Uchaguzi 2020 Askofu Mwamakula: Ninakwenda katika msafara wa Lissu pamoja na uwezekano wa kupigwa mawe au kurushiwa mabomu na risasi

Uchaguzi 2020 Askofu Mwamakula: Ninakwenda katika msafara wa Lissu pamoja na uwezekano wa kupigwa mawe au kurushiwa mabomu na risasi

Viongozi wa dini wanaosimamia ukweli na haki ni wewe na yule wa karagwe.

Hakuna romani cathoric, kkkt, makanisa ya kipentekoste ndiyo kabisa. Huku kwa waislamu ndo kumeoza kabisa kunatoka wadudu. Haijui amani inapatikanaje wala kweli na haki hawaijui.

Afadhari ya suni kidogo lakini bakwata, loooooh!
 
Ya kaisari ampe kaisari, na ya Mungu ampe Mungu wa kweli. Ila kama ni tumbo lake, kila la kheri maana ndio msingi wa ukamanda wa chama cha Mbowe.
 
Hakuna chochote kinachohusiana na tumbo lake zaidi ya kusimamia amani, haki na uhuru wa Watanzania bila kujali itikadi zetu.
Ya kaisari ampe kaisari, na ya Mungu ampe Mungu wa kweli. Ila kama ni tumbo lake, kila la kheri maana ndio msingi wa ukamanda wa chama cha Mbowe.
 
huyu anasimama upande wa Mungu sababu yuko chadema[emoji16][emoji16][emoji16],ila mwingine akikaa upande wa pili huyo hayuko na Mungu.

Mungu ni wa wote jamani,ili kudhihirisha hilo askofu akumbushwe kuwa na akiba ya maneno.
 
Hakuna chochote kinachohusiana na tumbo lake zaidi ya kusimamia amani, haki na uhuru wa Watanzania bila kujali itikadi zetu.
sema baadhi ya watanzania.kwani hujui kama tunapishana misimamo mkuu??

huyo mwamakula kuna watanzania baadhi wanamuona kama ana njaa au dishi limecheza nk.wewe unona tofauti.
 
Wakati huo huo Bakwata Mtwara sahani ya ubwabwa inawatoa roho
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Okay!!! Kumbe Huyo jamaa ni Askofu???? Mimi nilivyomuona katika mikutano mbalimbali ya Lissu nilijua ni Mganga wake wa kienyeji!!!!
 
Askofu hana hata kanisa! Hivi vituko vitaisha lini jamani nchini mwetu?
 
Watumishi wa Mungu wanaoingia kwenye siasa ni wapumbv tu. Kuanzia Gwajima hadi hao wa KKKT wanaoshindwa kutofautisha dini na siasa.
 
Hata Kongo DR Martin Fayul aliungwa mkono na viongozi wa dini ya ukristo lakini hakushinda hata hapa Tz... Hawata fanikiwa pia
 
Mwenzake Gwajima yamemshinda mwisho kaomba Jimbo sasa na yeye asituchanganye kama Wana kondoo wamemshinda aseme asitake kutoka kupitia Lisu aanzishe chama chake atapata wafuasi au kama yupo Chadema basi avue joho avae gwanda
 
Viongozi wa dini wanaosimamia ukweli na haki ni wewe na yule wa karagwe.

Hakuna romani cathoric, kkkt, makanisa ya kipentekoste ndiyo kabisaaa.
Huku kwa waislamu ndo kumeoza kabisa kunatoka wadudu. Haijui amani inapatikanaje wala kweli na haki hawaijui.
Afadhari ya suni kidogo lakini bakwata, loooooh!
Tofauti ya Suni na BAKWATA ni nini?!
 
Viongozi wa dini popote pale Nchini wana haki ya kuonyesha kutoridhishwa kwao na muelekeo wa Nchi na kufanya hivyo haina maana wanataka kuwa wanasiasa.
Mwenzake Gwajima yamemshinda mwisho kaomba Jimbo sasa na yeye asituchanganye kama Wana kondoo wamemshinda aseme asitake kutoka kupitia Lisu aanzishe chama chake atapata wafuasi au kama yupo Chadema basi avue joho avae gwanda
 
Watumishi wa Mungu wanaoingia kwenye siasa ni wapumbv tu. Kuanzia Gwajima hadi hao wa KKKT wanaoshindwa kutofautisha dini na siasa.
Itumie vizuri akili uliyopewa na Muumba, huyu Askofu na yule gwajiboy ni watu wawili tofauti.

Askofu anakemea maovu hajajiingiza kwenye siasa yupo neutral lakini gwajiboy amejiingiza kwenye siasa maana ni mgombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi chama ambacho kinatenda maovu bila kujari bila aibu.
 
Ni kwa sababu ya wizi wa maccm kupitia polisiccm na tumeccm kama uchaguzi wa huru na haki maccm hayaoni ndani.
Hata Kongo DR Martin Fayul aliungwa mkono na viongozi wa dini ya ukristo lakini hakushinda hata hapa Tz... Hawata fanikiwa pia
 
Back
Top Bottom