TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
It is the work of analysts to come up with sound conclusion. I am just helping them to process the resources.The meat gobbling isn't helping your thinking
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It is the work of analysts to come up with sound conclusion. I am just helping them to process the resources.The meat gobbling isn't helping your thinking
Ben Saanane alitekwa na kikundi cha kina Makonda na kupelekwa Ikulu kwa Magufuli na alipigwa risasi hapo hapo Ikulu Dar es Salaam na Magufuli mwenyewe.Kwa maneno mengine, Askofu anatuthibitishia kwamba yaliyoandikwa katika kitabu cha Kabendera ni kweli kwani naye alipewa taarifa hizohizo ila hakuwahi kuzisema kokote.
Polee sana. Hakuna shujaa muuajiCOVID 19 ni dili ya Mbowe sasa sijui Askofu anataka kutuambia nini.
JPM alikuwa na nia ya dhati kabisa na nchi hii, kuitoa ilipo na kuipeleka mahala.
Wapumbavu wengi walitumia mbinu mbalimbali kumkwamisha katika nia yake hii na hapo ndio shida ilipoanzia.
JPM alipigana vita zote, za ndani ya chama chake CCM, nje ya chama chake wapinzania feki waliozoea kula kwa mongo wa siasa, wapinzania wa nje ya mipaka ya Tanzania waliozoea kuwaibia Watanzania na kula pamoja na Watanzania wenzetu ndani ya nchi.
Hizi vita alizopigana JPM ndio zimeleta uadui wote huu dhidi yake.
Leo CDM tunaona wanavyoshutumiana dhidi ya masuala ya rushwa, rushwa kutoka CCM, watu hawa hawa leo watamsema JPM, ugomvi wao na JPM nikuwakatia mirija na mafungu waliyokuwa wanapewa kuendesha upinzani feki.
JPM kuwakatia watu mirija ya hela za kuchezea ndani ya mifumo na kuwanyima watu fursa za kijingajinga kupeanapeana ajira, kuendesha semina na masafari ya nje pamoja na kufirisi baadhi ya watumishi na wafanyabiashara walioihujumu nchi NDIO KUMELETA NA KUZAA YOTE HAYA.
Wivu Kwa mageuzi aliyoyafanya JPM ambayo wengine yamewashinda mpaka Leo watu wamebaki na kinyongo na marehemu.
Mazishi ya kitaifa na response ya wananchi dhidi ya marehemu JPM imesababisha wivu kwa marehemu mpaka leo.
JPM alithubutu hata kureview mikataba ya Makampuni ya madini kwa manufaa ya Watanzania na sio wachache waliokuwa wanajichotea tu kupitia hizi kampuni kupitia vijana wao waliowapandikiza kila mahala.
Alichokifanya JPM ndio Leo hii tunaona kinatokea Mali, Niger,Burkina Faso nk.
JPM pamoja na mapungufu yake, ataendelea kuwa shujaa katika nchi hii na hawezi kufananishwa na Rais yeyote yule ukimtoa Nyerere.
Kila siku ukiegemea kwenye usukuma wako unakuwaga ndezi sana. Uzuri kila mtu ameshakufahamu humuKufikiri kama mtu huru ni lazima nikubaliane na stori zenu?
I don’t go along just to get along. My independent mind of boffo!
Mimi sio sisiemu, sio cdm lkn katika marais waliowahi kuiongoza nchi yangu ya Tanzania wakwanza Ni nyerere wa pili Ni jpm.what are you trying to tell in essense
Washenzi sana hawa watu. Ukabila unawafanya wawe mashetaniMnafikiriaga wakati mnaandika? Waliosema akiwa hai uliwaamini? Yaliwapata yapi au ndio kujitetea kwa marehemu huko?
Huu ujinga ni Kwa mapenzi ya madaraja na reli tu au kuna mengine hatuambiani?
legasi ya shujaa sio nzuri sanaNimesoma bandiko hili hadi machozi yametaka nitoka..
Hakika "MUNGU ALIAMUA UGOMVI WETU" na kuliponya taifa.
ameshaambiwa HACHAFUKI ! HACHAFUKI !HACHAFUKI !Ukitaka kujua mtu muongo aliyekubuhu wana sifa moja za kufanana wawe maaskofu au yeyote utasikia marehemu aliniambia wakijua marehemu hawezi fufuka kujitetea au kusema muongo huyu Askofu
Askofu Mwamakula anaangukia kwenye hilo kundi la waongo wabobezi kwa nini hakusema hayo Magufuli akiwa hai?
Umemaliza kila kituChawa wa marehemu kashikwa na uchungu wa ghafla maana haamini kama mabaya ya jiwe hatimaye yapo hadharani na kila mtu anajisomea.
Kutetea marehemu jiwe kuwa alikuwa mwema saana na hawezi kufanya mabaya inahitaji kuwa taahira wa kiwango cha juu sana.
Mfalme Daudi wa kwenye biblia pamoja na utakatifu wake alichukua mke wa mwanajeshi wake na akampiga mimba na akaamuru mumewe yaani huyo mwanajeshi apangwe mstari wa mbele vitani ili afe.
Na Daudi akauchuna ila Mungu kupitia nabii Nathan akamuumbua.
Sasa kama Daudi alipotoka kiasi hicho jiwe mvuta bhangi kichaa ni nani hata awe mtakatifu kiasi cha mtu kusema anasingiziwa why asisingiziwe Nyerere, Mkapa, Mwinyi, Kikwete?
Legasi sio nzuri sana kwa wale wenye Akili zinazodanganyika kirahisi sana 😳 !legasi ya shujaa sio nzuri sana
Yule kwanza sio Askofu tulishamfukuza muda mrefu.Ukitaka kujua mtu muongo aliyekubuhu wana sifa moja za kufanana wawe maaskofu au yeyote utasikia marehemu aliniambia wakijua marehemu hawezi fufuka kujitetea au kusema muongo huyu Askofu
Askofu Mwamakula anaangukia kwenye hilo kundi la waongo wabobezi kwa nini hakusema hayo Magufuli akiwa hai?
Ukiwa baba wa familia mwanaume Kuna mambo utavumilia familia isipasuke.... Hicho ndo alifanya mwamakula..Ukitaka kujua mtu muongo aliyekubuhu wana sifa moja za kufanana wawe maaskofu au yeyote utasikia marehemu aliniambia wakijua marehemu hawezi fufuka kujitetea au kusema muongo huyu Askofu
Askofu Mwamakula anaangukia kwenye hilo kundi la waongo wabobezi kwa nini hakusema hayo Magufuli akiwa hai?
You must also be a killer! an aide to magufuli, how dare you write such nonsenseJPM pamoja na mapungufu yake, ataendelea kuwa shujaa katika nchi hii na hawezi kufananishwa na Rais yeyote yule ukimtoa Nyerere.
Umemaliza !Tangu hizi habari zianze kusambaa hatujaona uthibitisho hata mmoja. Ni hearsays, speculations na personal opionions tu zinatawala. What a crap kutoka kwa a self-declared bishop.
Na bahati nzuri zinatoka kwa walewale vibaraka wa mabeberu. Hatushangai kama ambavyo hatushangai panya kumchukia paka.
It changes nothing especially kazi kubwa aliyolifanyia taifa hili Rais bora kabisa kuwahi kutokea.
we ni mtu wa ajabu kabisa. Walifanya nini? walipinga serikali yake, ambacho ni haki yao kupinga serikali. hawakuwa wahaini, wala waovu. AKAWAUA!Najua pamoja na Mambo yote yanayoongelewa lkn hatujafahamu Nini walifanya wahanga kiasi Cha kupelekea kifo Chao
Kabendera aliteswa kivipi kwani kupelekwa mahakamani ni kuteswa?Nkikumbuka Kabendera alivoteswa.
Nkikumbuka Ben Saanane alivokuwa akilalamika anatishwa.
Nkikumbuka Yussuph Manji alivoteswa.
Nkikumbuka mkurugenzi wa stendi ya ubungo alivoanguka ghafla na kufa.
Mungu ndo mwamuzi.
Daudi pamoja na kufanya mauaji Yale bado leo tunamuita mtakatifu. We unadhani hao mnao walilia wangeweza kazi alioifanya jpm? Acha chuki za kizaramo wewe.Umemaliza kila kitu