Makamanda Pipo's power [emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Mimi kamanda kindakindaki msemakweli naomba askofu Mwamakula ampe vidonge chairman wetu. Siasa za kitapeli sasa basi. Amekula ruzuku mpaka chama kikakosa nguvu ya kupata wabunge na madiwani,askofu kakaa kimya.
sasa tunafanyiwa dharau na vidampa 19 ambavyo havina mbele wala nyuma. Yupo kimya na hatusikii habari ya kwemda Highcourt.
Ombi langu ni kwa askofu Mwamakula, ampe makavu Mbowe aachane na Chadema. Askofu Mwamakula onyesha njia ili kikwazo kiondoke. Sio kukaa unakosoa waliopo madarakani tu.