Haukuwa wakati wake kivipi?Hakuna ambaye angeweza kuyasema, haukua wakati wake.
Kwa hiyo muhusika akishakufa ndio muda sahihi WA kusema maovu yake ambayo yalipaswa kumuweka hatiani?
Mbona Tindu Lissu yeye alisema kabisa wazi Tena Kwa uthibitisho wa kimazingira kwamba Magufuli ndio alitaka kumuua akishirikiana na Makonda, kipindi Magufuli akiwa Bado yupo hai?
Kwanini na Hawa akina Kibendera na huyu Askofu wa Mchongo wasingesema haya yote wakati Magufuli bado yupo hai? Na hii ndio ingewapa credibility ya haya wanayoyasema....
Sasa wao wamesubiri imeshapita miaka kadhaa Magufuli ameshakufa eti ndio wanakuja kuujuza umaa hili tuyafanyie Nini Sasa??
Au nia na makusudio ya kutoa hiki kitabu Kwa kipindi hiki ni Nini hasa???
Haya tumeshafahamu Magufuli alimuua Saa8 na alitaka kumuua na huyo Askofu uchwara tuchukue hatua Gani Sasa???