Askofu Mwamakula: Sikutarajia yaliyoandikwa na Kabendera yangewekwa hadharani wakati wa uhai wangu

Hii nchi mpaka tupigane vita vya wenyewe kwa wenyewe ndio ikili zitawakaa sawa, au utawala wa machief urudi...
Nchi imejaa wanafki sana
 
Inaonekana ulikuwa na hamu nae umpeleke machinjioni?
 
Ndugu yangu nini kimekukuta au siri imefichuka unapata wapi mshipa wa kutukana babu zako? Kuna laana inakutafuna utasema tu karma is inevitable
 
Aise
Ndugu yangu nini kimekukuta au siri imefichuka unapata wapi mshipa wa kutukana babu zako? Kuna laana inakutafuna utasema tu karma is inevitable
Kuliko kuwa na Babu WA ovyo kama huyo SI Bora niwe chokoraa tu ambaye Sina ndugu Wala sijui asili yangu.

Wewe unaona Hilo lizee liko sawa kweli?
 
Mwenye PDF ya Kitabu Cha kabendera atuwekee hapa tafadhali.
Huwezi kukipata kwa mfumo wa free online ili wewe upakue tu..

Mfumo wake wa mauzo unadhibitiwa na makampuni makubwa ya kuuza bidhaa kv Amazon nk

Ili ukipate (iwe kwa mfumo wa soft au hardcopy) ni lazima tu mfuko utoboke...
 
Kumbe uaskofu ni sawa na ajali tu, unaweza kumpata yeyote hata kama ni kilema! Huyu ana kilema kisichoonekana kwa macho!
 
Sawa Askofu , nimekuelewa.
Hakika Kabendera ni jasiri.
 
Huu ujumbe alipewa nani akampe nani
Pamenichanganya hapo
Bishop ndie aliekuwa central na kuna polisi alienda kumtisha ujumbe ssj
Huu ujumbe alipewa nani akampe nani
Pamenichanganya hapo
Bishop ndie alikuwa central na kuna polisi alitumwa aende kumpa vitusho ila sijajua ujumbe ulitoka kwa nani labda ujumbe ulitoka kwa mwendazake maana kwa hali ilivyo yeye ndio mtuhumiwa namba moja
 
Umemsoma vizuri askofu? Hajaonesha kama Magufuli aliongea nae ana kwa ana; kasema Magufuli alituma watu kwake ili wamshawishi, hao watu waliotumwa nao WAMEKUFA?
 
🤣😆
 
Haya uliyoondika hayaondoi hata chembe ya uovu aliowafanyia wakosoaji wake na wapinzani. Usitake kuchanganya wajibu wake aliokuwa analipwa mshahara, na maovu aliyokuwa anatenda.
 
Wewe ni MPUMBAVU tu period. Bado unaamini mungu wako Magufuli atafufuka
 

View: https://youtu.be/HfQqupIGlKM?si=onGz-98ZMq-nvwC3
Kwenye hii video angalia kuanzia dakika ya 50 anasema alimpigia simu Generali mmoja wa JWTZ kwa simu inayoficha mawasiliano yao.

Generali akaenda chumbani kwake, akafunga kufuli, halafu akamwambia subiri kwanza mimi nina kitanda kikubwa hivi, akaingia uvunguni mwa kitanda chake kabla ya kuanza kuongea naye.

Huyu ni generali aliyekuwepo Uganda na kumuondoa Iddi Amin. Anasema ni shujaa.

Sikiliza mwenyewe halafu tumia akili kidogo kutafakari uongo wa kitoto wa aina hii anajaribu ku-mix ukweli na uongo awe na story ya kusisimua kama fiction yoyote.
 
Is this what we call hypocrisy or not?
Kusema haya yanayozunguka sasa hivi wakati Hayati hawezi kujitetea, kwangu mimi ni jambo linalonipa mashaka kuamini na kukubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…