Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Shujaa Mwendazake
Askofu anajiuliza kama Mwanza hakuna Mahabusu ya Watoto? Askofu anatoa wito kwa makundi ya kutetea haki za watoto kufika haraka sana katika Kituo cha Polisi Kirumba, Mwanza ili kuangalia namna ya kumsaida mtoto yule. Lakini pia mtoto yule anatakiwa kufanyiwa vipimo kwani alikuwa analalamika maumivu katika mkono wake wa kulia kutokana na kipigo alichokuwa ameshushiwa na mwenye mti wa mlimao. Mazingira hayakuruhusu kwa Askofu kupata picha ya mtoto yule." - Askofu Emmaus Mwamakula
“AKILI za kuambiwa, changanya na za kwako.” - Mh Jakaya Mrisho Kikwete
Unge suspend hiyo nukuu ya Mkwere kwenye huu uzi