Askofu Mwamakula mbona humkemei Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe?

Halo kaaskofu kanamuogopa Mbowe.
 
Kwani bado hujajifungua mimba aliyokupa Mbowe?
 
Ombi : Utoaji mimba uhalalishwe ili kuwanusuru wazazi na aibu kama wazazi wa kijana huyu utopolo wanavyodhalilika
Kwa uzi Kamanda Asiyechoka yuko right na amesema ukweli, ila wewe unabebwa na hisia
 
Umemuumbua vibaya sana !
Wewe wala yeye hamkufanikiwa kumuumbuwa, ila mmejidhalilisha kwa kuonyesha kuwa nyie ni benders au ni zile Toys A kujazwa ufunguo na zikielekezwa ukutani basi nduo mvui hadi kugonga ukuta.
 
Kwani yale maandamano ya nchi nzima ya huyo Askofu Mwamakula yaliishia wapi?
 
Ombi : Utoaji mimba uhalalishwe ili kuwanusuru wazazi na aibu kama wazazi wa kijana huyu utopolo wanavyodhalilika.
Huyu ni mpumbavu haswa . Alitaka mbowe alale na bi mkubwa wake ndo ajue anawashughulikia wake 19? Badala ya kumlaumu yule speaker mgonjwa
 
Benson Mrombo kumsakama kooote Mbowe CCM wamekupotezea!!!! Una kimavi siyo cha nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…