Askofu Mwamakula: Sikutarajia yaliyoandikwa na Kabendera yangewekwa hadharani wakati wa uhai wangu

Huyu askofu aache uwongo, wale wabunge miongoni mwao ni wake wa viongozi wa Chadema. Kama Chadema wenyewe walishindwa kuwazuia Magufuli angewazuiaje.
Magufuli kafariki, Ndugai siyo Tena mbunge, je hao wabunge wameondilewa?
 
Jiulize km jiwe angekua hali tungekuwa tuna hali gn baba jeuri yule

Ungepata huduma za serikali kwa wakati bila rushwa, umeme maji yasingekuwa yanakatika hovyo, misitu, bandari, ngorongoro zisingeuzwa. Bei za vitu isingekuwa inapanda hovyo.

Kusingekuwa na tozo, kodi lukuki, SGR ingekuwa mbali sana sasa. Unajua mimi ni Nani, Kula kwa urefu wa kamba zao isingekuwa Sera ya serikali ufisadi ungethibitiwa, uwajabikaji ungeongezeka.

Dhuluma ya viwanja, nyumba, mashamba ingepungua.
 
Unayo yasema yamesimama hayatendeki? Au mpk yafanywe kwa sifa na kukandamiza watu?
 
Soma mauaji mengine ya Magufuli hapa chini.

UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA BIHARAMULO

👉Mnamo Mwaka 1985 Mwalimu wa Kemia shule ya sekondari Sengerema John Pombe Magufuli aligombea ubunge wa jimbo la Biharamulo akichuana na Mkulima Phares Kabuye. Kabuye alishinda na kutangazwa Mbunge, na Mwalimu Magufuli akarudi Sengerema kufundisha.

👉Mwaka 1990 Mwalimu Magufuli alichuana tena na Mkulima Kabuye kwa mara ya pili. Kabuye alimshinda tena Magufuli na kutetea kiti chake.

👉Mwaka 1995 wakati wa uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi, jimbo la Biharamulo liligawanywa na kupatikana majimbo mawili (Biharamulo Magharibi na Mashariki). Kabuye aligombea Magharibi akashinda. Magufuli nae akagombea Mashariki na kushinda kwa mara ya kwanza baada ya mpinzani wake wa muda mrefu kwenda magharibi.
Baadae jimbo la Biharamulo Mashariki lilibadilishwa na kuitwa Chato..
Miaka kadhaa baadaye Phares Kabuye alifariki kwa ajali Morogoro.
RIP Phares kabuye

"Bila kuigawa Biharamulo mara mbili nazani sasa hivi John pombe magufuli angekuwa mwalimu mstaafu"

Anayemtetea Magufuli ni mshenzi tu.
 
Hakuna kilicho ni shangaza maana magufuli nilimjuwa kuwa ni jambazi na ni kichaa kabla hata hajawa hawa raisi.
 
Kwa nini unasema hutatoa classified information? Wewe ni kitengo? Ulijuaje kwamba taarifa hizo ziko classified kama wewe sio insider ila unawazuga tu CDM kwamba uko nao? Kwa nini taarifa hizo hukuzisema tangu awali?
 
Hakika mtu yule alikuwa mwovu sana
 
Hakika mtu yule alikuwa mwovu sana. Moto wa jehanam uendelee kumuadhibu.
 
Sisi tunachojua kuwa Mungu aliamua huu ugomvi na leo hii dhalim yuko motoni.
 
nani wa kumfunga paka kengele?
acha upofu wa akili
 
Hivi unajuaje kama mtu katumwa na Rais kuja kwako? Yaani ni kigezo kipi kinakuonesha ni kweli huyu mtu kaagizwa na Rais au wanakujaga na barua?. Maana nijuavyo mimi afisa yeyote kwa utashi wake anaweza akawa hapendi wewe unachokifanya cha kuchafua image ya serikali au ya nchi hivyo ili akunyamazishe itabidi aje akutishe kidogo. All in all JPM hawezi chafuka kwa hadithi za kutunga sababu kazi zake na wema wake kwa taifa bado vinaishi na kila unaposafiri nchii hii kazi zake nzuri zinaonekana na zinamtetea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…