Minja Ngalason
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,284
- 1,839
Kw
Kwa hiyo kama kiongozi anaengoza watu kiroho unaona ni sawa kuficha Maovu na ukumbuke kaamua kusema hayo ili kuokoa vizazi vya watawala wengine makatili kama huyo Mzee wenu anayeliwa na mchwaNa huyo askofu hafai kuwa askofu Ni mjinga haiwezekani mtu anakuja kutubu we unatoa siri. Wakati miiko unaijua kwamba Siri hiyo Ni ya wewe askofu, muhusika pamoja na Mungu.