Askofu Mwamakula: Sikutarajia yaliyoandikwa na Kabendera yangewekwa hadharani wakati wa uhai wangu

Wazungu wanasema "it's too late". Hata kama hayo ni kweli, kwa hiyo sisi yanatusaidia nini kwa sasa???

Sasa ni muda wa kulijenga taifa letu kupitia 4R za Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
 
Waongo wanasifa za kufanana eti marehemu alinambia mbona hakuyasema hayo marehemu alipokuwa hai?

Kapewa bei gani akipromote hicho kitabu na je yeye kama mtumishi anayesema hakutegemea hayo kuwekwa hadharani anauthibitisho kuwa ni ya kweli?
 
Na bado wataibuka wengi kuthibitisha unyama na ukatili wa JPM na baada ya uchaguzi mkuu 2025 tutaelezwa kwa kina namna damu zilivyomwagwa pia na Hanganya.

CCM imetuletea wauaji waongoze nchi
 
Na huyo askofu hafai kuwa askofu Ni mjinga haiwezekani mtu anakuja kutubu we unatoa siri. Wakati miiko unaijua kwamba Siri hiyo Ni ya wewe askofu, muhusika pamoja na Mungu.
 
Wazungu wanasema "it's too late". Hata kama hayo ni kweli, kwa hiyo sisi yanatusaidia nini kwa sasa???

Sasa ni muda wa kulijenga taifa letu kupitia 4R za Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Unafanana na jina lako.
 
Uthibitisho upo nao ni kuwa kweli watu walikufa, Ukiona uongo basi tuambie kwanini hata CCM wenyewe waliomba maridhiano baada ya jamaa kufariki? Basi tuseme Ben na Gwanda wapo hai tuonesheni walipo!
 
Angeyasema hayo wakati Magu akiwa hai angekuwa yeye Mwamakula amesha kufa na mwili wake haujulikani ulipo.
 
Anataka kubariki drama za kitabu n ngumu sana kusahau mazur ya magufuli marais wote wana mazur na mabaya yao kwa nn wamekomalia kwa magu tu
Mazuri Gani zaidi ya ujinga na kutisha watu? Kujenga stendi ukaacha kujenga madarasa hayo ndiyo mazuri?
 
Kuna hao walio hai sasa nao kashindwa kuwataja kwa majina yao...

Huyu bishop ni mnafiki mkubwa
 
Lakini yako mambo aliweza kuyasema. Tunaomfuatilia, hata angeuawa tungejua mwuuaji wake ni Mwendazake. Sema kwa level yake hawezi kuropoka kila kitu na kumwita mwongo wakati huonyeshi ukweli ni kumvunjia heshima
 
Basi kama unalifahamu hilo jitahidi siku ya Mwisho Uulizwe kuhusu nafsi yako sio ya Nafsi za watu wengine, Mungu wetu alituasa ya Gizani/ Sirini tumuachie yeye wewe ni nani mpaka ukajua hukumu ya Bwana Mungu wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…