nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Hili neno mnalitumia vibaya sana, nadhani kutojua maandikoYa kaisari ampe kaisari, na ya Mungu ampe Mungu wa kweli. Ila kama ni tumbo lake, kila la kheri maana ndio msingi wa ukamanda wa chama cha Mbowe.
Ya kaisari ampe kaisari, na ya Mungu ampe Mungu wa kweli. Ila kama ni tumbo lake, kila la kheri maana ndio msingi wa ukamanda wa chama cha Mbowe.
sema baadhi ya watanzania.kwani hujui kama tunapishana misimamo mkuu??Hakuna chochote kinachohusiana na tumbo lake zaidi ya kusimamia amani, haki na uhuru wa Watanzania bila kujali itikadi zetu.
Tofauti ya Suni na BAKWATA ni nini?!Viongozi wa dini wanaosimamia ukweli na haki ni wewe na yule wa karagwe.
Hakuna romani cathoric, kkkt, makanisa ya kipentekoste ndiyo kabisaaa.
Huku kwa waislamu ndo kumeoza kabisa kunatoka wadudu. Haijui amani inapatikanaje wala kweli na haki hawaijui.
Afadhari ya suni kidogo lakini bakwata, loooooh!
Fayalu alishinda Kabila akachakachua.Hata Kongo DR Martin Fayul aliungwa mkono na viongozi wa dini ya ukristo lakini hakushindaa
Mwenzake Gwajima yamemshinda mwisho kaomba Jimbo sasa na yeye asituchanganye kama Wana kondoo wamemshinda aseme asitake kutoka kupitia Lisu aanzishe chama chake atapata wafuasi au kama yupo Chadema basi avue joho avae gwanda
Itumie vizuri akili uliyopewa na Muumba, huyu Askofu na yule gwajiboy ni watu wawili tofauti.Watumishi wa Mungu wanaoingia kwenye siasa ni wapumbv tu. Kuanzia Gwajima hadi hao wa KKKT wanaoshindwa kutofautisha dini na siasa.
Hata Kongo DR Martin Fayul aliungwa mkono na viongozi wa dini ya ukristo lakini hakushinda hata hapa Tz... Hawata fanikiwa pia
Ni lini utaficha aibu yako wewe!?Askofu hana hata kanisa! Hivi vituko vitaisha lini jamani nchini mwetu?