UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,047
- 9,346
Kamanda anatarajiwa kugombea jimbo gani?Mungu mbariki Baba Askofu Mwamakula
Kamanda anatarajiwa kugombea jimbo gani?Mungu mbariki Baba Askofu Mwamakula
Halafu baada ya kupinga hiyo kauli ya makonda, ndo ukaona ndoa za jinsia moja zikafungwa kanisani kwakoo??Wanafiki nyinyi mbona Marehemu Balozi Mahiga alikua a kuwa kauli ya Pauli ni yake binafsi.
Jibu hoja.Vitabu vingi wanavyosoma wasomi waandishi wake walishakufa,Sasa kwa nini wanaendelea kuamini na kutumia maarifa hayo?Bora hata huyu anayemwanini Mtanzania mwenzake,tena angali hai.Fikiria kama mtu makini,acha easy thinking,inaua.Hivi wewe unamjua Mwamakula au unamsikia na kumuona tu kwenye mitandao ya kijamii,je unalijua hilo kanisa lake hata lilipo na je unajua huo''uaskofu ''kasimikwa na nani na alipata wapi,huyu ni sawa na kusikia kuwa kuna chuo kikuu kinaitwa Sokwine wakati tuna chuo kinaitwa Sokoine.Narudia tena huyu Mwamakula si askofu ,usidanganyike na kuvaa kwake mkofia na mkanzu wa kuigiza maaskofu wa kweli,mwenzenu anajitafutia umarufu kupitia siasa,dini imemshinda kupitia Chadema ndio ameanza kujulikana na si kupitia kanisa,hana kanisa kama mnabisha aweke usajiri wa kanisa
Na sasa, kwa kuwa Mwamakula ameongea ndiyo umeziandaa hizo ndoa za jinsia moja ?!Halafu baada ya kupinga hiyo kauli ya makonda, ndo ukaona ndoa za jinsia moja zikafungwa kanisani kwakoo??
Alichaguliwa na wachungaji wenzie ana makabila yenye maelfu ya wAtu ndani n.a. the ya nchi Askofu mwamakula unaijua hata hilo kanisa lake lilipo? Mtaa gani? Zaidi ya kumuona mitandaoni?Askofu Rashid Daraja Kapewa na nani ?
Tanzania imekuwa kama nchi ya Zaire ya Mobutu kitu kizuri kikifanyika utasikia tunamshukuru rais wetu mpendwa, Mambo yakienda shagharabhaghala wanalaumiwa wapinzani na mabeberu! Mf.kuanguka bei za mazao hutasikia jina la rais likitajwa.Hanufaiki chochote ! ni kujipendekeza tu , huyu kwao ni Kyela , kijiji cha Tenende , sasa muulize sababu za mpunga wa kyela kushuka bei na kukosa wanunuzi ni nini ?
Kazi ya Askofu sio kuhangaika na katiba iliyoabdikwa na wanadamu kazi yake kuhangaika na Biblia iliyoandikwa na MunguLakini ni Mtanzania anaetumia haki yake ya kikatiba kutoa maoni yake.
Au ninasema uongo ndugu zangu?
Aliyoyasema ni uongo? Kazi ya kiongozi wa dini ni kusimamia ukweli.Kazi ya Askofu sio kuhangaika na katiba iliyoabdikwa na wanadamu kazi yake kuhangaika na Biblia iliyoandikwa na Mungu
Kazi ya Askofu sio Umbeya kusema yanayoendelea mitaani bali kusema maneno ya MunguAliyoyasema ni uongo? Kazi ya kiongozi wa dini ni kusimamia ukweli.
Tume huru ya uchaguzi Tz ni muhimu regardless nani kasimama kuidai.Hivi wewe unamjua Mwamakula au unamsikia na kumuona tu kwenye mitandao ya kijamii,je unalijua hilo kanisa lake hata lilipo na je unajua huo''uaskofu ''kasimikwa na nani na alipata wapi,huyu ni sawa na kusikia kuwa kuna chuo kikuu kinaitwa Sokwine wakati tuna chuo kinaitwa Sokoine.Narudia tena huyu Mwamakula si askofu ,usidanganyike na kuvaa kwake mkofia na mkanzu wa kuigiza maaskofu wa kweli,mwenzenu anajitafutia umarufu kupitia siasa,dini imemshinda kupitia Chadema ndio ameanza kujulikana na si kupitia kanisa,hana kanisa kama mnabisha aweke usajiri wa kanisa lake hapa.
Askofu Rashid Daraja Kapewa na nani ?
ukosisye fijo isoni kangi kulonda ikigune , Hivi unapafahamu alipopatia uaskofu Gwajima ?
Amina kubwaBafikiwa sana Baba Askofu Mwamakula
Michango yangu wa Tegemeza Jimbo na Zaka Nimeamua.kuitoa Kwa Mtumishi wa Mungu Askofu Mwamakula
Sawa basi tuseme Mwamakula si askofu, vipi kuhusu ujumbe wake, kwa maoni yako una mashiko au la?Hivi wewe unamjua Mwamakula au unamsikia na kumuona tu kwenye mitandao ya kijamii,je unalijua hilo kanisa lake hata lilipo na je unajua huo''uaskofu ''kasimikwa na nani na alipata wapi,huyu ni sawa na kusikia kuwa kuna chuo kikuu kinaitwa Sokwine wakati tuna chuo kinaitwa Sokoine.
Narudia tena huyu Mwamakula si askofu ,usidanganyike na kuvaa kwake mkofia na mkanzu wa kuigiza maaskofu wa kweli,mwenzenu anajitafutia umarufu kupitia siasa,dini imemshinda kupitia Chadema ndio ameanza kujulikana na si kupitia kanisa,hana kanisa kama mnabisha aweke usajiri wa kanisa lake hapa.
Kwanini unajifanya huna akili?Hatuko tayari na ndoa za jinsia moja zifungwe makanisanii ili misaada ijee.
Hoja hapa ni ujumbe wake au uuskofu wake?Hivi wewe unamjua Mwamakula au unamsikia na kumuona tu kwenye mitandao ya kijamii,je unalijua hilo kanisa lake hata lilipo na je unajua huo''uaskofu ''kasimikwa na nani na alipata wapi,huyu ni sawa na kusikia kuwa kuna chuo kikuu kinaitwa Sokwine wakati tuna chuo kinaitwa Sokoine....