Sikiliza suala siyo kusaidia jamii Fulani ya Watanzania kutokana na matakwa Yako na walengwa; watanzania hawana shida na hilo. Tumeshuhudia nchi za Kiarabu zikijenga Misikiti mingi tu, ushahidi upo hata ukipita kwenye highways zetu- halikutuletea nongwa. Halafu nikuambie Hawa wakiristo sasa hivi makanisa yao YANAJENGWA KWA MICHANGO YAO WENYEWE. ndyo maana utaona makanisa kama pale TANKI BOVU limechukua muda sana kumalizika. Hakuna misaada hiyo.Kwani Serikali ya Vatican wakiamua kujenga kanisa Tz ni dhambi? Mbona serikali ya Gadafi ilijenga msikiti Dodoma na pia Waarabu waliahidi kujenga uwanja mkubwa wa mpira pale Dodoma na haijawahi kuwa nongwa? Acheni propaganda na uchochezi wa kidini. Weka makosa uliyoyaona wewe ya kwenye mkataba lakini sio kumpangia mtu kutumia pesa yake kusaidia jamii.
Hawa DP WORLD wanachofanya na Serikali ikalifumbia macho ni hongo ya kupatiwa mkataba wa Bandari. Na mbaya zaidi hongo hiyo pia Ina mlengo wa Udini. Jambo hili linazusha maswali kuwa hata huko mbeleni, mfano ajira na maslahi mengine ya SOCIAL RESPONSIBILITY yatakuwa ya Udini
Nikwambie? Sakata hili la DP WORLD Lina sura (dimensions) kama tatu hivi
1. Legal Dimension, ambayo sisi humu si wengi tunaweza kutafsiri vifungu hivyo vya mkataba, labda wake watu kama Mwambukusi na Tundu Lissu watufafanulie
2. Political Dimensions
3. Social Dimension ambayo inatugusa sisi wote na jambo Moja wapo ni masuala haya ya dini zetu
Ndyo maana wengi wamechangia Uzi huu