Askofu Mwamakula: Haiwezekani katika jamii wakakaa kimya wote!

Jibu hoja.Vitabu vingi wanavyosoma wasomi waandishi wake walishakufa,Sasa kwa nini wanaendelea kuamini na kutumia maarifa hayo?Bora hata huyu anayemwanini Mtanzania mwenzake,tena angali hai.Fikiria kama mtu makini,acha easy thinking,inaua.
 
Again,rais ashaapishwa na Tundu au tobo kaondoka,
mutembee muone nguvu ya serekali
 
Askofu Rashid Daraja Kapewa na nani ?
Alichaguliwa na wachungaji wenzie ana makabila yenye maelfu ya wAtu ndani n.a. the ya nchi Askofu mwamakula unaijua hata hilo kanisa lake lilipo? Mtaa gani? Zaidi ya kumuona mitandaoni?

Yale makazi ya kiaskofu kajishonea mwenyewe kwa fundi
 
Hanufaiki chochote ! ni kujipendekeza tu , huyu kwao ni Kyela , kijiji cha Tenende , sasa muulize sababu za mpunga wa kyela kushuka bei na kukosa wanunuzi ni nini ?
Tanzania imekuwa kama nchi ya Zaire ya Mobutu kitu kizuri kikifanyika utasikia tunamshukuru rais wetu mpendwa, Mambo yakienda shagharabhaghala wanalaumiwa wapinzani na mabeberu! Mf.kuanguka bei za mazao hutasikia jina la rais likitajwa.
 
Lakini ni Mtanzania anaetumia haki yake ya kikatiba kutoa maoni yake.

Au ninasema uongo ndugu zangu?
Kazi ya Askofu sio kuhangaika na katiba iliyoabdikwa na wanadamu kazi yake kuhangaika na Biblia iliyoandikwa na Mungu
 
Kweli kabisa Mwanakondoo ameshinda tumfuate,, na mm nipo tayari kwa matembezi,, katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ndivyo vinavyohitajika tuu...
Viva Mwamakula tukuti ndaga figho!!!
 
Kazi ya Askofu sio kuhangaika na katiba iliyoabdikwa na wanadamu kazi yake kuhangaika na Biblia iliyoandikwa na Mungu
Aliyoyasema ni uongo? Kazi ya kiongozi wa dini ni kusimamia ukweli.
 
Aliyoyasema ni uongo? Kazi ya kiongozi wa dini ni kusimamia ukweli.
Kazi ya Askofu sio Umbeya kusema yanayoendelea mitaani bali kusema maneno ya Mungu

Maskofu wote aliowataja waligeuka wambeya tu badala ya kusema maneno ya Mungu wakageuka maneno ya watu!!

Askofu ni Saizi ya Mungu sio ya wanadamu
.Akianza kuongea ya wanadamu kama Mwamakula hakuna askofu hapo
 
Tume huru ya uchaguzi Tz ni muhimu regardless nani kasimama kuidai.
 
Sawa basi tuseme Mwamakula si askofu, vipi kuhusu ujumbe wake, kwa maoni yako una mashiko au la?
 
Hoja hapa ni ujumbe wake au uuskofu wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…