Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Umemuumbua vibaya sana!Hamna cdm duwanzi wa sampuli yako mleta uzi. Mzee wa Id za mwezi septemba 2020 zilizoanzishwa na Bashiru na Polepole ili kuipambania ccm, na kuibeba dhidi ya aibu ya kura za kwenye mabeg.
Wewe ndio duwanzi kutetea utapeli wa kisiasa. Upo humu jf kukagua Id za wanaume?
Kwi Kwi KwiLazima uolewe safari hii. Umevalishwa bomu na kina Polepole ukitarajia utaonekana mwanacdm, lakini huku umekutana na mabasha tunakuchumisha matembele tu.
Pinga wewe mataga, ita uvccm wenzako nendeni hapo bungeni na mabango.Kupinga ujinga aliofanya Job Ndugai.
Kama tayri umeshamfaham aliefanya ujinga kosa ni Mbowe au alifanya huo ujinga?Kupinga ujinga aliofanya Job Ndugai.
Ningekuwa mimi ningeifunga hii ID , maana kila mtu kishakustukia.We kamanda uchwara,acha ujinga kutete ujinga. Unaleta maswala ya kipuuzi kabisa.
Chama mali yakeUsitetee maovu ya Chairman,ametugharimu sana.