Askofu Mwamakula: Sikutarajia yaliyoandikwa na Kabendera yangewekwa hadharani wakati wa uhai wangu

Askofu Mwamakula: Sikutarajia yaliyoandikwa na Kabendera yangewekwa hadharani wakati wa uhai wangu

Hakuna ambaye angeweza kuyasema, haukua wakati wake.
Haukuwa wakati wake kivipi?

Kwa hiyo muhusika akishakufa ndio muda sahihi WA kusema maovu yake ambayo yalipaswa kumuweka hatiani?

Mbona Tindu Lissu yeye alisema kabisa wazi Tena Kwa uthibitisho wa kimazingira kwamba Magufuli ndio alitaka kumuua akishirikiana na Makonda, kipindi Magufuli akiwa Bado yupo hai?

Kwanini na Hawa akina Kibendera na huyu Askofu wa Mchongo wasingesema haya yote wakati Magufuli bado yupo hai? Na hii ndio ingewapa credibility ya haya wanayoyasema....

Sasa wao wamesubiri imeshapita miaka kadhaa Magufuli ameshakufa eti ndio wanakuja kuujuza umaa hili tuyafanyie Nini Sasa??

Au nia na makusudio ya kutoa hiki kitabu Kwa kipindi hiki ni Nini hasa???

Haya tumeshafahamu Magufuli alimuua Saa8 na alitaka kumuua na huyo Askofu uchwara tuchukue hatua Gani Sasa???
 
Kwahiyo kila mtu anaweza kuita mwingine mbakaji, mlawiti, muuaji akaandika kitabu bila ushahidi wowote mtu huyo akiwa kafariki.

Tuhuma nzito kama hizo inabidi ziwe na ushahidi usio na shaka, sio nimeambiwa hivi, vile, hearsay, huwasemi hata walikuambia.

Vipi wewe ukipewa hizo tuhuma bila ushahidi wowote unaona ni sawa?
Ushahidi upi unaoutaka wewe? unataka uonyeshwe clip jiwe alipokuwa anauwa?
Unataka uonyeshwe clip jiwe alipomzukia bi mkubwa na pajama akilazimisha apewe mzigo?
Kabendera keshaweka vyanzo vyake vya infos, mwamakula naye kathibitisha.
If ni kutokuwa na maadili hadi kuchepuka nje ya ndoa yake nenda kwa angel kai. (kaione copy ya marehemu wenu) maana alizaa naye mtoto na yupo hai huku akijua kabisaa ni mke wa mtu na akampa mume wa jamaa ubaloz wa mbal ili ale mzigo kiulain
Ila marehrmu wenu alikuwa dhaif sana kwa wanawake weupe aisee.
Wewe weka ushahidi wako hapa kuwa marehemu hakuwa mchafu alikuwa mtu safi tena mfano wa kuigwa.
 
Umerukia mambo mengi. Tuliza mawazo andika taratibu tumia paragraphs ueleweke unauliza au unatoa ujumbe gani.
 
Umerukia mambo mengi. Tuliza mawazo andika taratibu tumia paragraphs ueleweke unauliza au unatoa ujumbe gani.
Pole, imekuchoma, ni kweli marehemu wenu alikuwa na mambo mengi machafu mengi sana.
Kupitia marehemu wenu mjifunze kutenda mema kwa kuwa ipo siku kila mtu atatoa hesabu ya aliyoyatenda pindi akiwa hai.
 
Sasa wao wamesubiri imeshapita miaka kadhaa Magufuli ameshakufa eti ndio wanakuja kuujuza umaa hili tuyafanyie Nini Sasa??
Kwani hata wangesema kipindi hicho Magufuli yupo mngefanya nini ? ...

Hao kina Saanane walitoa taarifa kuhusu usalama wao kuwa hatarini, kipi mlifanya Sasa ?

Haya tumeshafahamu Magufuli alimuua Saa8 na alitaka kumuua na huyo Askofu uchwara tuchukue hatua Gani Sasa???
Ni vizuri tumefahamu aina ya kiongozi tuliyekuwa nae ila kama raia tusiruhusu hayo yatokee tena
 
Pole, imekuchoma, ni kweli marehemu wenu alikuwa na mambo mengi machafu mengi sana.
Kupitia marehemu wenu mjifunze kutenda mema kwa kuwa ipo siku kila mtu atatoa hesabu ya aliyoyatenda pindi akiwa hai.
Hata kupangilia mawazo yako sentensi chache ueleweke kwako ni shida, unaweza kweli kujadiliana.
 
Kuna hao walio hai sasa nao kashindwa kuwataja kwa majina yao...

Huyu bishop ni mnafiki mkubwa
Ukitaka kuamini huyu Askofu wa Mchongo ni mshezy tu na hana lolote la maana zaidi ya kuchase clout na kutumika kibiashara Kwa huyo Kibendera.

Angalia emeshindwa kuwataja hata hao waliokuwa wanatumwa na Magufuli kumpa vitisho, kama yeye ni msimamia haki na mkweli, kwani asiwataje hao maharamia waliokuwa wanatumiwa na Magufuli hili kila mtu awajue na Tena hii itaongeza credibility kwenye hicho kitabu chao
 
Hata kupangilia mawazo yako sentensi chache ueleweke kwako ni shida, unaweza kweli kujadiliana.
Unahamisha magoli ehh kweli we chawa kindakindaki wa marehemu haya pole sana endelea na msiba wa jiwe kwa kuwa umetoneshwa kindonda ndugu kumhusu huyu marehemu.
 
Sasa mwamakula, nae si kitabu hiki kashakiandika nae🤣🤣🤣🤣...
 
Unahamisha magoli ehh kweli we chawa kindakindaki wa marehemu haya pole sana endelea na msiba wa jiwe kwa kuwa umetoneshwa kindonda ndugu kumhusu huyu marehemu.
Rekebisha, ujumbe wako swali lako ueleweke, ujibiwe, kitu kidogo. Mengine ni maoni yako na matusi, level yako, uwezo wako wa majadiliano.
 
Kwani hata wangesema kipindi hicho Magufuli yupo mngefanya nini ? ...

Hao kina Saanane walitoa taarifa kuhusu usalama wao kuwa hatarini, kipi mlifanya Sasa ?

Ni vizuri tumefahamu aina ya kiongozi tuliyekuwa nae ila kama raia tusiruhusu hayo yatokee tena
Kwa hiyo kama taarifa hata zingetolewa kipindi Cha uhai wake na kipindi hiki ambacho tayari hayupo hakuna hatua yoyote Wala chochote kinachofanyika, Sasa taarifa hizo zinatolewa za nini Sasa?

Hebu soma Tena hicho kiparagraph chako Cha mwisho, kwamba mkishajua Magufuli alikuwa ni kiongozi WA aina Gani ndio mtapata fundisho hili siku nyingine msiongozwe na kiongozi WA aina yake sio?

Haya Sasa hivi hayo maovu yaliokuwa yananyika kipindi Cha magufuli kwani yameisha??? Na mko chini ya kiongozi Gani kwani???

Tatizo nyie wapiga kelele wa mitandaoni akili zenu na upeo wenu ni duni sana japo mnajionaga mko smart 🤓.
 
Hawezi kuwataja kwa sababu hawapo na hawajawahi kuwepo so no evidence
Ndio maana nasema ni wajinga na majuha wenye akili ndogo ndio wataamini hizi hekaya za huyu mkimbizi Kibendera na huyo Askofu wa Mchongo.

Kwanza kitendo tu Cha yeye kuandika kitabu hicho Kwa lugha ya kibeberu ilihali akijua kwamba ni watanzania wachache sana wanayoielewa hiyo lugha Kwa ufasaha, tayari kinaleta maswali mengi sana ni sahihi kumuhesabu kama adui wa taifa.
 
Ukitaka kujua mtu muongo aliyekubuhu wana sifa moja za kufanana wawe maaskofu au yeyote utasikia marehemu aliniambia wakijua marehemu hawezi fufuka kujitetea au kusema muongo huyu Askofu

Askofu Mwamakula anaangukia kwenye hilo kundi la waongo wabobezi kwa nini hakusema hayo Magufuli akiwa hai?
Huyo Askofu sijawahi kumuamini mpaka na uaskofu wake na kanisa lake
 
Hakunaga Siri ya watu wawili na kuendelea Duniani.
Kila ubaya utawekwa wazi, ni swala la muda tu.
Damu ya binadamu ina Siri kubwa sana na aijuaye ni Muumbaji Mungu mwenyewe .

Imeandikwa; kila liliositirika kwa hila, dhuruma na ouvu litawekwa wazi na Muumbaji Yaani Mungu kwa njia azijuazo yeye.
Muda ni Mwamuzi mzuri sana.
Ikulu yenyewe ile imezungukwa na cctv kila kona tukipita nje tunaziona.

Nina uhakika maofisa waliokuwa window siku hiyo wote walijua kuwa Ben Saanane kauwawa na Magufuli na ndo mana siri hii ilivuja hata kabla JPM hajafa
 
Ndio maana nasema ni wajinga na majuha wenye akili ndogo ndio wataamini hizi hekaya za huyu mkimbizi Kibendera na huyo Askofu wa Mchongo.

Kwanza kitendo tu Cha yeye kuandika kitabu hicho Kwa lugha ya kibeberu ilihali akijua kwamba ni watanzania wachache sana wanayoielewa hiyo lugha Kwa ufasaha, tayari kinaleta maswali mengi sana ni sahihi kumuhesabu kama adui wa taifa.
Kuna watu wanaabudu mzimu mzee Magu. Wanaona alikuwa mungu japo sikatai kwao anaweza akawa mungu. Ila hili la kumtetea bila kujua udhaifu wake linatia shaka sana juu ya huko tuendako. Hivi mliwahi kujiuliza kwa nini familia haiongeaji!!. Pia hii ni kufuru kwamba Mungu hana watu wengine zaidi yake. Kama ingekuwa hivyo Mungu angemwacha, na ni vyema kujua akili za Mungu hazichunguziki, yeye ni zaidi ya viumbe vyote
 
Wewe mzee akili huna matako wewe.

Kwa hiyo ulitaka familia yake ianze kutanga Tanga mitandaoni inawajibu kejeri na comments zenu za chuki dhidi ya marehemu ndio uone kwamba anastahili kutetewa au???

Ni obvious familia yake Haioni haja ya kupigizana kelele na nyie watu ambao mmetawaliwa na uchungu moyoni... Kama ni kujibizana na watu wanaokomsoa raisi hiyo kazi wanaiweza familia ya kiswahili ya Samia hasa yule mtoto wake WA kike, ambaye alisema Huwa analia machozi akiona watu wanavyomsema mama yake mitandaoni.

Na pia acha kumhusisha Mungu kwenye upumbavu wako WA uzeeni.

Wewe kaa hapo akiwalamba makalio mafisadi wakudondoshee hizo elfu 10 10 hili update kuishi nyau wewe.
 
Back
Top Bottom