Askofu Mwamakula: Sikutarajia yaliyoandikwa na Kabendera yangewekwa hadharani wakati wa uhai wangu

Askofu Mwamakula: Sikutarajia yaliyoandikwa na Kabendera yangewekwa hadharani wakati wa uhai wangu

Ukitaka kujua mtu muongo aliyekubuhu wana sifa moja za kufanana wawe maaskofu au yeyote utasikia marehemu aliniambia wakijua marehemu hawezi fufuka kujitetea au kusema muongo huyu Askofu

Askofu Mwamakula anaangukia kwenye hilo kundi la waongo wabobezi kwa nini hakusema hayo Magufuli akiwa hai?
Si wote watakaoamini lakini wengine tuliamini mapema tu kuwa tuna rais katili sana kwa attitude yake.
Kilometers kitabu halafu fuatoli interview ya kabendera:

View: https://youtu.be/HfQqupIGlKM?si=Rsd-cyHcg19cTDbv
 
Mtanikumbuka kama alivosema... Kabendera na Mwamakula wameshaeleza naamin hao ndo wamwisho lakin kama kunamwingine atakujakutoa shuhuda yake ajetumsikilize..ilamuacheni mzee wa watu apumzike mlimsema akiwahai mpaka marehemu !! kwahyo mnatujengea taswila gani sisi wananchi tulikuwa wanyonge lakini pia kwa nchi yetu na viongozi wetu tunaowaamini na kuwachagua? mnapaswa kuziheshimu na kuzitii mamlaka zinazowaangoza kamamlikengeuka kwanini siziwaadhibu? nawashauri tu mnapoandika mavitabu yenu uchwara niombe nanyi maovu yenu myaweke wazi sio kuzungumzia mabaya ya mwenzenu kwani mimi huwa naamini hakuna binadamu mkamilifu...lakini pia mavitabu yenu uchwara yaweyaeleza na mazuri aliotuachia katika nchi yetu pendwa..kwawale niliokwaza mnisamehe.
 
Soma mauaji mengine ya Magufuli hapa chini.

UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA BIHARAMULO

👉Mnamo Mwaka 1985 Mwalimu wa Kemia shule ya sekondari Sengerema John Pombe Magufuli aligombea ubunge wa jimbo la Biharamulo akichuana na Mkulima Phares Kabuye. Kabuye alishinda na kutangazwa Mbunge, na Mwalimu Magufuli akarudi Sengerema kufundisha.

👉Mwaka 1990 Mwalimu Magufuli alichuana tena na Mkulima Kabuye kwa mara ya pili. Kabuye alimshinda tena Magufuli na kutetea kiti chake.

👉Mwaka 1995 wakati wa uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi, jimbo la Biharamulo liligawanywa na kupatikana majimbo mawili (Biharamulo Magharibi na Mashariki). Kabuye aligombea Magharibi akashinda. Magufuli nae akagombea Mashariki na kushinda kwa mara ya kwanza baada ya mpinzani wake wa muda mrefu kwenda magharibi.
Baadae jimbo la Biharamulo Mashariki lilibadilishwa na kuitwa Chato..
Miaka kadhaa baadaye Phares Kabuye alifariki kwa ajali Morogoro.
RIP Phares kabuye

"Bila kuigawa Biharamulo mara mbili nazani sasa hivi John pombe magufuli angekuwa mwalimu mstaafu"

Anayemtetea Magufuli ni mshenzi tu.
Hata huo ubunge alioshinda mara ya kwanza ni baada ya kufanya fouls kibao
Kimaadili jamaa alikuwa mchafu haiwezekani kusema alikuwa na angalau kijiusafi fulani
 
N

Huyu askofu feki naye ni ile axis ya ubeberu kuzima mapinduzi ya kuwakomboa umma wa wananchi kutoka unyonyaji kiuchumi. Wameanza kampeni yao mwanzo kabisa wa mwaka wa uchaguzi. Lakini watanzania waliyojamaa akilini fikra za Nyerere watasimama imara. Kina kabendera wataangukia pua.
Hii ni kampeni kwa ajiri ya October 2025. Samia anasafisha njia ametumia Abdul kununua upinzani wote.

Hongo kwa makanisa, misikiti, bila shaka Mwamakula, Kabendera ni sehemu ya hii kampeni asipatikane mzalendo mwingine mwenye uchungu na taifa hili 2025 kuliongoza tena hili Taifa.
 
Hakika mtu yule alikuwa mwovu sana. Moto wa jehanam uendelee kumuadhibu.
Ni fundisho kuwa haijalishi una nguvu kiasi gani, una hela kiasi gani tenda wema maana kuna maisha baada ya kifo.
Ila marehemu alikuwa mjivuni sana na chawa wake walianza kukufuru kupindukia ilifikia hatua chawa wakasema ati Mola amshukuru Magufuli dah
 
With all these stereotype, yes I'm a killer.
Its nonsense because it's type of truth you don't want to hear.

Barrick CEO (Mark Bristol) is wanted now in Mali and some barrick officials have been detained, the main issue is fraud, corruptions and all dirties thing in mining business.
JPM was fighting with these bunch of thugs the way he choose to fight but somebody wanted JPM to take his way and even tried to backbite him by stealing here and there secret informations and shared to these thugs.

With no doubt, you know Imma advocate ( if l am not mistaken), Masha, Fatma, Lissu etc go and dig deep which kind of cases they use to advocacy and how much they have been paid.

Kabendera was paid to tarnish the image of the country during JPM reign, the bunch of thugs wanted this so that they can smoothen their operation and use it as bargain chip to JPM.

Yapo mengi ya ndani marehemu amekwenda nayo mwenyewe, ndio hata baadhi ya watu wanathubutu kudai uchunguzi huru juu ya kifo chake.
ulete ushahidi kuwa kabedera was paid to make your allegation...weka ushahidi. acha kutumia DHANA, dhana haipatani na uweli
 
Ni ujinga kupambana na 'mhuni' marehemu ilhali kuna 'mhuni' yupo hai na huwezi kupambana naye.

Ndivyo walivyo wenye matatizo ya afya ya akili, i wamejaa ujinga ujinga tu kichwani.
Tatizo lao hawasemi hata mazuri yaliyofanywa, wanapiga kampeni kuhusu upande mmoja tu kwa ajili ya 2025.

Hawaoni elimu bure, maji, umeme, usiokatika wa being nafuu. Vituo vya afya, hospitali, barabara, masoko mapya, SGR, bwana ya umeme, uwajibikaji, wote kupata huduma kwa wakati bila rushwa, kuthibiti inflation, ufisadi, wizi wa maliasili.

Hawaoni mikakati iliyowekwa kulikomboa hili taifa. Lazima uwe ba tatizo la afya ya akili usipoyaona haya na kujomalia issue moja tu.
 
Kwahiyo magufuli hakuua mtu hata mmoja? MKIRU unaifahamu?
Sitaki kusema kwamba aliua au hakuua Wala hili Mimi sitaki kulizungumzia maana Kuna kuua kwa sababu mbalimbali.

Utaonekana chizi ukishangaa kwa Nini wanajeshi wa Israel wanaua wapalestina. Nayote hiyo Ni kuua pia au polisi akiua jambazi wengi wanafurahi kwa sababu jambazi Ni hatari. Amani uionayo hapa tz Kuna watu hawalali kwa sababu ya amani hii lkn pia wapo wanaokufa pia ili amani iendelee kuwepo kama hivi, lkn tunaumia pale tunapoona mtu kadhurumiwa uhai bila ya makosa yeyote. Mimi na wewe hatujui sababu yakifo Kama Ni uonevu au ilikuwa sahihi Bora kuondoshwa ili kuokoa wengi.
Pengine hili angekuwa na majibu nalo jpm mwenyewe.
Ndo sababu tunasema pole kwa familia na wananchi wanaoguswa Ni hili japo dunia in mambo mengi mkuu, isiwe tunawaza mambo yakufikirika tu.
 
Ukitaka kujua mtu muongo aliyekubuhu wana sifa moja za kufanana wawe maaskofu au yeyote utasikia marehemu aliniambia wakijua marehemu hawezi fufuka kujitetea au kusema muongo huyu Askofu

Askofu Mwamakula anaangukia kwenye hilo kundi la waongo wabobezi kwa nini hakusema hayo Magufuli akiwa hai?

Nasikia kuna hadi video clips.Ni maombi yangu kwamba hizo clips zisiletwe humu.wala tusiendelee na ubishi utakaosababisha hizo clips ziletwe humu.Wacha jambo hili liishie haoa tuangalie yajayo.hata kama ni kweli au ai kweli jambo jema ni kulimaliza hili jambo ambalo ni gunu kwa kweli.

Unajua mtu hawezi kuleta tuhuma zenye ukakasi mkubwa namna hii bila kuwa na hard back up.

Nafahamu,Kabendera ni kati ya well trained Investigative Journalist hapa nchini,by the way ni wachache wandishi wenye kaliba yake.Pia tusishau kwenye network yake wapo pia watu wa mifumo ambao pengine hawakupenda uonevu.

Nilimlifuatilia kwa karibu wakati akiwa na ile kesi ya kuhujumu uchumi nikagundua ni mtu jasiri ambaye pia ni consistent.
 
Nilikuwa napinga sana dhana ya Prof PLO Lumumba wa Kenya juu ya miradi ya " Religion Industry ". Nadhani ni muda muafaka kutafari msimamo wangu juu ya hili.
Viongozi wa dini ni mwananchi kama wewe anahaki ya kikatiba ya kuongelea nchi yake vile anavyoona
Ukiwa kiongozi wa dini huzuuliwi kutoa maoni yako dhidi ya nchi
 
Back
Top Bottom