Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana ulikuwa na hamu nae umpeleke machinjioni?Ukitaka kujua mtu muongo aliyekubuhu wana sifa moja za kufanana wawe maaskofu au yeyote utasikia marehemu aliniambia wakijua marehemu hawezi fufuka kujitetea au kusema muongo huyu Askofu
Askofu Mwamakula anaangukia kwenye hilo kundi la waongo wabobezi kwa nini hakusema hayo Magufuli akiwa hai?
Ndugu yangu nini kimekukuta au siri imefichuka unapata wapi mshipa wa kutukana babu zako? Kuna laana inakutafuna utasema tu karma is inevitableWewe mzee akili huna matako wewe.
Kwa hiyo ulitaka familia yake ianze kutanga Tanga mitandaoni inawajibu kejeri na comments zenu za chuki dhidi ya marehemu ndio uone kwamba anastahili kutetewa au???
Ni obvious familia yake Haioni haja ya kupigizana kelele na nyie watu ambao mmetawaliwa na uchungu moyoni... Kama ni kujibizana na watu wanaokomsoa raisi hiyo kazi wanaiweza familia ya kiswahili ya Samia hasa yule mtoto wake WA kike, ambaye alisema Huwa analia machozi akiona watu wanavyomsema mama yake mitandaoni.
Na pia acha kumhusisha Mungu kwenye upumbavu wako WA uzeeni.
Wewe kaa hapo akiwalamba makalio mafisadi wakudondoshee hizo elfu 10 10 hili update kuishi nyau wewe.
Kuliko kuwa na Babu WA ovyo kama huyo SI Bora niwe chokoraa tu ambaye Sina ndugu Wala sijui asili yangu.Ndugu yangu nini kimekukuta au siri imefichuka unapata wapi mshipa wa kutukana babu zako? Kuna laana inakutafuna utasema tu karma is inevitable
Huwezi kukipata kwa mfumo wa free online ili wewe upakue tu..Mwenye PDF ya Kitabu Cha kabendera atuwekee hapa tafadhali.
Kumbe uaskofu ni sawa na ajali tu, unaweza kumpata yeyote hata kama ni kilema! Huyu ana kilema kisichoonekana kwa macho!Ukitaka kujua mtu muongo aliyekubuhu wana sifa moja za kufanana wawe maaskofu au yeyote utasikia marehemu aliniambia wakijua marehemu hawezi fufuka kujitetea au kusema muongo huyu Askofu
Askofu Mwamakula anaangukia kwenye hilo kundi la waongo wabobezi kwa nini hakusema hayo Magufuli akiwa hai?
Kabendera SHUJAAKuna kila dalili Lisu amefeli Uenyekiti 😂😂😂
.Bado ya Soka na wengine kina Ally Kibao - tutayajua yote yaliyo chini ya pazia.
Kama mboe tu 😂Kabendera SHUJAA
Kama mboe tu 😂
Bishop ndie aliekuwa central na kuna polisi alienda kumtisha ujumbe ssjHuu ujumbe alipewa nani akampe nani
Pamenichanganya hapo
Bishop ndie alikuwa central na kuna polisi alitumwa aende kumpa vitusho ila sijajua ujumbe ulitoka kwa nani labda ujumbe ulitoka kwa mwendazake maana kwa hali ilivyo yeye ndio mtuhumiwa namba mojaHuu ujumbe alipewa nani akampe nani
Pamenichanganya hapo
Umemsoma vizuri askofu? Hajaonesha kama Magufuli aliongea nae ana kwa ana; kasema Magufuli alituma watu kwake ili wamshawishi, hao watu waliotumwa nao WAMEKUFA?Ukitaka kujua mtu muongo aliyekubuhu wana sifa moja za kufanana wawe maaskofu au yeyote utasikia marehemu aliniambia wakijua marehemu hawezi fufuka kujitetea au kusema muongo huyu Askofu
Askofu Mwamakula anaangukia kwenye hilo kundi la waongo wabobezi kwa nini hakusema hayo Magufuli akiwa hai?
Aseme amuueNilitegemea aina hii ya coments
🤣😆Bishop ndie aliekuwa central na kuna polisi alienda kumtisha ujumbe ssj
Bishop ndie alikuwa central na kuna polisi alitumwa aende kumpa vitusho ila sijajua ujumbe ulitoka kwa nani labda ujumbe ulitoka kwa mwendazake maana kwa hali ilivyo yeye ndio mtuhumiwa namba moja
Haya uliyoondika hayaondoi hata chembe ya uovu aliowafanyia wakosoaji wake na wapinzani. Usitake kuchanganya wajibu wake aliokuwa analipwa mshahara, na maovu aliyokuwa anatenda.COVID 19 ni dili ya Mbowe sasa sijui Askofu anataka kutuambia nini.
JPM alikuwa na nia ya dhati kabisa na nchi hii, kuitoa ilipo na kuipeleka mahala.
Wapumbavu wengi walitumia mbinu mbalimbali kumkwamisha katika nia yake hii na hapo ndio shida ilipoanzia.
JPM alipigana vita zote, za ndani ya chama chake CCM, nje ya chama chake wapinzania feki waliozoea kula kwa mongo wa siasa, wapinzania wa nje ya mipaka ya Tanzania waliozoea kuwaibia Watanzania na kula pamoja na Watanzania wenzetu ndani ya nchi.
Hizi vita alizopigana JPM ndio zimeleta uadui wote huu dhidi yake.
Leo CDM tunaona wanavyoshutumiana dhidi ya masuala ya rushwa, rushwa kutoka CCM, watu hawa hawa leo watamsema JPM, ugomvi wao na JPM nikuwakatia mirija na mafungu waliyokuwa wanapewa kuendesha upinzani feki.
JPM kuwakatia watu mirija ya hela za kuchezea ndani ya mifumo na kuwanyima watu fursa za kijingajinga kupeanapeana ajira, kuendesha semina na masafari ya nje pamoja na kufirisi baadhi ya watumishi na wafanyabiashara walioihujumu nchi NDIO KUMELETA NA KUZAA YOTE HAYA.
Wivu Kwa mageuzi aliyoyafanya JPM ambayo wengine yamewashinda mpaka Leo watu wamebaki na kinyongo na marehemu.
Mazishi ya kitaifa na response ya wananchi dhidi ya marehemu JPM imesababisha wivu kwa marehemu mpaka leo.
JPM alithubutu hata kureview mikataba ya Makampuni ya madini kwa manufaa ya Watanzania na sio wachache waliokuwa wanajichotea tu kupitia hizi kampuni kupitia vijana wao waliowapandikiza kila mahala.
Alichokifanya JPM ndio Leo hii tunaona kinatokea Mali, Niger,Burkina Faso nk.
JPM pamoja na mapungufu yake, ataendelea kuwa shujaa katika nchi hii na hawezi kufananishwa na Rais yeyote yule ukimtoa Nyerere.
Wewe ni MPUMBAVU tu period. Bado unaamini mungu wako Magufuli atafufukaWewe mzee akili huna matako wewe.
Kwa hiyo ulitaka familia yake ianze kutanga Tanga mitandaoni inawajibu kejeri na comments zenu za chuki dhidi ya marehemu ndio uone kwamba anastahili kutetewa au???
Ni obvious familia yake Haioni haja ya kupigizana kelele na nyie watu ambao mmetawaliwa na uchungu moyoni... Kama ni kujibizana na watu wanaokomsoa raisi hiyo kazi wanaiweza familia ya kiswahili ya Samia hasa yule mtoto wake WA kike, ambaye alisema Huwa analia machozi akiona watu wanavyomsema mama yake mitandaoni.
Na pia acha kumhusisha Mungu kwenye upumbavu wako WA uzeeni.
Wewe kaa hapo akiwalamba makalio mafisadi wakudondoshee hizo elfu 10 10 hili update kuishi nyau wewe.