johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
uchaguzi wa kanda ya pwani ni patamu zaidi kwenye rushwa, Baba askofu akae mkao wa kushuhudia songombingo za kabokamchiziKichwa Cha habari ndio swali alilouliza askofu Mwamakula ukurasani X
Kwenu CHADEMA πππ₯
Kwanini Chadema Jo,au ndio aina mpya ya uchawa?kwani wao ndio pekee wenye kufanya chaguzi ndani ya chama chao?Kichwa Cha habari ndio swali alilouliza askofu Mwamakula ukurasani X
Kwenu CHADEMA πππ₯
---
Kupitia ukurasa wake Rasmi wa Mtandao wa X (Zamani Twitter) Askofu Mwamakula anaadika:
Kama katika chaguzi mbalimbali ndani ya vyama vya siasa, uwezo wa kifedha miongoni mwa wagombea ndio uliotumika au pia ndio unaotumika kuamua washindi katika ngazi mbalimbali; tunaweza kutegemea muuzija wowote katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2024 na Uchaguzi Mkuu wa 2025?PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Askofu Mwamakula: Waliohujumu Uchaguzi Mkuu 2020 na kuiba kura hawatofautiani na wanaohujumu chaguzi za ndani za CHADEMA
Kwa sababu ya Mchungaji Msigwa πKwanini Chadema Jo,au ndio aina mpya ya uchawa?kwani wao ndio pekee wenye kufanya chaguzi ndani ya chama chao?
Amekuja kwenu au ametoka kwenu?Kwa sababu ya Mchungaji Msigwa π
Ametoka Nyasa πAmekuja kwenu au ametoka kwenu?
Nilifikiri ilalalumbumba?Ametoka Nyasa π