Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Kuna kutoa maoni sawa huo ni uhuru lakini mipaka ipo. Usitoevmaoni ya kundhihakibau kumdharau mtu na kumtusi kwa kisingizio cha maoniAskofu Mwamakula amesema Uhuru wa wa kutoa maoni umelindwa na katiba, hivyo hakuna yoyote mwenye mamlaka ya kumdhuru mtu sababu ya kutoa maoni yake.
Askofu Mwamakula amesema yoyote atakaetoa maoni au kunung'unika mkata huu wa bandari ikitokea akadhurika kutekwa au kuuliwa kwa namna yoyote ile viongozi waliotoa vitisho pamoja na serikali watajibika kwa hili.
Askofu Mwamakula ameyasema hayo katika mkutano mkutano na waandishi wa habari akiwa na Dr. Salaa, pamoja na Mawakili Mwabukusi na Madeleka wanazungumza, leo Julai 12, 2023.
Wewe ni pimbi kweli kwani ishu wanayozungumzia si inajulikanaKuna kutoa maoni sawa huo ni uhuru lakini mipaka ipo. Usitoevmaoni ya kundhihakibau kumdharau mtu na kumtusi kwa kisingizio cha maoni
Hakika na Ubaya wao utalipwaAskofu Mwamakula amesema Uhuru wa wa kutoa maoni umelindwa na katiba, hivyo hakuna yoyote mwenye mamlaka ya kumdhuru mtu sababu ya kutoa maoni yake.
Askofu Mwamakula amesema yoyote atakaetoa maoni au kunung'unika mkata huu wa bandari ikitokea akadhurika kutekwa au kuuliwa kwa namna yoyote ile viongozi waliotoa vitisho pamoja na serikali watajibika kwa hili.
Askofu Mwamakula ameyasema hayo katika mkutano mkutano na waandishi wa habari akiwa na Dr. Salaa, pamoja na Mawakili Mwabukusi na Madeleka wanazungumza, leo Julai 12, 2023.
Mashungi ni mpuuzi tuKuna kutoa maoni sawa huo ni uhuru lakini mipaka ipo. Usitoevmaoni ya kundhihakibau kumdharau mtu na kumtusi kwa kisingizio cha maoni
Kuna dharau na matusi zaidi ya haya ya kusaini mkataba mchafuuu wa hovyo wa kiwizi dhidhi ya Taifa?Kuna kutoa maoni sawa huo ni uhuru lakini mipaka ipo. Usitoevmaoni ya kundhihakibau kumdharau mtu na kumtusi kwa kisingizio cha maoni
Mh 🤔 ngoja waje uvccm tuone wanasemaje!!Askofu Mwamakula amesema Uhuru wa wa kutoa maoni umelindwa na katiba, hivyo hakuna yoyote mwenye mamlaka ya kumdhuru mtu sababu ya kutoa maoni yake.
Askofu Mwamakula amesema yoyote atakaetoa maoni au kunung'unika mkata huu wa bandari ikitokea akadhurika kutekwa au kuuliwa kwa namna yoyote ile viongozi waliotoa vitisho pamoja na serikali watajibika kwa hili.
Askofu Mwamakula ameyasema hayo katika mkutano mkutano na waandishi wa habari akiwa na Dr. Salaa, pamoja na Mawakili Mwabukusi na Madeleka wanazungumza, leo Julai 12, 2023.
Mungu atuvushe aiseeAskofu Mwamakula amesema Uhuru wa wa kutoa maoni umelindwa na katiba, hivyo hakuna yoyote mwenye mamlaka ya kumdhuru mtu sababu ya kutoa maoni yake.