Askofu Mwamakula: Sikutarajia yaliyoandikwa na Kabendera yangewekwa hadharani wakati wa uhai wangu

Askofu Mwamakula: Sikutarajia yaliyoandikwa na Kabendera yangewekwa hadharani wakati wa uhai wangu

Kw
Na huyo askofu hafai kuwa askofu Ni mjinga haiwezekani mtu anakuja kutubu we unatoa siri. Wakati miiko unaijua kwamba Siri hiyo Ni ya wewe askofu, muhusika pamoja na Mungu.
Kwa hiyo kama kiongozi anaengoza watu kiroho unaona ni sawa kuficha Maovu na ukumbuke kaamua kusema hayo ili kuokoa vizazi vya watawala wengine makatili kama huyo Mzee wenu anayeliwa na mchwa
 
Kw

Kwa hiyo kama kiongozi anaengoza watu kiroho unaona ni sawa kuficha Maovu na ukumbuke kaamua kusema hayo ili kuokoa vizazi vya watawala wengine makatili kama huyo Mzee wenu anayeliwa na mchwa
Usiseme katili jpm Ni Kama netanyahu alikuwa anashughulikia majizi na majambazi Kama wewe Tena sijui kwanini ulisevu mshenzi wewe!

Askofu wa nyoko!
 
Usiseme katili jpm Ni Kama netanyahu alikuwa anashughulikia majizi na majambazi Kama wewe Tena sijui kwanini ulisevu mshenzi wewe!

Askofu wa nyoko!
Sio lazima kutukana
 
Kabendera aliteswa kivipi kwani kupelekwa mahakamani ni kuteswa?
Hukumbuki hata The Late mama yake mzazi alikuwa akilalamika kuwa Kabendera ndo msaada wangu mkubwa.
Hadi yule mama akapata ugonjwa then akafa nae Kabendera akazuiwa kwenda kumzika mama yake mzazi.
Au mwenzetu hukuepo kwenye hii nchi nini???
 
Alafu msifikiri watu tunaompenda magufuli Ni sisiemu Wala usifikiri wanaomchukia magufuli Ni chadema pekee tuwekane tuwekane sawa hapo. Oooohoooo!
 
Ukitaka kujua mtu muongo aliyekubuhu wana sifa moja za kufanana wawe maaskofu au yeyote utasikia marehemu aliniambia wakijua marehemu hawezi fufuka kujitetea au kusema muongo huyu Askofu

Askofu Mwamakula anaangukia kwenye hilo kundi la waongo wabobezi kwa nini hakusema hayo Magufuli akiwa hai?
Pumbavu kwelikweli.
 
Hukumbuki hata The Late mama yake mzazi alikuwa akilalamika kuwa Kabendera ndo msaada wangu mkubwa.
Hadi yule mama akapata ugonjwa then akafa nae Kabendera akazuiwa kwenda kumzika mama yake mzazi.
Au mwenzetu hukuepo kwenye hii nchi nini???
Sasa hapo tatizo liko wapi Sasa kama mtu ana makosa ulitaka aachiwe kisa ni msaada Kwa mamake je itabidi tuwaachie wafungwa wote Kwakuwa ni msaada Kwa watu wao wa karibu.
 
Ukitaka kujua mtu muongo aliyekubuhu wana sifa moja za kufanana wawe maaskofu au yeyote utasikia marehemu aliniambia wakijua marehemu hawezi fufuka kujitetea au kusema muongo huyu Askofu

Askofu Mwamakula anaangukia kwenye hilo kundi la waongo wabobezi kwa nini hakusema hayo Magufuli akiwa hai?
Pumbavu!
 
Ndio maisha yetu sisi wamatumbi kwani vipi?
Kutumia muda wangu Kusoma hicho Kitabu ni heshima kubwa nitakuwa nimempa.
Alikwambia amekichapisha ili aendeshe familia au we ndio mkewe?

Angetaka kukitoa bure angeweka PDF copy mwenyewe kila kona. Kama kaweka kitabu amazon na platform zingine za kulipia means anataka kupata chochote out of it na kucover gharama alizoingia.

Wabongo wote wezi I mean WOTE. Mnapenda kulalamikia wanasiasa kwamba wezi wakati nyie wenyewe mnaiba kila siku kwa nafasi zenu na mnaibia hadi watu wanaotumia muda na maarifa yao na kuweka maisha yao rehani. Wewe hapo una tofauti gani na fisadi anayeibia pesa za kujenga hospitali?
 
Ukitaka kujua mtu muongo aliyekubuhu wana sifa moja za kufanana wawe maaskofu au yeyote utasikia marehemu aliniambia wakijua marehemu hawezi fufuka kujitetea au kusema muongo huyu Askofu

Askofu Mwamakula anaangukia kwenye hilo kundi la waongo wabobezi kwa nini hakusema hayo Magufuli akiwa hai?
Kwa hiyo wewe ni mkweli? Haya tueleze wakina Gwanda, Ben wako wapi? Mwenzio kaeleza kuwa waliuawa kwa mkono wa Magufuli. Mwambie huyo mwandishi alete uthibitisho na wewe ulete uthibitisho kuwa hao wawili ni waongo. Au ukae kimya.
 
Umeelezea Vizuri ila hapo mwisho umepuyanga puyanga kama Panya Buku Wewe hayajakukuta ndugu yako auwawe na hata maiti msiione kama kina Ben Saa 8 Mambo mengine usi reasoning kihisia badala ya kutumia Akili yako

Ni jambo gumu wakati mwingine kutenganisha adui aliye mbele yako na vibaraka wanaotumika na adui kama kificho.

Hao uliowataja inawezekana kabisa waliingia kwenye ambush katika harakati yakupambana na adui aliyejificha nyuma yao na kuwatumia wahusika.

Ndani ya upinzani nyuma yake kuna mamluki waliojificha kwa maslahi mengine mapana nje ya hizi siasa tunazoziona hao ndio chanzo cha hayo yooote.

Ally Kibao alikuwa ni underground ndani ya siasa lakini alitekwa na kuuwawa ikatushangaza chanzo hasa ni nini, yanayoendelea ndani ya CDM kwa sasa kwa kiasi fulani yanaweza kuakisi jambo fulani.
 
Ww utakuwa ni mzee lazima, maana wazee ndio huamini propaganda za aina hii. Nakushauri mzee wangu amka, kizazi hiki sio cha propaganda za aina hiyo.

Bwana Tindo, ni kweli mimi ni Mzee wa miaka 79 sasa, nimeona mengi pia kuliko umavyofikiria.

Sina haja yakukuelezea mengi yaliyojificha ndani ya siasa za Tanzania toka kuanza kwake 1992, NCCR yakina Lyatonga, Mabere Marando, Lamwai, Ndesa pesa nk, ikaja Cuf ngalingali ya Maalim, Jusa, Profesa, nk mpaka hii CDM..
Huko nyuma wamekufa watu wakiipigania NCCR, CUF nk tena CUF walizamishwa kabisa baharini wakikimbilia uhamishoni, umati wa watu, Mwenyezi Mungu awerehemu marehemu wote na kuwapa pumziko lili jema.

Kama yanayoendelea ndani ya CDM mpaka sasa hayajakupa taswira ya siasa za upinzani na CCM basi itakuwa mtoto mdogo saana aka oyaoya, kuanzia COVID 19 mpaka kifo cha yule Mzee muungwana (kibao), kifo cha Wangwe, sakata la ZZK na kuibukia ACT.

Tusiwe mashabiki tu na kusukumwa na mapenzi, tujikite pia kwenye uhalisia na ukweli.
 
Back
Top Bottom