Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi namkubali sana Makonda ila kwa hili amekoseaDaudi Albert Bashite ni laana na chukizo!
Na hapa ndiyo nimethitisha kuwa Mwamposa naye ni Nabii wa Baali, angekuwa mtumishi wa Mungu angemsahihisha pale pale huyu muuaji.Askofu Mwamakula amesema RC Makonda alipopewa nafasi ya kusalimia Waumini kwenye Ibada ya Mwamposa alisema Eliya hakuwa Nabii na Biblia haimtaji popote kama Nabii
Mwamakula amemtaka RC Makonda asome Wafalme 18:22 Ili apate Maarifa Zaidi
Amesema Ukurasani X
Sabato Njema 😄🌹
Tena huyo nabii yupo Kibaha, mkoa wa pwani kwa sasa👇🏾Askofu Mwamakula amesema RC Makonda alipopewa nafasi ya kusalimia Waumini kwenye Ibada ya Mwamposa alisema Eliya hakuwa Nabii na Biblia haimtaji popote kama Nabii
Mwamakula amemtaka RC Makonda asome Wafalme 18:22 Ili apate Maarifa Zaidi
Amesema Ukurasani X
Sabato Njema 😄🌹
😄Na hapa ndiyo nimethitisha kuwa Mwamposa naye ni Nabii wa Baali, angekuwa mtumishi wa Mungu angemsahihisha pale pale huyu muuaji.
Naunga mkono hojaNa hapa ndiyo nimethitisha kuwa Mwamposa naye ni Nabii wa Baali, angekuwa mtumishi wa Mungu angemsahihisha pale pale huyu muuaji.
Hapo tumepigwa aisee.Hivi pale kwa Nebukadneza na Yusufu ni kweli?
Au tumepigwa pia
Askofu Mwamakula amesema RC Makonda alipopewa nafasi ya kusalimia Waumini kwenye Ibada ya Mwamposa alisema Eliya hakuwa Nabii na Biblia haimtaji popote kama Nabii
Mwamakula amemtaka RC Makonda asome Wafalme 18:22 Ili apate Maarifa Zaidi
Amesema Ukurasani X
Sabato Njema 😄🌹
Unamjua Mtume Paulo?JE,
Askofu hakuzungumza chochote kuhusu yule mnyang'anyi wa malori Arusha, ambae sasa hivi anajiita Nabii na anatani kua hata na nafasi kama yesu?[emoji205]
actually,
Zaburi 23:1 inatosha zaidi
Mkoa wa owani ndio upi huo mkuu!!??Tena huyo nabii yupo Kibaha, mkoa wa owani kwa sasa[emoji1484]
![]()
VIDEO: DINI YA AJABU YAIBUKA DAR, WAUMUNI WAKE HAWAAMINI KIFO!
DUNIA ina mambo! Ukiambiwa kuna imani ya dini inayofundisha waumini wake kwa kutumia vitabu viwili vitakatifu vya Biblia na Quran kwa wakati mmoja, utashangaa. Hiyo ndiyo dini ya ajabu iliyoibuka Bongo, ambapo kiongozi wake, aliyejitambulisha kwa majglobalpublishers.co.tz
Kuna viongozi wa dini hawaelewi hutumia mifano ya manabii agano la kale kama Eliya, Samuel nk kukemea wafalme watawala wanasahau kuwa kipindi hicho dini ilikuwa moja na nabii aliiuwa juu ya mfalme sababu ndiye aliyekuwa akisimika wafalme na kuwapa madaraka kwa kuwapaka mafutaAskofu Mwamakula amesema RC Makonda alipopewa nafasi ya kusalimia Waumini kwenye Ibada ya Mwamposa alisema Eliya hakuwa Nabii na Biblia haimtaji popote kama Nabii
Mwamakula amemtaka RC Makonda asome Wafalme 18:22 Ili apate Maarifa Zaidi
Amesema Ukurasani X
Sabato Njema 😄🌹
Upo Saudi Arabia.Mkoa wa owani ndio upi huo mkuu!!??
Upo huko ndotoni mwako!!??
Kinembe wale watumishi njaa tunawafahamu. Na watu hawahubiri kwa Clip. Wenye njaaa tunawajua huwa wanajipendekeza kwa watawawala. Huyu ni Utake ni Askofu na Usitake ni Askofu. Kalia Jiti kama hutaki.Huyu askofu njaa ambaye hana clip yoyote akihubiri kanisani. Hayo manguo ya uaskofu anakusanyaga mashuka minadani anashona, amekonda kama kawaka tayari
ManabiiAskofu Mwamakula amesema RC Makonda alipopewa nafasi ya kusalimia Waumini kwenye Ibada ya Mwamposa alisema Eliya hakuwa Nabii na Biblia haimtaji popote kama Nabii
Mwamakula amemtaka RC Makonda asome Wafalme 18:22 Ili apate Maarifa Zaidi
Amesema Ukurasani X
Sabato Njema 😄🌹
ni kwasababu ya ile kiburi ako nayo na ile tamaa mbaya ya kutaka kumpindua hata Yesu, ili awe yeye wakati haiwezekani 🐒Unamjua Mtume Paulo?
Unamjua Sauli!!?
Yesu Kristo alikuja duniani kwa ajili ya watu kama hao, sasa kwa nini unamsengenya na past yake badala ya kufurahia alipo sasa!!??
Anasali makanisa kariba yote, akilikoroga kidogo tu mbio madhabauni.Yule sio mkatoliki ni mlokole