johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Pweinti πAlitakiwa pale asalimie na kuwatakia mkutano mwema waamini, kuanza kujifanya kuhubiri ni kosa kubwa, yeye ni mwanasiasa abakie kwenye siasa
Askofu Mwamakula amesema RC Makonda alipopewa nafasi ya kusalimia Waumini kwenye Ibada ya Mwamposa alisema Eliya hakuwa Nabii na Biblia haimtaji popote kama Nabii
Mwamakula amemtaka RC Makonda asome Wafalme 18:22 Ili apate Maarifa Zaidi
Amesema Ukurasani X
Sabato Njema ππΉ
Yeye ni MkatolikiSawa katuma ujumbe kwenda kanisa katoliki, mwelezeni katoliki ni zaidi ya ccm yake, ni zaidi ya cheo chochote anachokijua yeye,
Yule sio mkatoliki ni mlokoleYeye ni Mkatoliki
Kumeanza kuchangamkaAskofu Mwamakula amesema RC Makonda alipopewa nafasi ya kusalimia Waumini kwenye Ibada ya Mwamposa alisema Eliya hakuwa Nabii na Biblia haimtaji popote kama Nabii
Mwamakula amemtaka RC Makonda asome Wafalme 18:22 Ili apate Maarifa Zaidi
Amesema Ukurasani X
Sabato Njema ππΉ
Mambo ya mistari kuanzisha Boniyai kule kwa Mathayo πKumeanza kuchangamka
AmejikorogaAlitakiwa pale asalimie na kuwatakia mkutano mwema waamini, kuanza kujifanya kuhubiri ni kosa kubwa, yeye ni mwanasiasa abakie kwenye siasa
Sijui Mbowe au Samia waliingiaje kwenye salamu zake?Alitakiwa pale asalimie na kuwatakia mkutano mwema waamini, kuanza kujifanya kuhubiri ni kosa kubwa, yeye ni mwanasiasa abakie kwenye siasa
Nakazia.1 Wafalme 18:22
Ndipo Eliya akawaambia watu, Mimi nimesalia, mimi peke yangu, nabii wa BWANA; lakini manabii wa Baali ni watu mia nne na hamsini.
Jamaa kayakoroga.Sijui Mbowe au Samia waliingiaje kwenye salamu zake?
1 Wafalme 18:22Huyu askofu njaa ambaye hana clip yoyote akihubiri kanisani. Hayo manguo ya uaskofu anakusanyaga mashuka minadani anashona, amekonda kama kawaka tayari
Daudi Albert Bashite ni laana na chukizo!Jamaa kayakoroga.
Angeiga kwa mwenzie Chalamila ..
Huwa yupo smart sana kwenye nafasi za kutoa salamu..
Anaweza kuchanganyia na kapambio..ila huwa hachanganyi siasa fitinishi kanisani.
JE,Askofu Mwamakula amesema RC Makonda alipopewa nafasi ya kusalimia Waumini kwenye Ibada ya Mwamposa alisema Eliya hakuwa Nabii na Biblia haimtaji popote kama Nabii
Mwamakula amemtaka RC Makonda asome Wafalme 18:22 Ili apate Maarifa Zaidi
Amesema Ukurasani X
Sabato Njema ππΉ
Pamoja na hayo... Kichwani yupo vizuri kuliko wavaa suti na wenye shibe!Huyu askofu njaa ambaye hana clip yoyote akihubiri kanisani. Hayo manguo ya uaskofu anakusanyaga mashuka minadani anashona, amekonda kama kawaka tayari