makubaliano yale, hospitali za Makanisa zitatumika kwa wananchi wote pale ambapo Serikali haina hospitali.

Kwa kufanya hivyo, Serikali itakuwa na wajibu wa kuyapa Makanisa fedha za kuendesha hospitali hizo ingawa umiliki wa hospitali utabaki kuwa wa Makanisa.

Ifahamike kuwa fedha hizo zinatokana na kodI za Watanzania wote; Waislamu, Wakristo, Mabaniani, Magoha, Makadiani, na hata wale wasio na dini.

Nini athari za Mkataba huu ? Mkataba huu wa kibaguzi una athari nyingi. Kwanza:

Serikali inatumia kodi za wananchi kuyapa Makanisa kuendesha shughuli zake za kuimarisha Ukristo.

Tunasema hivyo kwa sababu utaratibu unaotumika ni kuwa Serikali inatoa fedha kwa Makanisa ambayo wao ndio wanapanga matumizi ya fedha zile na sio Serikali.

Pili, kwenye Jamii, Makanisa yanaonekana ndio yanatoa huduma za Jamii na hivyo kujenga saikolojia kwa wananchi kuwa Ukristo ndio unajali wananchi.

Athari ya tatu ni kuwa Makanisa yananyonya wananchi kwa sababu pamoja ya kuwa hospitali zile zinapata fedha kutoka Serikalini, bado wananchi wanalipia huduma.

Nne, Mkataba hauna ukomo, yaani ni wa milele. (Wakristo wataendelea kupewa hayo mabilioni na Waislamu watanyimwa milele).

Kwa tafsiri nyingine ni kuwa Serikali imejivua kwenye wajibu wa kutoa huduma za Jamii na kuchagua Makanisa kuwa ndio wakala wake.

Tunapenda kuwakumbusha Watanzania kuwa wakati Mkataba huo unasainiwa aliyesaini Mkataba ni Bwana Edward Lowassa aliyekuwa Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu. Huyu ni Mkristo

Kwa utaratibu wa Serikali, Lowassa alikuwa Waziri wa Nchi, hivyo basi Waziri mwenye dhamana ni yule mwenye ofisi yake kwa maana ni Waziri Mkuu.

Wakati unatiwa saini Mkataba, huo Waziri Mkuu alikuwa John Samwel Malecela ambaye ni Mkristo.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambaye ndie aliyeishauri Serikali isaini Mkataba ule ambao kwanza hauna ukomo (mkataba wa maisha) na pili unatumia kodi za wananchi kuimarisha Ukristo alikuwa Damian Lubuva ambaye ni Mkristo.

Kwa upande wa Kanisa mwanasheria wao alikuwa Prof Balozi Costa Mahalu, Mkristo.
Kwa maana hiyo, upande wa Serikali, Mkataba ule umeasisiwa na kusimamimwa na Wakristo watupu. Waziri wa Nchi Mkristo, Waziri Mkuu Mkristo, Mwanasheria Mkuu Mkristo.

Ni Wakristo! Wakristo! Wakristo!

Kama kwenye hoja ya makubaliano ya Bandari ni Wazanzibari wawili (ambao ni Waislamu) wamesaini makubaliano ya kuiuza Tanganyika, Mbona Waislamu hawakulalamika pale Wakristo 3 wazito Serikalini walipobuni mbinu za kutumia kodi za wananchi kuimarisha dini yao Ukristo Tanzania?

Kama hoja ni ukomo wa mkataba, mbona Mkataba huu wa Serikali na Makanisa hauna ukomo? Ni mkataba wa milele na ndio maana mpaka leo (miaka 30 sasa) bado unaendelea kutumika.

Bado Serikali inaendelea kutekeleza Mkataba wa kibaguzi ambapo inatumia kodi za wananchi wote kuimarisha shughuli za Kanisa.

USHAHIDI

Tarehe 23 Januari 2019, Rais Magufuli alikutana na viongozi wa dini zote IKULU. Kwenye Mkutano ule Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Tanga Bwana Maimo Mndolwa alilalamika kwa Rais Magufuli kuwa Serikali inavunja Mkataba kwa kujenga hospitali kwenye maeneo ambayo Kanisa imeachiwa kuwa na hosptali ambazo zinapewa fedha na Serikali.
Amelalamika hivyo kwa sababu Mkataba wa Makanisa na Serikali hauna ukomo. Kila penye hospitali ya Kanisa, Serikali haikutakiwa kujenga hospitali yake. Badala yake, Serikali inatakiwa kuendelea kutoa fedha za kodi kuwapa Makanisa ili ziendeshe hospitali zao na kuimarisha Ukristo kwa kutumia jasho la Watanzania.

Katika kusisitiza madai yake, Askofu Mkuu alitoa ushahidi wa hospitali zilizojengwa na Serikali katika Wilaya ya Ifakara, Ngara na Muheza ambazo kwa mujibu wa Mkataba wa 1993, Serikali haikutakiwa kujenga hospitali hizo za Wilaya.

Kitendo cha Serikali kujenga hospitali hizo kinatafsiriwa na Kanisa kuwa Serikali imevunja Mkataba kwa sababu sasa inatoa huduma hiyo muhumu kwa wananchi.

Askofu Mkuu alifafanua kua matatizo haya yapo kwenye ngazi ya Wilaya kwa sababu kwenye ngazi za juu, hakuna tatizo kwa kuwa kuna Msimamizi anaesimamia Mkataba huo.

Hapa Askofu Mkuu alikuwa ana maana kuwa hospitali za KCMC ya Moshi, Bugando ya Mwanza na CCBRT ya Dar es Salaam ambazo zote ni mali ya Kanisa bado zinaendelea kupata fedha za kodi huku zikiendelea kuwalipisha wananchi kwa huduma wanazopewa kwenye hospitali hizo.

Rais Samia Suluhu Hassan alifanya Mkutano na Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania uliofanyika Kurasini tarehe 25 Juni 2021. Katika risala yao, Baraza la Maaskofu limeilaumu Serikali kwa kujenga hospitali zake kinyume cha Mkataba wa 1992, na Makanisa.

Kwenye risala hiyo, Baraza la Maaskofu limeshangaa kuona Serikali inajenga hospitali kwenye Wilaya ambazo Makanisa tayari yana hospitali zao. Wamehoji kwa nini kuwepo na ushindani wa kutoa huduma hizo?

Kwa maana nyepesi, kwa nini Makanisa yasiachiwe kuendesha hospitali maisha (milele) na kuendelea kupewa ruzuku zinazotokana na kodi za wananchi?

Risala hiyo ni ya chombo cha juu kabisa katika Kanisa Katoliki ambao leo viongozi hao hao wanaohoji na kulalamika kuhusu makubaliano ya Serikali na DP World kuwa hayana ukomo!

Kanisa hilo hilo ambalo linapiga kelele kuhusu mkataba wa Serikali na DP World, ndilo ambalo kiongozi wake Askofu Method Kilaini alipewa shs. 80.9 milioni, Askofu Eusebius Nzigirwa alipewa shs. 40.4 milioni na Mchungaji Alphonce Twimanye Simon alipewa shs 40.4 milioni fedha za Rushwa zilizotokana na kashfa ya akaunti ya Tegeta ESCROW.

Hadi leo Kanisa halijatangaza hadharani hatua za kinidhamu iliyowachukulia viongozi hao. Ukimya huu tuutafsiri vipi? Kwa ukimya huu, Kanisa linapata wapi “moral authority” ya kupinga mkataba wa DP World.
[emoji525][emoji525][emoji525][emoji525][emoji525][emoji525][emoji525]
 
Mwekezaji yeyote awe Mkristo au Muislam anayeyekuja kwa kigezo cha kueneza dini ili apate favour ni wa kuogopa kama ukoma. Historia inaonyesha biashara ya utumwa ilianza kwa gia hiihii na babu zetu walipelekwa utumwani ambako walihasiwa na kutumikishwa kama wanyama na wale waliojitanabaisha kama waeneza dini. Ikafuatiwa na Wamisionari nao wakaja kwa gia hiihii babu zetu wakajikuta tena wanaangukia katika ukoloni uliokuwa ni utumwa ndani ya ardhi yao.

Yeyote anayekuja kwa gia ya dini ni wa kuogopwa na kuepukwa kama ukoma.
[emoji848][emoji106]
 
Huu uzi umenyofolewa wote utadhani ile katiba ya Warioba iliyorekebishwa na bunge la ccm , kutoka posts zaidi ya 400 hadi 200 !
 
WAKATI MNAPAMBANA KUONDOA KIFUNGU HEWA CHA MKATABA WA MILELE (ambacho hakipo) WEKENI NA AKIBA YA MANENO.

TUKUMBUKE MWAKA 1992

Mwaka 1992, Serikali iliingia Mkataba na Makanisa kupitia Taasisi zao za TEC na CCT. Chini ya Makubaliano yale, hospitali za Makanisa zitatumika kwa wananchi wote pale ambapo Serikali haina hospitali.

Kwa kufanya hivyo, Serikali itakuwa na wajibu wa kuyapa Makanisa fedha za kuendesha hospitali hizo ingawa umiliki wa hospitali utabaki kuwa wa Makanisa.

Ifahamike kuwa fedha hizo zinatokana na kodI za Watanzania wote; Waislamu, Wakristo, Mabaniani, Magoha, Makadiani, na hata wale wasio na dini.

Nini athari za Mkataba huu ? Mkataba huu wa kibaguzi una athari nyingi. Kwanza:

Serikali inatumia kodi za wananchi kuyapa Makanisa kuendesha shughuli zake za kuimarisha Ukristo.

Tunasema hivyo kwa sababu utaratibu unaotumika ni kuwa Serikali inatoa fedha kwa Makanisa ambayo wao ndio wanapanga matumizi ya fedha zile na sio Serikali.

Pili, kwenye Jamii, Makanisa yanaonekana ndio yanatoa huduma za Jamii na hivyo kujenga saikolojia kwa wananchi kuwa Ukristo ndio unajali wananchi.

Athari ya tatu ni kuwa Makanisa yananyonya wananchi kwa sababu pamoja ya kuwa hospitali zile zinapata fedha kutoka Serikalini, bado wananchi wanalipia huduma.

Nne, Mkataba hauna ukomo, yaani ni wa milele. (Wakristo wataendelea kupewa hayo mabilioni na Waislamu watanyimwa milele).

Kwa tafsiri nyingine ni kuwa Serikali imejivua kwenye wajibu wa kutoa huduma za Jamii na kuchagua Makanisa kuwa ndio wakala wake.

Tunapenda kuwakumbusha Watanzania kuwa wakati Mkataba huo unasainiwa aliyesaini Mkataba ni Bwana Edward Lowassa aliyekuwa Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu. Huyu ni Mkristo

Kwa utaratibu wa Serikali, Lowassa alikuwa Waziri wa Nchi, hivyo basi Waziri mwenye dhamana ni yule mwenye ofisi yake kwa maana ni Waziri Mkuu.

Wakati unatiwa saini Mkataba, huo Waziri Mkuu alikuwa John Samwel Malecela ambaye ni Mkristo.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambaye ndie aliyeishauri Serikali isaini Mkataba ule ambao kwanza hauna ukomo (mkataba wa maisha) na pili unatumia kodi za wananchi kuimarisha Ukristo alikuwa Damian Lubuva ambaye ni Mkristo.

Kwa upande wa Kanisa mwanasheria wao alikuwa Prof Balozi Costa Mahalu, Mkristo.
Kwa maana hiyo, upande wa Serikali, Mkataba ule umeasisiwa na kusimamimwa na Wakristo watupu. Waziri wa Nchi Mkristo, Waziri Mkuu Mkristo, Mwanasheria Mkuu Mkristo.

Ni Wakristo! Wakristo! Wakristo!

Kama kwenye hoja ya makubaliano ya Bandari ni Wazanzibari wawili (ambao ni Waislamu) wamesaini makubaliano ya kuiuza Tanganyika, Mbona Waislamu hawakulalamika pale Wakristo 3 wazito Serikalini walipobuni mbinu za kutumia kodi za wananchi kuimarisha dini yao Ukristo Tanzania?

Kama hoja ni ukomo wa mkataba, mbona Mkataba huu wa Serikali na Makanisa hauna ukomo? Ni mkataba wa milele na ndio maana mpaka leo (miaka 30 sasa) bado unaendelea kutumika.

Bado Serikali inaendelea kutekeleza Mkataba wa kibaguzi ambapo inatumia kodi za wananchi wote kuimarisha shughuli za Kanisa.

USHAHIDI

Tarehe 23 Januari 2019, Rais Magufuli alikutana na viongozi wa dini zote IKULU. Kwenye Mkutano ule Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Tanga Bwana Maimo Mndolwa alilalamika kwa Rais Magufuli kuwa Serikali inavunja Mkataba kwa kujenga hospitali kwenye maeneo ambayo Kanisa imeachiwa kuwa na hosptali ambazo zinapewa fedha na Serikali.
Amelalamika hivyo kwa sababu Mkataba wa Makanisa na Serikali hauna ukomo. Kila penye hospitali ya Kanisa, Serikali haikutakiwa kujenga hospitali yake. Badala yake, Serikali inatakiwa kuendelea kutoa fedha za kodi kuwapa Makanisa ili ziendeshe hospitali zao na kuimarisha Ukristo kwa kutumia jasho la Watanzania.

Katika kusisitiza madai yake, Askofu Mkuu alitoa ushahidi wa hospitali zilizojengwa na Serikali katika Wilaya ya Ifakara, Ngara na Muheza ambazo kwa mujibu wa Mkataba wa 1993, Serikali haikutakiwa kujenga hospitali hizo za Wilaya.

Kitendo cha Serikali kujenga hospitali hizo kinatafsiriwa na Kanisa kuwa Serikali imevunja Mkataba kwa sababu sasa inatoa huduma hiyo muhumu kwa wananchi.

Askofu Mkuu alifafanua kua matatizo haya yapo kwenye ngazi ya Wilaya kwa sababu kwenye ngazi za juu, hakuna tatizo kwa kuwa kuna Msimamizi anaesimamia Mkataba huo.

Hapa Askofu Mkuu alikuwa ana maana kuwa hospitali za KCMC ya Moshi, Bugando ya Mwanza na CCBRT ya Dar es Salaam ambazo zote ni mali ya Kanisa bado zinaendelea kupata fedha za kodi huku zikiendelea kuwalipisha wananchi kwa huduma wanazopewa kwenye hospitali hizo.

Rais Samia Suluhu Hassan alifanya Mkutano na Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania uliofanyika Kurasini tarehe 25 Juni 2021. Katika risala yao, Baraza la Maaskofu limeilaumu Serikali kwa kujenga hospitali zake kinyume cha Mkataba wa 1992, na Makanisa.

Kwenye risala hiyo, Baraza la Maaskofu limeshangaa kuona Serikali inajenga hospitali kwenye Wilaya ambazo Makanisa tayari yana hospitali zao. Wamehoji kwa nini kuwepo na ushindani wa kutoa huduma hizo?

Kwa maana nyepesi, kwa nini Makanisa yasiachiwe kuendesha hospitali maisha (milele) na kuendelea kupewa ruzuku zinazotokana na kodi za wananchi?

Risala hiyo ni ya chombo cha juu kabisa katika Kanisa Katoliki ambao leo viongozi hao hao wanaohoji na kulalamika kuhusu makubaliano ya Serikali na DP World kuwa hayana ukomo!

Kanisa hilo hilo ambalo linapiga kelele kuhusu mkataba wa Serikali na DP World, ndilo ambalo kiongozi wake Askofu Method Kilaini alipewa shs. 80.9 milioni, Askofu Eusebius Nzigirwa alipewa shs. 40.4 milioni na Mchungaji Alphonce Twimanye Simon alipewa shs 40.4 milioni fedha za Rushwa zilizotokana na kashfa ya akaunti ya Tegeta ESCROW.

Hadi leo Kanisa halijatangaza hadharani hatua za kinidhamu iliyowachukulia viongozi hao. Ukimya huu tuutafsiri vipi? Kwa ukimya huu, Kanisa linapata wapi “moral authority” ya kupinga mkataba wa DP World.
[emoji525][emoji525][emoji525][emoji525][emoji525][emoji525][emoji525]

Hili la mkataba wa "Milele" kati ya serikali na Kanisa kuhusu Serikali kukaimisha huduma za Jamii kwa Kanisa halikubaliki na lazima litatuliwe.

1. Ni wajibu wa serikali kutumia kodi za wananchi kutoa huduma kwa umma na si kuingia mkataba wa kuipa upendeleo taasisi moja wa kutoa huduma hiyo bila kushirikisha wengine. Kufanya hivyo ni upendeleo ambao ni kinyume cha katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa ni marufuku kwa serikali kuendesha nchi kwa upendeleo.

2. Hoja kuwa eti huduma za makanisa zinahudumia wote hazina mashiko kwa sababu, Hata taasisi nyingine nazo zinahudumia wote. Kwa hiyo serikali haiwezi kukwepa lawama za upendeleo kwa kanisa.

3. Mkataba kati ya serikali na kanisa una kipengele cha Serikali kuyaombea funds makanisa pindi ifanyapo mazungumzo na mstaifa ya nje ili kuyasaidia kuendesha shughuli zao hizo. Hii ni sawasawa na serikali kufanya kazi ya kanisa huku taasisi nyingine zikiwa hazina Upendeleo kama huu.

4. Huu mkataba kati ya Serikali na Kanisa hauwezi kutetewa kwa hoja eti "huduma zinanufaisha wote" wakati tunajua kuwa kuna mambo ya biashara humo na kuna ajira, na serikali haina ubia kwenye faida hizo wala say katika ajira na mambo mengine ya utawala katika hospitali hizo.

Kiufupi ni Jukumu la Serikali kutoa huduma kwa umma, na kama imeamua kuinvolve sector binafsi, basi iwe fair kwa wote, siyo unaipa "dili" taasisi moja kimyakimya halafu wengine unawaacha pembeni!.

Hii MoU ya kanisa na serikali ni time bomb, Taasisi nyingine za watu binafsi na dini zenye nia ya kutoa huduma kwa umma kamwe haziwezi kukubaliana na Upendeleo huu wa wazi kwa Kanisa kutumia resources za serikali kupata advantage zaidi yao.
 
Kanisa gani unalolizungumzia hapa?
Ni vizuri ukilitaja.
Kanisa letu la Mchungaji Mwamposa halijaingia Mkataba wowote na Serikali.
 
Kwani Taasisi zilizo chini ya BAKWATA hazina Mkataba huo na Serikali ?
Hazina,
na kwa kweli hazipaswi kuwa na aina ya mkataba wenye vifungu kama hivyo vilivyomo ktk mkataba kati ya serikali na Kanisa. Sisi tunaotaka fairness ya serikali katika dealings zake, mikataba ya hivi ni breeding ya migogoro, hivyo basi kama serikali haiwezi kuwa na MoU ya hivi kwa taasisi zote za wenye dini, wasio na dini na watu binafsi basi ni bora ikatumia mipesa hiyo inayogawa kwa kanisa kila mwaka, ambayo ni kodi za wananchi wote kujenga hospitali zake yenyewe.

Sasa just imagine inafikia hatua Maaskofu wanalalamika eti kwa nini serikali inajenga hospitali zake mahali ambako tayari hospitali za kanisa zipo. Unaona hatari ya mkataba huu?.
 
Kampuni ya DP World ambayo katika Mkataba wa Bandari kati ya Ufalme wa Dubai na Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa kuendesha Bandari zote Tanzania Bara (Tanganyika) inatumia faida inayopata katika biashara zake kusaidia misikiti na Waislamu kwa ujumla.

Mwaka huu wakati wa mfungo wa Radhamani, wawakilishi wa DP World walitembelea Mbeya ambako waliahidi kujenga Msikiti wa Masjid Al Jumaa na misaada mbalimbali. Baada ya hapo walisema wanakwenda Zanzibar ambako nako pia watafanya hayo hayo.

Video:

Video hii imerekodiwa kwa lugha ya Kingereza na Kiswahili na ilichukuliwa Mkoani Mbeya! Je, ulijua kuwa Kampuni ya DP ina malengo pia ya kukuza Uislamu mahali popote pale inapokuwa duniani? Je, ulijua kuwa DP World ina malengo ya kidini? Je, unafikiri hii ndiyo sababu Sheikh Mwaipopo alitoa kauli kali ya kutisha na kuonya Waislamu wasihudhurie Mkutano wa Temeke wa 23 Julai 2023 uliolenga kujadili na kuhoji Mkataba wa Bandari unaolalamikiwa sana?

Je, unafikiri kwa nini wawakilishi wa DP World walipofika hawakutembelea Makanisa, viwanja vya michezo, vyuo vikuu badala yake waliamua kutembelea Misikiti na kuahidi kutoa misaada huko? Je, faida watakayopata DP World katika kuendesha Bandari zetu itatokana na Kodi za Waislamu pekee?

Je, unafikiri moja ya sababu za Spika Dkt. Tulia kuutetea Mkataba wa Bandari na kufikia hatua ya kuwaita wanaoupinga kuwa ni 'wapumbavu wasiosha upumbavu wao' ni pamoja na hao DP World kutembelea Mbeya na kuwasidia wapiga kura wake Waislamu kwa kuaahidi kuwajengea Msikiti wa Masjid Al Jumaa?

Usimkarikie Askofu Mwamakula kwa kuandika haya na kuweka video hii hapa, wakasikirikie DP World kwa kuweka malengo yao wazi kuwa wanasaidia misikiti na sio dini nyingine. Pia, walaumu waliovujisha video hii hadi ikamfikia Askofu. Je, ni nani sasa anayeleta udini katika mjadala huu wa Mkataba wa Bandari? Je, ni DP World au wanaoupinga Mkataba wa Bandari?

Je, kuweka hadharani habari hizi ni uchochezi, uhalisia au uzalendo? Je, ni kwa nini viongozi wa Serikali na CCM hawaweki wazi wananchi katika mikutano yao ya hadhara kuwa faida mojawapo ya DP World ni pamoja na kujenga misikiti na kusaidia Uislamu? Je, ni kwa nini hili linafichwa wakati liko wazi hata katika malengo ya DP World? Kama Serikali haikujua malengo hayo, Waarabu hao wangesafiri hadi Mbeya kwa kificho na kuahidi kujenga misikiti nchini?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 26 Julai 2023; 07:55 am.
Sasa twende mbele turudi nyuma, kuna ubaya gani taasisi ya nje kutoa misaada ya kuendeleza dini mojawapo nchini?
Ghadafi alijenga msikiti mkubwa Dodoma, hata kama angejenga chuo kikuu cha ki Islam, au benk, kuna shida gani? Kwani wa Islam sio wa Tanzania? Je hawastahili msaada kutoka taasisi za, nje zenye mlengo kama wao?
Hapa nchini kuna shule zinafadhiliwa na uturuki, Iran, sasa Dp world kutoa msaada wa, kijamii kwa wa Islam kwanini iwe nongwa? DP world, inatoka nchi ya, ki Islam sasa kimantiki, ulitaka ije kutoa msaada, wa, biblia, rozali na kujenga makanisa?
Wabongo tujifunze critical thinking, sio kuwa emotional na kumeza kila kitu tunacholishwa na hawa alarmists.
Nimefatilia kesi huko ulaya, ambapo tumeshitakiwa, Ambapo Prof Mruma, na wenzie wanajaribu kujitetea, nimegundua, Serikalini, na wizarani kuna wajinga wengi, na vilaza, hawa maofisa kwenye wizara zetu, ni incompetent kanisa, hawa na weredi kabisa,ukiacha kutokuwa na command ya kizungu vzr,lakini hawajiamini, wanababaika, yaani wanaonyesha picha ya unyonge,utafikiri mbongo kafikishwa kituo cha police! Nimeshindwa kuamini kama ndio hawa, wanaotufanyia fujo na vingora vyao wakiwa barabarani na V8 za, STL, STM, STK!
Tupunguze ujinga,Ulaya, Israel, ina,taasisi nyingi zinazosaidia makanisa, na, wakristo, sasa ikija taasisi inataka, kusaidia wa Islam kwanini inakuwa nongwa? Ubaya, upo wapi? Msikiti ni nyumba ya, ibada,sasa, ikijengwa Mbeya, ubaya, upo wapi? Kwani, kuna watu wanalazimishwa kuslim?
Kama, mkataba ni mbaya,tuonyeshe ubaya, tuache hizi, propaganda, za, kijinga.Mkapa alitoa majengo ya chuo cha ufundi cha tanesco kidatu, na kuyagawa kwa wa Islam ndio kikaanzishwa chuo kikuu cha ki Islam morogoro!
Kwa vile alitoa raisi mkristo kwenda kwa Islam, waafidhina wa kikristo, hawa kupiga kelele Sana, ingekuwa ametoa Raisi muislam, kwenda, kwa wa Islam, kelele kutoka kwa wakristo wajinga zingekuwa nyingi.
Tuonyeshe ubaya wa kiuchumi wa mkataba, na wizi ufisadi wa ccm, tuache propaganda za, kijinga.
 
Hazina,
na kwa kweli hazipaswi kuwa na aina ya mkataba wenye vifungu kama hivyo vilivyomo ktk mkataba kati ya serikali na Kanisa. Sisi tunaotaka fairness ya serikali katika dealings zake, mikataba ya hivi ni breeding ya migogoro, hivyo basi kama serikali haiwezi kuwa na MoU ya hivi kwa taasisi zote za wenye dini, wasio na dini na watu binafsi basi ni bora ikatumia mipesa hiyo inayogawa kwa kanisa kila mwaka, ambayo ni kodi za wananchi wote kujenga hospitali zake yenyewe.

Sasa just imagine inafikia hatua Maaskofu wanalalamika eti kwa nini serikali inajenga hospitali zake mahali ambako tayari hospitali za kanisa zipo. Unaona hatari ya mkataba huu?.
Kwahiyo ruzuku wanayopewa BAKWATA na Serikali haipo kwenye Mkataba?
Au ni Makubaliano tu
 
Mimi natokea Iringa.Nilishangaa kuona inajengwa misikiti tu badala hata ya kuwajengea shule au miradi mingine ili waislamu waboreshe maisha yao.Hata kijijini kwangu kulikuwa na msikiti wa miaka mingi,lakini waliongezea msikiti wa pili bila kujali idadi ya waislamu.
Kwani huwa wana hiyo akili.
Wanajua wakikupumbaza kama mwaipopo utaishia kuwa omba omba kila siku.
Huwezi kujitegemea
 
Hili la mkataba wa "Milele" kati ya serikali na Kanisa kuhusu Serikali kukaimisha huduma za Jamii kwa Kanisa halikubaliki na lazima litatuliwe.

1. Ni wajibu wa serikali kutumia kodi za wananchi kutoa huduma kwa umma na si kuingia mkataba wa kuipa upendeleo taasisi moja wa kutoa huduma hiyo bila kushirikisha wengine. Kufanya hivyo ni upendeleo ambao ni kinyume cha katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa ni marufuku kwa serikali kuendesha nchi kwa upendeleo.

2. Hoja kuwa eti huduma za makanisa zinahudumia wote hazina mashiko kwa sababu, Hata taasisi nyingine nazo zinahudumia wote. Kwa hiyo serikali haiwezi kukwepa lawama za upendeleo kwa kanisa.

3. Mkataba kati ya serikali na kanisa una kipengele cha Serikali kuyaombea funds makanisa pindi ifanyapo mazungumzo na mstaifa ya nje ili kuyasaidia kuendesha shughuli zao hizo. Hii ni sawasawa na serikali kufanya kazi ya kanisa huku taasisi nyingine zikiwa hazina Upendeleo kama huu.

4. Huu mkataba kati ya Serikali na Kanisa hauwezi kutetewa kwa hoja eti "huduma zinanufaisha wote" wakati tunajua kuwa kuna mambo ya biashara humo na kuna ajira, na serikali haina ubia kwenye faida hizo wala say katika ajira na mambo mengine ya utawala katika hospitali hizo.

Kiufupi ni Jukumu la Serikali kutoa huduma kwa umma, na kama imeamua kuinvolve sector binafsi, basi iwe fair kwa wote, siyo unaipa "dili" taasisi moja kimyakimya halafu wengine unawaacha pembeni!.

Hii MoU ya kanisa na serikali ni time bomb, Taasisi nyingine za watu binafsi na dini zenye nia ya kutoa huduma kwa umma kamwe haziwezi kukubaliana na Upendeleo huu wa wazi kwa Kanisa kutumia resources za serikali kupata advantage zaidi yao.
Hiyo ni CHIKI YA wewe Muislam Siasa KALI si fikiri kama Muislam wa kawaida ana chuki kama yako, ambayo ninaona inakupelekea sasa utake kujilipua au uende ukajiunge na Alshabab au wale ISIS wa Msumbiji.
Kwa suala hilo la MoU na Makanisa (suala letu la ndani ya nchi) si la kulileta hapa kwenye issue serious ya taifa la nje kutaka kutuvunjia Amani ya Watanzania.
Anzishia thread yake ili hata wenye mamlaka wakiona wafuatilie mtiririko wa hoja.
 
Yote haya yanatokea kwasbb tu wawekezaji wametokea nchi miongon mwa nchi zenye asilimia kubwa ya waislam.

Wivu utawaua.
 
Back
Top Bottom