Askofu Mwamakula na Shehe Ponda watalazimika kuamua ama kutumikia dini zao au kuitumikia CHADEMA

Askofu Mwamakula na Shehe Ponda watalazimika kuamua ama kutumikia dini zao au kuitumikia CHADEMA

Kwamba kutumia dini kufanya siasa ni kinyume cha taratibu na sheria kutapelekea Askofu Mwamakula na Shehe Ponda kufanya maamuzi magumu ya ama kuitumikia Chadema au kurudi kuzitumikia dini zao.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Mwanakondoo ameshinda tumfuate.
 
Ni kweli. Lakini ulishawahi kuandika kuhusu Askofu Kilaini kumpigia kampeni Jakaya Kikwete?
Wakati ule utaratibu uliruhusu ndio maana askofu Gwajima na Kakobe walikuwa wanaingia kwenye kamati kuu za Chadema na TLP!
 
Kwamba kutumia dini kufanya siasa ni kinyume cha taratibu na sheria kutapelekea Askofu Mwamakula na Shehe Ponda kufanya maamuzi magumu ya ama kuitumikia Chadema au kurudi kuzitumikia dini zao.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Acha upumbafu wewe mfia chama ilihali unakula mihogo kwenu..hata kale manabii hawakua walamba miguu ya wafalme pale walipoenenda kinyume na haki.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wadini wamejikuta wanaingizwa katika mkumbo wa kufanya siasa na wanasiasa...
 
Kwamba kutumia dini kufanya siasa ni kinyume cha taratibu na sheria kutapelekea Askofu Mwamakula na Shehe Ponda kufanya maamuzi magumu ya ama kuitumikia Chadema au kurudi kuzitumikia dini zao.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Cc sheikh wa mkoa wa dsm and gwajima ,mama rwakatare ohh sorry
 
Kwamba kutumia dini kufanya siasa ni kinyume cha taratibu na sheria kutapelekea Askofu Mwamakula na Shehe Ponda kufanya maamuzi magumu ya ama kuitumikia Chadema au kurudi kuzitumikia dini zao.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Inabidi uwakubali kama uwakubalivyo wale wa BAKWATA
 
Gwajima ataongelea siasa kwenye bunge, na akiwa kanisani ataongelea mambo ya mungu.

Mwamakula na ponda wanayo nafasi ya kuingia kwenye siasa ili wakatimize haja zao kama alivyo fanya gwajima na wengine huko nyuma kama msigwa na yule wa karatu kipindi hicho.
1. Naomba ushahidi wa Mwamakula kuongelea siasa kanisani.
2. Naomba maana ya "kuingia kwenye siasa", mlango uko wapi? Usajili unafanyika wapi?
 
Huyo mleta mada kwa bahati mbaya Muumba alimpa uwezo wa kufikiri ila yeye akaamua kuuchimbia chini na sasa anasaidiwa kufikiri.
Hawana maana, wanasiasa kila siku wanashinda makanisani, wanafuata nini?
 
Back
Top Bottom