Askofu Mwamakula: Mwanafunzi wa kidato cha kwanza mwenye miaka 13 aswekwa Mahabusu kituo cha Polisi Kirumba

Shujaa Mwendazake



Unge suspend hiyo nukuu ya Mkwere kwenye huu uzi
 
Watoto wenye shida ni wengi sana humu mitaani lakini hao maaskofu huwa hawatumii muda wao hata kuwaombea michango ya kuwasaidia, zaidi ya kutaka sadaka zao tu.
Kwa uelewa wako unadhani mwamakula hajui kama kuna miji hapa tz kuna familia zinateseka kwa ajili ya kukosa huduma?

Hayo ni maigizo tu anafanya kama wenzake waliowahi kwenda sero na kujifanya ndo wameona matatizo huko.

Ajaribu kutangaza kanisani kwake watu wenye shida waende kwake asikilize aone kama patatosha.
 
Kwa Wakristo wengi hiyo ni kawaida kuwa na majina mawili,unaweza kuwa na jina la nyumbani ukaitwa Frank na shuleni ukaitwa Ibrahimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pepo mchafu wewe.
Wenzako tuko serious wewe unaleta ushoga wako hapa.
Hoja ni kosa la kuchuma limao kukaa sell?
Hoja ni kwamba, ni sahihi mtoto kukaa mahabusu pamoja na wazee?
Unatangaza kazi yako? Sorry situmii peleka kwa wengine
 
Kwa Wakristo wengi hiyo ni kawaida kuwa na majina mawili,unaweza kuwa na jina la nyumbani ukaitwa Frank na shuleni ukaitwa Ibrahimu.

Sent using Jamii Forums mobile app


Ubatizo mtu hubatizwa jina moja tu Lingekuwa la kilugha hapo sawa lakini huwezi kuitwa nyumbani jina la ubatizo la peter halafu shule ukaitwa jina lingine la ubatizo la mark

Huyo anaonyesha mhalifu mzoefu hataki wamfuatilie jina lake original kujua mambo yake
 
Acha kung'ang'ania ujinga,nimekupa mfano really kabisa ambao mtaani wapo watu wengi wenye kutumia hayo majina nyumbani,kazini ama shuleni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka upate taswira ya polisi wa Tz msikilize bossi akiongea pumba it means kichwani huwa hamnazo hao watu
 
Wewe una uhakika yule mtoto Hana miaka 13?

Usiwe mpumbavu kila wakati .
 
dah kwel polisi sio ndugu zetu! yaani hpo wanasubiri mpunga wa wazazi ili wamtoe..! wanajisahau sana hawa jamaa!
 
Watu wanateswa sana Nchi hii na Polisi kwa uonevu
 
Askofu pambana...haki za watu dunia hii
....
 
Hatuna mahabusu za watoto za kutosha. Ila nimeshuhudia vituo vingine polisi wakikataa kuwaweka watoto ndani. Mara nyingi walikuwa wanakaa nao pale wanapopokelea mashtaka hadi wazazi wao au watu wa ustawi wa jamii wanapokuja. Hao wanaowaweka mahabusu za watu wazima wanakiuka taratibu. Lakini sishangai.

Amandla...
 
Hawa ni wale watoto walioshindikana mtaani. Inawezekana hata familia imeshamchoka wamemsusa.
Wenzetu wana mtizamo kuwa hamna mtoto anaeshindikana. Ni jamii ndio inasababisha wafike wanakofika. Na kuwanawia mikono ni kusogeza mbele tatizo.

Amandla...
 
sasa hapo tatizo ni kwa nani mtoto nimwizi sasa huyu malaya mwamakula anatetea nini aache use wake wacha vyombo vya dola vifanye kazi yake huyo ni mwizikama wezio wengine tu acha apate alichok=u=wa ana kitafuta
 
Hawa ni wale watoto walioshindikana mtaani. Inawezekana hata familia imeshamchoka wamemsusa.
ndiyo maana hata hawamfuatilii mpaka hawajui kama yupo mahabusu ni jizi hilo ambao litakuwwa jambazi sugu baadae wacha ajifunze
 
Lete habari bwana/bibi upande wa pili

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mtoto anapotea, Bibi na mama hawamtafuti wamekaa kimya tu. Aliiba limao jirani au mtaani kwao...iweje taarifa zisimfikie bibi yake anaye ishi nae?
Huyo mtoto ni chokoraa hata akipotea hawajali na inaelekea huwa anapotea na kurudi.
Nadhani suala la msingi ni kuchanganywa na mahabusu watu wazima.
 
Wenzetu wana mtizamo kuwa hamna mtoto anaeshindikana. Ni jamii ndio inasababisha wafike wanakofika. Na kuwanawia mikono ni kusogeza mbele tatizo.

Amandla...

Hao wenzetu hawatelekezi watoto kama sisi. Wanadai mama yuko Dar, which means haishi na baba wala mama. Kwa malezi haya huyu mtoto jamii itamuweza kweli?

Si ajabu ukifuatilia utaambiwa aliwekwa mahabusu ili kunusuru maisha yake asiuliwe na wananchi wenye hasira kali.
 
ndiyo maana hata hawamfuatilii mpaka hawajui kama yupo mahabusu ni jizi hilo ambao litakuwwa jambazi sugu baadae wacha ajifunze

Kabisa mkuu. Na itakuwa imetumika busara kumuweka mahabusu ili kumnusuru na kifo. Mtaani wameshamchoka huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…