Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si wote watakaoamini lakini wengine tuliamini mapema tu kuwa tuna rais katili sana kwa attitude yake.Ukitaka kujua mtu muongo aliyekubuhu wana sifa moja za kufanana wawe maaskofu au yeyote utasikia marehemu aliniambia wakijua marehemu hawezi fufuka kujitetea au kusema muongo huyu Askofu
Askofu Mwamakula anaangukia kwenye hilo kundi la waongo wabobezi kwa nini hakusema hayo Magufuli akiwa hai?
Ni ujinga kupambana na 'mhuni' marehemu ilhali kuna 'mhuni' yupo hai na huwezi kupambana naye.Anasubiri wafariki, ndio atawataja. Wanaogopa kufikishwa mahakamani.
Hata huo ubunge alioshinda mara ya kwanza ni baada ya kufanya fouls kibaoSoma mauaji mengine ya Magufuli hapa chini.
UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA BIHARAMULO
👉Mnamo Mwaka 1985 Mwalimu wa Kemia shule ya sekondari Sengerema John Pombe Magufuli aligombea ubunge wa jimbo la Biharamulo akichuana na Mkulima Phares Kabuye. Kabuye alishinda na kutangazwa Mbunge, na Mwalimu Magufuli akarudi Sengerema kufundisha.
👉Mwaka 1990 Mwalimu Magufuli alichuana tena na Mkulima Kabuye kwa mara ya pili. Kabuye alimshinda tena Magufuli na kutetea kiti chake.
👉Mwaka 1995 wakati wa uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi, jimbo la Biharamulo liligawanywa na kupatikana majimbo mawili (Biharamulo Magharibi na Mashariki). Kabuye aligombea Magharibi akashinda. Magufuli nae akagombea Mashariki na kushinda kwa mara ya kwanza baada ya mpinzani wake wa muda mrefu kwenda magharibi.
Baadae jimbo la Biharamulo Mashariki lilibadilishwa na kuitwa Chato..
Miaka kadhaa baadaye Phares Kabuye alifariki kwa ajali Morogoro.
RIP Phares kabuye
"Bila kuigawa Biharamulo mara mbili nazani sasa hivi John pombe magufuli angekuwa mwalimu mstaafu"
Anayemtetea Magufuli ni mshenzi tu.
Hii ni kampeni kwa ajiri ya October 2025. Samia anasafisha njia ametumia Abdul kununua upinzani wote.N
Huyu askofu feki naye ni ile axis ya ubeberu kuzima mapinduzi ya kuwakomboa umma wa wananchi kutoka unyonyaji kiuchumi. Wameanza kampeni yao mwanzo kabisa wa mwaka wa uchaguzi. Lakini watanzania waliyojamaa akilini fikra za Nyerere watasimama imara. Kina kabendera wataangukia pua.
Sio kila mtu ni mfuasi wa kupelekwa mbio mbio km tuko utumwani babeliTunaona matokeo ya approach nyingine sasa hivi awamu ya sita. Approach ya kumbebelezana badala ya kuwawajibisha watu.
Ni fundisho kuwa haijalishi una nguvu kiasi gani, una hela kiasi gani tenda wema maana kuna maisha baada ya kifo.Hakika mtu yule alikuwa mwovu sana. Moto wa jehanam uendelee kumuadhibu.
ulete ushahidi kuwa kabedera was paid to make your allegation...weka ushahidi. acha kutumia DHANA, dhana haipatani na uweliWith all these stereotype, yes I'm a killer.
Its nonsense because it's type of truth you don't want to hear.
Barrick CEO (Mark Bristol) is wanted now in Mali and some barrick officials have been detained, the main issue is fraud, corruptions and all dirties thing in mining business.
JPM was fighting with these bunch of thugs the way he choose to fight but somebody wanted JPM to take his way and even tried to backbite him by stealing here and there secret informations and shared to these thugs.
With no doubt, you know Imma advocate ( if l am not mistaken), Masha, Fatma, Lissu etc go and dig deep which kind of cases they use to advocacy and how much they have been paid.
Kabendera was paid to tarnish the image of the country during JPM reign, the bunch of thugs wanted this so that they can smoothen their operation and use it as bargain chip to JPM.
Yapo mengi ya ndani marehemu amekwenda nayo mwenyewe, ndio hata baadhi ya watu wanathubutu kudai uchunguzi huru juu ya kifo chake.
Tatizo lao hawasemi hata mazuri yaliyofanywa, wanapiga kampeni kuhusu upande mmoja tu kwa ajili ya 2025.Ni ujinga kupambana na 'mhuni' marehemu ilhali kuna 'mhuni' yupo hai na huwezi kupambana naye.
Ndivyo walivyo wenye matatizo ya afya ya akili, i wamejaa ujinga ujinga tu kichwani.
Kwa nchi kama hii unahitajika mchakamchaka style ya China, Singapore, Malaysia South Korea, nchi zote duniani zilipokuwa zinaweka misingi ya maendeleo kuondoa umaskini kwa walio wengi.Sio kila mtu ni mfuasi wa kupelekwa mbio mbio km tuko utumwani babeli
Sitaki kusema kwamba aliua au hakuua Wala hili Mimi sitaki kulizungumzia maana Kuna kuua kwa sababu mbalimbali.Kwahiyo magufuli hakuua mtu hata mmoja? MKIRU unaifahamu?
Uchambuzi wa Kiintelijensia kuhusu Mauaji Kibiti, Mkuranga, Rufiji (MKIRU)
Kabla ya kuingia kwa kina kwenye uchambuzi huu, ni muhimu kueleza bayana kwamba japo maana, mbinu na ufanisi wa uchambuzi wa kiintelijensia ('intelligence analysis' kwa kimombo) kati ya mie niliyepo hapa Glasgow na afisa mchambuzi wa intelijensia aliyepo Dar zaweza kuwa karibu na sawa, mazingira...www.jamiiforums.com
Hawana.Wamejawa taharuki na wanashindwa kuzihimili.Wakiona kitu ni cha uongo,vema walete ukweli wao.Ben na Azory hawajauawa,watuoneshe wakiwa wazima na kwa nini "walijificha" muda wote huo kama wamejificha?Kama ni uongo tuambieni Ukweli ni upi?
Ukitaka kujua mtu muongo aliyekubuhu wana sifa moja za kufanana wawe maaskofu au yeyote utasikia marehemu aliniambia wakijua marehemu hawezi fufuka kujitetea au kusema muongo huyu Askofu
Askofu Mwamakula anaangukia kwenye hilo kundi la waongo wabobezi kwa nini hakusema hayo Magufuli akiwa hai?
Huwezi kuelewa hiyo sentensi kama ni mpaganiHuyu Mtumishi wa Mungu aliyehai anasema taarifa zilimtisha na tena zikampa matumaini? How?
Viongozi wa dini ni mwananchi kama wewe anahaki ya kikatiba ya kuongelea nchi yake vile anavyoonaNilikuwa napinga sana dhana ya Prof PLO Lumumba wa Kenya juu ya miradi ya " Religion Industry ". Nadhani ni muda muafaka kutafari msimamo wangu juu ya hili.