Kuchitimbo
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 439
- 366
KweliHuwezi elewa kama akili kisoda
Acha roho mbaya haikusaidiiHuyu mzee sijawahi muelewa na huwa staki kumuelewa.
Hajawahi ongelea mazuri ya kiongozi yeyote yule awaye kama ametokana na CCM,
Bali ni kushambulia tu na kufedhehesha viongozi.
Ndo nmejua Leo kuwa ni CDM,mbona mazuri ya serikali kwa chama chake hasemi?.
Naomba aulizwe vpi kuhusu biashara za hao viongozi wake zile haramu,mbona haziongelei?
Ubaya wa magu hauwezi kuwa ubora wa SamiaKama ndo hivo kwa nini mnamsimanga aliewafungulia milango ya kuyasema haya? Au wanafiki wakubwa tu,maana miongoni mwenu mmethubutu kusema bora ya mjomba kuliko bibi
Kweli wakuu mwenyewe hio Pdf atuwekee nasi tuzipate from the sourceMwenye PDF ya Kitabu Cha kabendera atuwekee hapa tafadhali.
Wewe ni mpumbavu kweli.ndio maana watu wenye akili zao walishakwambia hatujawahi kuwa na Rais wa ajabu kama Huyo,Mungu anaipenda TZ Ndio maana alimchukua mapemaTangu hizi habari zianze kusambaa hatujaona uthibitisho hata mmoja. Ni hearsays, speculations na personal opionions tu zinatawala. What a crap kutoka kwa a self-declared bishop.
Na bahati nzuri zinatoka kwa walewale vibaraka wa mabeberu. Hatushangai kama ambavyo hatushangai panya kumchukia paka.
It changes nothing especially kazi kubwa aliyolifanyia taifa hili Rais bora kabisa kuwahi kutokea.
Kila kitu mnataka kuleta uchawa tuUkitaka kujua mtu muongo aliyekubuhu wana sifa moja za kufanana wawe maaskofu au yeyote utasikia marehemu aliniambia wakijua marehemu hawezi fufuka kujitetea au kusema muongo huyu Askofu
Askofu Mwamakula anaangukia kwenye hilo kundi la waongo wabobezi kwa nini hakusema hayo Magufuli akiwa hai?
Hakutaka yamkute yaliyomkuta Ben Saanane.Ukitaka kujua mtu muongo aliyekubuhu wana sifa moja za kufanana wawe maaskofu au yeyote utasikia marehemu aliniambia wakijua marehemu hawezi fufuka kujitetea au kusema muongo huyu Askofu
Askofu Mwamakula anaangukia kwenye hilo kundi la waongo wabobezi kwa nini hakusema hayo Magufuli akiwa hai?
Hii👆 paragraph ipo kwenye kitabu cha Kabendera?Hawa hawa chadema ndo walikua hawataki covid19 waapishwe had magufuli akuombe weew uongee na mbowe?!!! Then imekuaje mbona wako upande wa mbowe had leo?!
Asingethubutu kwani angewaua na ndiyo maana hawakuthubutu kuyasema wakati Jiwe akiwa hai.Wangeyasema akiwa hai nae Ajibu.
Kwa sasa ni tuhuma tu 🫣
Ikiwa kwa CCM ni ruksa au sio?Hakuna mtumishi wa mambo ya kiroho halafu awe mwanasiasa . Hiyo ni hakuna. Kuwa mwanasiasa ni kuwa muongo muongp.
Kwa sasa aidha kambi Lisu au Mbowe. Unasimama wapi. Sioni cha maana
Sisi wa kuchomwa moto majivu yetu hayataliwa na funza.Uzuri kila Nafsi itaonja MAUTI.
..........Hakuna mbabe wa kifo kila mwili utaliwa na funza.
Mwambie hata Reverend Jesse Jackson.Unamjua Askofu Desmond Tutu au shule ulikuwa unachoma wenzako na tunda za ubuyu?
Asingethubutu kwani angewaua na ndiyo maana hawakuthubutu kuyasema wakati Jiwe akiwa hai.
Why not?Why today, after almost three years!
Ben Saanane alithubutu kusema kitu very simple, kutaka to proof ya PhD but where is he?Unajuaje wangeuwawa na nani na kwa lipi?
Hao wanaodai wangeuwawa ni nani wameona kwa macho na dunia ya sasa proof mbona hakuna hata kurekodiana na mtu.. Khaaaaa
Kataka kujipatia pesa na kitabu Chale basiiii
Unakubali hakuna prufu juu ya yale kayaandika KabsBen Saanane alithubutu kusema kitu very simple, kutaka to proof ya PhD but where is he?
Jiwe alikuwa ni exterminator.