Askofu Mwamakula: RC Makonda asome Wafalme 18:22 ambapo Eliya alisema Yeye ni Nabii tofauti na Makonda alivyohubiri

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Askofu Mwamakula amesema RC Makonda alipopewa nafasi ya kusalimia Waumini kwenye Ibada ya Mwamposa alisema Eliya hakuwa Nabii na Biblia haimtaji popote kama Nabii

Mwamakula amemtaka RC Makonda asome Wafalme 18:22 Ili apate Maarifa Zaidi

Amesema Ukurasani X

Sabato Njema 😄🌹
 
1 Wafalme 18:22​

Ndipo Eliya akawaambia watu, Mimi nimesalia, mimi peke yangu, nabii wa BWANA; lakini manabii wa Baali ni watu mia nne na hamsini.
 
Kanisa katoliki halijaanza kutoa waraka leo, toka enzi za Nyerere, na mambo yakiwa mabaya zaidi maaskofu na masheikh walikutana kuweka mambo sawa, wakati serikali ilitaka kubadilisha matumizi ya kariakoo, kujenga chuo, maaskofu wa katoliki na masheikh wa Dar walienda Kwa Mwalimu na maamuzi yakawa yamebatilishwa
 
Askofu Mwamakula amesema RC Makonda alipopewa nafasi ya kusalimia Waumini kwenye Ibada ya Mwamposa alisema Eliya hakuwa Nabii na Biblia haimtaji popote kama Nabii

Mwamakula amemtaka RC Makonda asome Wafalme 18:22 Ili apate Maarifa Zaidi

Amesema Ukurasani X

Sabato Njema 😄🌹
Kumeanza kuchangamka
 
Alitakiwa pale asalimie na kuwatakia mkutano mwema waamini, kuanza kujifanya kuhubiri ni kosa kubwa, yeye ni mwanasiasa abakie kwenye siasa
Sijui Mbowe au Samia waliingiaje kwenye salamu zake?
 
Huyu askofu njaa ambaye hana clip yoyote akihubiri kanisani. Hayo manguo ya uaskofu anakusanyaga mashuka minadani anashona, amekonda kama kawaka tayari
 
Askofu Mwamakula amesema RC Makonda alipopewa nafasi ya kusalimia Waumini kwenye Ibada ya Mwamposa alisema Eliya hakuwa Nabii na Biblia haimtaji popote kama Nabii

Mwamakula amemtaka RC Makonda asome Wafalme 18:22 Ili apate Maarifa Zaidi

Amesema Ukurasani X

Sabato Njema 😄🌹
JE,
Askofu hakuzungumza chochote kuhusu yule mnyang'anyi wa malori Arusha, ambae sasa hivi anajiita Nabii na anatani kua hata na nafasi kama yesu?🐒

actually,
Zaburi 23:1 inatosha zaidi
 
Back
Top Bottom