Askofu Rashid Daraja Kapewa na nani ?Hivi wewe unamjua Mwamakula au unamsikia na kumuona tu kwenye mitandao ya kijamii,je unalijua hilo kanisa lake hata lilipo na je unajua huo''uaskofu ''kasimikwa na nani na alipata wapi,huyu ni sawa na kusikia kuwa kuna chuo kikuu kinaitwa Sokwine wakati tuna chuo kinaitwa Sokoine...
Hivi wewe unamjua Mwamakula au unamsikia na kumuona tu kwenye mitandao ya kijamii,je unalijua hilo kanisa lake hata lilipo na je unajua huo''uaskofu ''kasimikwa na nani na alipata wapi,huyu ni sawa na kusikia kuwa kuna chuo kikuu kinaitwa Sokwine wakati tuna chuo kinaitwa Sokoine.Narudia tena huyu Mwamakula si askofu ,usidanganyike na kuvaa kwake mkofia na mkanzu wa kuigiza maaskofu wa kweli,mwenzenu anajitafutia umarufu kupitia siasa,dini imemshinda kupitia Chadema ndio ameanza kujulikana na si kupitia kanisa,hana kanisa kama mnabisha aweke usajiri wa kanisa lake hapa.
Kamaa wote wamekaa kimyaa, mbona yeye anaongea?? Halafu mbona kilakona watu wanaongea?? Au yeye alitaka tuandamane taifa lote, ndo aamini watu wanaongea?? Au yeye anatakajeee?
Hivi unapafahamu alipopatia uaskofu Gwajima ?Hivi wewe unamjua Mwamakula au unamsikia na kumuona tu kwenye mitandao ya kijamii,je unalijua hilo kanisa lake hata lilipo na je unajua huo''uaskofu ''kasimikwa na nani na alipata wapi,huyu ni sawa na kusikia kuwa kuna chuo kikuu kinaitwa Sokwine wakati tuna chuo kinaitwa Sokoine.Narudia tena huyu Mwamakula si askofu ,usidanganyike na kuvaa kwake mkofia na mkanzu wa kuigiza maaskofu wa kweli,mwenzenu anajitafutia umarufu kupitia siasa,dini imemshinda kupitia Chadema ndio ameanza kujulikana na si kupitia kanisa,hana kanisa kama mnabisha aweke usajiri wa kanisa lake hapa.
Lakini ni Mtanzania anaetumia haki yake ya kikatiba kutoa maoni yake.Hivi wewe unamjua Mwamakula au unamsikia na kumuona tu kwenye mitandao ya kijamii,je unalijua hilo kanisa lake hata lilipo na je unajua huo''uaskofu ''kasimikwa na nani na alipata wapi,huyu ni sawa na kusikia kuwa kuna chuo kikuu kinaitwa Sokwine wakati tuna chuo kinaitwa Sokoine.Narudia tena huyu Mwamakula si askofu ,usidanganyike na kuvaa kwake mkofia na mkanzu wa kuigiza maaskofu wa kweli,mwenzenu anajitafutia umarufu kupitia siasa,dini imemshinda kupitia Chadema ndio ameanza kujulikana na si kupitia kanisa,hana kanisa kama mnabisha aweke usajiri wa kanisa lake hapa.
Wewe kama unanufaika na mfumo uliopo, ujue tu haiwezekani kamwe watu wote kukaa kimya. Tunaenda na Baba Askofu sasa.Hivi wewe unamjua Mwamakula au unamsikia na kumuona tu kwenye mitandao ya kijamii,je unalijua hilo kanisa lake hata lilipo na je unajua huo''uaskofu ''kasimikwa na nani na alipata wapi,huyu ni sawa na kusikia kuwa kuna chuo kikuu kinaitwa Sokwine wakati tuna chuo kinaitwa Sokoine.Narudia tena huyu Mwamakula si askofu ,usidanganyike na kuvaa kwake mkofia na mkanzu wa kuigiza maaskofu wa kweli,mwenzenu anajitafutia umarufu kupitia siasa,dini imemshinda kupitia Chadema ndio ameanza kujulikana na si kupitia kanisa,hana kanisa kama mnabisha aweke usajiri wa kanisa lake hapa.
Hanufaiki chochote ! ni kujipendekeza tu , huyu kwao ni Kyela , kijiji cha Tenende , sasa muulize sababu za mpunga wa kyela kushuka bei na kukosa wanunuzi ni nini ?Wewe kama unanufaika na mfumo uliopo, ujue tu haiwezekani kamwe watu wote kukaa kimya. Tunaenda na Baba Askofu sasa.
Wanafiki nyinyi mbona Marehemu Balozi Mahiga alikua a kuwa kauli ya Pauli ni yake binafsi.Hatuko tayari na ndoa za jinsia moja zifungwe makanisanii ili misaada ijee.
@mfianchi .Swala siyo kumjua na hatutafuti kujana . Bali hoja yake . KASEMA UONGO ?!Hivi wewe unamjua Mwamakula au unamsikia na kumuona tu kwenye mitandao ya kijamii,je unalijua hilo kanisa lake hata lilipo na je unajua huo''uaskofu ''kasimikwa na nani na alipata wapi,huyu ni sawa na kusikia kuwa kuna chuo kikuu kinaitwa Sokwine wakati tuna chuo kinaitwa Sokoine.Narudia tena huyu Mwamakula si askofu ,usidanganyike na kuvaa kwake mkofia na mkanzu wa kuigiza maaskofu wa kweli,mwenzenu anajitafutia umarufu kupitia siasa,dini imemshinda kupitia Chadema ndio ameanza kujulikana na si kupitia kanisa,hana kanisa kama mnabisha aweke usajiri wa kanisa lake hapa.
Wale maaskofu wa penslavia sijui wapi huko waliompa jpm shahada wiki iliyopita usajili wa kanisa lao unaujua.Hivi wewe unamjua Mwamakula au unamsikia na kumuona tu kwenye mitandao ya kijamii,je unalijua hilo kanisa lake hata lilipo na je unajua huo''uaskofu ''kasimikwa na nani na alipata wapi,huyu ni sawa na kusikia kuwa kuna chuo kikuu kinaitwa Sokwine wakati tuna chuo kinaitwa Sokoine.Narudia tena huyu Mwamakula si askofu ,usidanganyike na kuvaa kwake mkofia na mkanzu wa kuigiza maaskofu wa kweli,mwenzenu anajitafutia umarufu kupitia siasa,dini imemshinda kupitia Chadema ndio ameanza kujulikana na si kupitia kanisa,hana kanisa kama mnabisha aweke usajiri wa kanisa lake hapa.