Askofu Mwamakula na Shehe Ponda watalazimika kuamua ama kutumikia dini zao au kuitumikia CHADEMA

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kwamba kutumia dini kufanya siasa ni kinyume cha taratibu na sheria kutapelekea Askofu Mwamakula na Shehe Ponda kufanya maamuzi magumu ya ama kuitumikia Chadema au kurudi kuzitumikia dini zao.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
 
Wakati ni wanaharakati, siku wakiitwa viongozi wa dini nao watachomoza. Tunaikosea heshima nchii yetu hii. Tusichanganye dini na siasa. Kanisa katoliki linafukuza mapadre wanaojihusisha na siasa.
 
Ukiachana na sifa kubwa ya dini ni kuamrisha mema na kukataza mabaya but miongoni mwa sifa nyengine za dini ni kutetea haki katika jamii, mtu anapotetea haki ya watu flani au upande flani haimaanishi ni mdini, mataga na viongozi wenu huwa ni vilaza wa viwango vya PHD
 
Kwamba kutumia dini kufanya siasa ni kinyume cha taratibu na sheria kutapelekea Askofu Mwamakula na Shehe Ponda kufanya maamuzi magumu ya ama kuitumikia Chadema au kurudi kuzitumikia dini zao.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Mbona hujamtaja Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam?
Your browser is not able to display this video.
 
Samia hana mamlaka hayo ARIE TU!

Kwamba kutumia dini kufanya siasa ni kinyume cha taratibu na sheria kutapelekea Askofu Mwamakula na Shehe Ponda kufanya maamuzi magumu ya ama kuitumikia Chadema au kurudi kuzitumikia dini zao.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
 
Kwamba kutumia dini kufanya siasa ni kinyume cha taratibu na sheria kutapelekea Askofu Mwamakula na Shehe Ponda kufanya maamuzi magumu ya ama kuitumikia Chadema au kurudi kuzitumikia dini zao.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Unawapangia sio ninsi ya kuendesha maisha yao wewe ni nani?

Sheria gani ambayo inambana mtu kuwa na uhuru wa kujiunga na chama chochote cha siasa na kutoa maoni yake?

Acheni umbumbumbu nyie buku 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…