Askofu Mwamakula na Shehe Ponda watalazimika kuamua ama kutumikia dini zao au kuitumikia CHADEMA

Askofu Mwamakula na Shehe Ponda watalazimika kuamua ama kutumikia dini zao au kuitumikia CHADEMA

Magufuli alipokuwa akiyageuza makanisa na misikiti majukwaa ya siasa mbona hamkumkemea?
Hapo unamuongelea Rais au Mwenyekiti wa CCM?

Kilichokatazwa ni kiongozi wa dini mfano mchungaji Msigwa kutumia dini kufanya siasa, uwe unaelewa bwashee!
 
Hapo unamuongelea Rais au Mwenyekiti wa CCM?

Kilichokatazwa ni kiongozi wa dini mfano mchungaji Msigwa kutumia dini kufanya siasa, uwe unaelewa bwashee!
Magumashi mara ngapi kafanya siasa kanisani na misikitini, Hadi alikuwa kazizoea madhabahu Hadi akawa anaongea uwongo
 
Kwamba kutumia dini kufanya siasa ni kinyume cha taratibu na sheria kutapelekea Askofu Mwamakula na Shehe Ponda kufanya maamuzi magumu ya ama kuitumikia Chadema au kurudi kuzitumikia dini zao.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Hakuna unachoelewa. Hivi unaelewa maana ya kutumia dini kufanya siasa?

Kutumia dini kufanya siasa ni kutumia jukwaa la dini kufanikisha malengo yako ya kisiasa. Kwa mfano shekhe au askofu akasimama msikitini au kanisani, akasema, ndugu waumini wenzangu ili mfike ahera au mbinguni, mnichague mimi au mtu fulani kuwa mbunge/Rais.

Mpaka sasa, nchini mwetu, hakuna kiongozi yeyote wa dini amewahi kutumia dini kufanya siasa. Ni Rais Magufuli pekee ambaye alikuwa anahubiri kamisani kuwa watu wasivae barakoa kwa sababu Mungu ameondoa corona wakati lengo lske kubwa ilikuwa kuwapumbaza watu wasihoji alikopeleka pesa iliyotolewa na jamii ya kimataifa kupambana na corona.
 
Kwani Askofu Gwajima kaacha kutumikia kanisa lake?
Gwajima ataongelea siasa kwenye bunge, na akiwa kanisani ataongelea mambo ya mungu.

Mwamakula na ponda wanayo nafasi ya kuingia kwenye siasa ili wakatimize haja zao kama alivyo fanya gwajima na wengine huko nyuma kama msigwa na yule wa karatu kipindi hicho.
 
Hata Mwadhama Pengo naye itabidi achague ccm au roma hapo ndo kisu lzm kikate mfupa.
Viongozi wa dini wana hamasisha amani na utii wa sheria na si vinginevyo,
Hivyo ni haki kuzungumzia siasa ya utii na upendo na sio vurugu.
Hata mwamakula anatakiwa kufundisha siasa ya kuheshimu madaraka na sio kupinga madalaka kwa kuwa mungu hakuwapa haki ya kupinga tawala zilizowekwa bali kuzitii.
Uendapo kinyume wew ni wa shetani.
 
Hapo unamuongelea Rais au Mwenyekiti wa CCM?

Kilichokatazwa ni kiongozi wa dini mfano mchungaji Msigwa kutumia dini kufanya siasa, uwe unaelewa bwashee!
Wewe kweli low IQ. Mchungaji Msigwa ni lini aliwahi kutumia dini kufanya siasa. Inaonekana huelewi kabisa dhima nzima.
 
Kwamba kutumia dini kufanya siasa ni kinyume cha taratibu na sheria kutapelekea Askofu Mwamakula na Shehe Ponda kufanya maamuzi magumu ya ama kuitumikia Chadema au kurudi kuzitumikia dini zao.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Hujaeleweka mdau, ongeza hoja zenye mashiko kidogo kwenye mada yako
 
Wewe kweli low IQ. Mchungaji Msigwa ni lini aliwahi kutumia dini kufanya siasa. Inaonekana huelewi kabisa dhima nzima.
Wapi nimesema mchungaji Msigwa alitumia dini kufanya siasa?

Punguza mbege bwashee!
 
Kwamba kutumia dini kufanya siasa ni kinyume cha taratibu na sheria kutapelekea Askofu Mwamakula na Shehe Ponda kufanya maamuzi magumu ya ama kuitumikia Chadema au kurudi kuzitumikia dini zao.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Vipi GWAJIMA
 
Back
Top Bottom