Askofu Mwamakula: DP World kujenga msikiti wa Masjid al jumaa wa Mbeya na kuendelea kusaidia dini ya kiislam nchini Tanzania!

Askofu Mwamakula: DP World kujenga msikiti wa Masjid al jumaa wa Mbeya na kuendelea kusaidia dini ya kiislam nchini Tanzania!

Kwani Serikali ya Vatican wakiamua kujenga kanisa Tz ni dhambi? Mbona serikali ya Gadafi ilijenga msikiti Dodoma na pia Waarabu waliahidi kujenga uwanja mkubwa wa mpira pale Dodoma na haijawahi kuwa nongwa? Acheni propaganda na uchochezi wa kidini. Weka makosa uliyoyaona wewe ya kwenye mkataba lakini sio kumpangia mtu kutumia pesa yake kusaidia jamii.
Sikiliza suala siyo kusaidia jamii Fulani ya Watanzania kutokana na matakwa Yako na walengwa; watanzania hawana shida na hilo. Tumeshuhudia nchi za Kiarabu zikijenga Misikiti mingi tu, ushahidi upo hata ukipita kwenye highways zetu- halikutuletea nongwa. Halafu nikuambie Hawa wakiristo sasa hivi makanisa yao YANAJENGWA KWA MICHANGO YAO WENYEWE. ndyo maana utaona makanisa kama pale TANKI BOVU limechukua muda sana kumalizika. Hakuna misaada hiyo.
Hawa DP WORLD wanachofanya na Serikali ikalifumbia macho ni hongo ya kupatiwa mkataba wa Bandari. Na mbaya zaidi hongo hiyo pia Ina mlengo wa Udini. Jambo hili linazusha maswali kuwa hata huko mbeleni, mfano ajira na maslahi mengine ya SOCIAL RESPONSIBILITY yatakuwa ya Udini
Nikwambie? Sakata hili la DP WORLD Lina sura (dimensions) kama tatu hivi
1. Legal Dimension, ambayo sisi humu si wengi tunaweza kutafsiri vifungu hivyo vya mkataba, labda wake watu kama Mwambukusi na Tundu Lissu watufafanulie
2. Political Dimensions
3. Social Dimension ambayo inatugusa sisi wote na jambo Moja wapo ni masuala haya ya dini zetu
Ndyo maana wengi wamechangia Uzi huu
 
Ndio kwa sababu ni wageni wa watanzania wote.
Kwanini wasijenge mashule na mahospital watoto wote wa Nyerere tufaidi?

Wewe huoni huyo muwekezaji anachofanya kinasababisha watanzania ambao ni wakristo,wapagani,wahindu na wenye imani nyingine waone waislamu ni matakataka?

Hata hivyo nimefurahi wanavyowajengea misikiti badala ya shule mana ajira zenyewe chache.Endeleeni kushinda misikitini mkipigiana story za mabikira 72 ila muache kulalamika eti wakristo ndo wameshika nafasi kubwa nchini.
Nakubaliana na wewe kama wameamua kusaidia jamii better wajenge Huduma za kijamii kama mashule, hospital, maji n.k. wanakosea kujikita kujenga nyumba za ibada wakati wameingia mkataba na nchi ya Tanzania ambao ndani yake Kuna raia wenye Imani tofauti.
 
Hizo pesa ni zao wana haki ya kuzitumia wanavotaka wao wenyewe ilimradi tu hawavunji sheria
 
Hizo pesa ni zao wana haki ya kuzitumia wanavotaka wao wenyewe ilimradi tu hawavunji sheria
DP ana uhusiano na Serikali ya Tanzania ambayo Katiba ya si ya kidini. Msitake kutuletea Sharia kama mnavyoiingiza kidogo kidogo Zanzibar. Katika inatambua kuwa watanzania wote ni sawa. Sasa kama hapa MWANZO tu ameishaonyesha upendeleo wa kidini huko mbeleni je? Si ndyo waajiriwa wote watakuwa Waislam!! Na social responsibility zake ataelekeza kwa Waislam!
Baadhi yenu nyinyi Waislam mmegubikwa na Udini mbaka masuala ya kawaida kabisa ya KUTIMIA hekima yanawashinda!
Ndyo maana Waislam wamekatibishwa Europe lakini sasa wanataka kuwapanda kichwani na kutaka sharia ikubaliwe.
Mwana Mfalme wa Saudia mwenzenu ameisha yasitukia mafundisho ya Quran
 
Hapa kwenye video Waislam wamekaribishwa Uingereza na sasa

wanataka Serikali ya Uingereza iruhusu Blasphemy Law itumike ili wawe wanaua watu wanao msema vibaya Mohammad au Quran
 
Hapa kwenye video Waislam wamekaribishwa Uingereza na sasa
View attachment 2701441
wanataka Serikali ya Uingereza iruhusu Blasphemy Law itumike ili wawe wanaua watu wanao msema vibaya Mohammad au Quran
Dini ambayo haina upendo kama hii haifai kabisa, ni dini potofu. Inampigia mungu wake wakati mungu ndiyo inabidi awapiganie wao (watu wake)
 
Kama kuna kitu kitakachoiingiza Tanzania katika vita vya wenyewe kwa wenyewe ni dini. Na vita ya kidini hapa Tanzania italetwa na Wakristo wasioridhishwa kwamwe juu ya upendeleo wote waliopewa, bali Muislamu akishika madaraka tu wanaanza mayowe ya Udini! Katika watu extremists, parochial na wasiokubali co-existance ni hawa. Naturally, si wote, lakini dini yao ndiyo kinara wa machafuko ya Kidini Tanzania.
Mayowe ya UDINI yanasababishwa na uuzaji wa rasilimali zetu za Taifa kwa Waarabu, alianza Mwinyi kuuza Loriondo na alikiri kwenye kitabu chake. Amekuja huyu wa Sasa, Yale Yale.
 
Aeneze huo Uislamu wake kwa mapato halali atayopata, sio aeneze huo Uislamu hadi kwa kuwaibia nyie wenyewe halafu mnashangilia, wajinga ndio mliwao, werevu tutaendelea kuupinga huo utapeli mpaka mwisho.
Sawa kabisa yaani
 
Kampuni ya DP World ambayo katika Mkataba wa Bandari kati ya Ufalme wa Dubai na Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa kuendesha Bandari zote Tanzania Bara (Tanganyika) inatumia faida inayopata katika biashara zake kusaidia misikiti na Waislamu kwa ujumla.

Mwaka huu wakati wa mfungo wa Radhamani, wawakilishi wa DP World walitembelea Mbeya ambako waliahidi kujenga Msikiti wa Masjid Al Jumaa na misaada mbalimbali. Baada ya hapo walisema wanakwenda Zanzibar ambako nako pia watafanya hayo hayo.

Video:

Video hii imerekodiwa kwa lugha ya Kingereza na Kiswahili na ilichukuliwa Mkoani Mbeya! Je, ulijua kuwa Kampuni ya DP ina malengo pia ya kukuza Uislamu mahali popote pale inapokuwa duniani? Je, ulijua kuwa DP World ina malengo ya kidini? Je, unafikiri hii ndiyo sababu Sheikh Mwaipopo alitoa kauli kali ya kutisha na kuonya Waislamu wasihudhurie Mkutano wa Temeke wa 23 Julai 2023 uliolenga kujadili na kuhoji Mkataba wa Bandari unaolalamikiwa sana?

Je, unafikiri kwa nini wawakilishi wa DP World walipofika hawakutembelea Makanisa, viwanja vya michezo, vyuo vikuu badala yake waliamua kutembelea Misikiti na kuahidi kutoa misaada huko? Je, faida watakayopata DP World katika kuendesha Bandari zetu itatokana na Kodi za Waislamu pekee?

Je, unafikiri moja ya sababu za Spika Dkt. Tulia kuutetea Mkataba wa Bandari na kufikia hatua ya kuwaita wanaoupinga kuwa ni 'wapumbavu wasiosha upumbavu wao' ni pamoja na hao DP World kutembelea Mbeya na kuwasidia wapiga kura wake Waislamu kwa kuaahidi kuwajengea Msikiti wa Masjid Al Jumaa?

Usimkarikie Askofu Mwamakula kwa kuandika haya na kuweka video hii hapa, wakasikirikie DP World kwa kuweka malengo yao wazi kuwa wanasaidia misikiti na sio dini nyingine. Pia, walaumu waliovujisha video hii hadi ikamfikia Askofu. Je, ni nani sasa anayeleta udini katika mjadala huu wa Mkataba wa Bandari? Je, ni DP World au wanaoupinga Mkataba wa Bandari?

Je, kuweka hadharani habari hizi ni uchochezi, uhalisia au uzalendo? Je, ni kwa nini viongozi wa Serikali na CCM hawaweki wazi wananchi katika mikutano yao ya hadhara kuwa faida mojawapo ya DP World ni pamoja na kujenga misikiti na kusaidia Uislamu? Je, ni kwa nini hili linafichwa wakati liko wazi hata katika malengo ya DP World? Kama Serikali haikujua malengo hayo, Waarabu hao wangesafiri hadi Mbeya kwa kificho na kuahidi kujenga misikiti nchini?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 26 Julai 2023; 07:55 am.
Oooh

Sad

Askofu has fallen into a very bad hate trap
 
Dini ambayo haina upendo kama hii haifai kabisa, ni dini potofu. Inampigia mungu wake wakati mungu ndiyo inabidi awapiganie wao (watu wake)
Umesema kweli Kabisa; Na waonea huruma baadhi ya Waislam ambao kwa asili ya ubinadamu ni watu wema na wanamtafuta Mungu wa Kweli kwa bidii ingawa walizaliwa katika hiyo balaa. cha ajabu ni kuwa Mohammad kwenye vitabu vyao na maelezo ya watu wa karibu na Mohammad alikufa, wakikumbuka kuwa aliwaambia kuwa prophets dont die, wakaamini kuwa hajafa, mpaka alipoanza kuoza ndyo walimzika. kitabu chao kinasema atafufuka siku ya kiyama (but as by the Bible he won't). Kitabu chao hicho hicho kinasema Yesu alichukuliwa akawe na Mungu Mbinguni na ndiye atakaye kuja wakati wa kiyama. Sasa unajiuliza mtu mwenye hekima ya kawaida tu hawezi connect the dots za story hizi za Quran zilizopotoshwa na shetani paomoja na Biblia ambayo iliandikwa na eye witnesses wa wakati wa Yesu (na tena wakiongozwa na Roho takatifu) na hivyo wang'amue kuwa huyu Yesu inabidi tumjue vizuri kwa sababu ndye ataamua hali yetu ya Uzima wakati wa Kiyama na kwa sasa ndye aliye karibu na Mungu na kwakweli yeye ndyie anayeshauriana na Mungu
Watakuja kutamua hilo wakati it's too late
 
Mayowe ya UDINI yanasababishwa na uuzaji wa rasilimali zetu za Taifa kwa Waarabu, alianza Mwinyi kuuza Loriondo na alikiri kwenye kitabu chake. Amekuja huyu wa Sasa, Yale Yale.
Angeuziwa mzungu yangeisha?
 
Umesema kweli Kabisa; Na waonea huruma baadhi ya Waislam ambao kwa asili ya ubinadamu ni watu wema na wanamtafuta Mungu wa Kweli kwa bidii ingawa walizaliwa katika hiyo balaa. cha ajabu ni kuwa Mohammad kwenye vitabu vyao na maelezo ya watu wa karibu na Mohammad alikufa, wakikumbuka kuwa aliwaambia kuwa prophets dont die, wakaamini kuwa hajafa, mpaka alipoanza kuoza ndyo walimzika. kitabu chao kinasema atafufuka siku ya kiyama (but as by the Bible he won't). Kitabu chao hicho hicho kinasema Yesu alichukuliwa akawe na Mungu Mbinguni na ndiye atakaye kuja wakati wa kiyama. Sasa unajiuliza mtu mwenye hekima ya kawaida tu hawezi connect the dots za story hizi za Quran zilizopotoshwa na shetani paomoja na Biblia ambayo iliandikwa na eye witnesses wa wakati wa Yesu (na tena wakiongozwa na Roho takatifu) na hivyo wang'amue kuwa huyu Yesu inabidi tumjue vizuri kwa sababu ndye ataamua hali yetu ya Uzima wakati wa Kiyama na kwa sasa ndye aliye karibu na Mungu na kwakweli yeye ndyie anayeshauriana na Mungu
Watakuja kutamua hilo wakati it's too late
Siasa yako ikufikishe Ikulu na nuru ya bwana ikuangazie milele baba askofu
 
Siasa yako ikufikishe Ikulu na nuru ya bwana ikuangazie milele baba askofu
Hahahaah mkuki kwa nguruwe kwa binadam mchungu,
Miaka ya 1800s waingereza wanajenga makanisa, shule za mission nk jambo lililo wafanya wakristo nchini baada ya uhuru kuwa mbali kimaendeleo waislamu kuonekana wasindikizaji na kuchekwa,

Leo tulieni hivyo hivyo sindano iwaingie vizuri. MUNGU SAIDIA DP WORLD WAPEWE BANDARI ZOTE hahajhahahah
 
Hao matapeli wa kiarabu wamefeli na vilemba vyao, kwa akili za wajinga hapo wanaweza kufurahi wanasaidiwa, kumbe hawajui huo msaada wanaopewa ni kutokana na kile walichoibiwa toka kwenye ule mkataba wa hovyo wa bandari.
Magufuli alijenga msikiti Dodoma kwa pesa alizoanza kuchangisha ndani ya kanisa, sijui kama tulimuelewa.

Kule Misri kuna msikiti unaopakana na kanisa, ukiwa njiani unaelekea kule giza kwenye zile pyramids.
 
DP ana uhusiano na Serikali ya Tanzania ambayo Katiba ya si ya kidini. Msitake kutuletea Sharia kama mnavyoiingiza kidogo kidogo Zanzibar. Katika inatambua kuwa watanzania wote ni sawa. Sasa kama hapa MWANZO tu ameishaonyesha upendeleo wa kidini huko mbeleni je? Si ndyo waajiriwa wote watakuwa Waislam!! Na social responsibility zake ataelekeza kwa Waislam!
Baadhi yenu nyinyi Waislam mmegubikwa na Udini mbaka masuala ya kawaida kabisa ya KUTIMIA hekima yanawashinda!
Ndyo maana Waislam wamekatibishwa Europe lakini sasa wanataka kuwapanda kichwani na kutaka sharia ikubaliwe.
Mwana Mfalme wa Saudia mwenzenu ameisha yasitukia mafundisho ya Quran
Wacha porojo pesa ni zao wacha watumie wanavoona wao inafaa
 
Askofu Mwamakula kakosea timing ya tamko lake. Maoni yake haya alipaswa akae nayo kifuani ili kuondoa propaganda za wanaotaka kutumia dini kuua umoja wa kitaifa kwenye kuukataa mkataba huu.

Sasa amewapa ammunition akina Mwaipopo waliyokuwa wanaitafuta.

Njia ya kudeal na akina Mwaipopo ni kuwaignore ili ujinga wao ujionyeshe wenyewe. uachie umma udeal nao kwenye tit for tat, ila Askofu wewe inabidi uconcentrate ktk hoja za mkataba ulivyo.

Ukishaanza kuhoji misikiti, unaibua hisia za waislamu kuwa kumbe wewe ugomvi wako siyo mkataba bali una ugomvi na waislamu kitu ambacho pengine si kweli.
Laita angekuwepo hapa angekuelewa kwa uahauri wako huu
 
Acheni chuki na udini ndugu zetu wadamu.
Mwacheni Mama afanye kazi.
 
Basi waje tu hata kesho ili tubalance equation
IMG-20230625-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom