Askofu Mwamakula sio mhuni, wahuni ni nyie mnaotetea maovu. Watanzania tunataka Katiba Mpya

Hivi we bwege kwa sasa raia wa kawaida wanaweza kuwashitaki hawa watu wanaoua ndugu zao kimakosa bila baraka za Dpp? Rasimu ya Warioba haikupendekenza tume huru? Leo hii unaweza kuhoji matokeo ya urais mahakamani?
 
Tunataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi
 
Ngoja nijikalie kimya maana ukitoa michango isiyomfurahisha mtoa utaoga matusi ya nguoni......
 
We mpuuzi suala katiba mpya linamhusu kila mtanzania. Sio Chadema tu.
 
Wamkamate watahamasisha vurugu na hii ndiyo itageuka kuwa fimbo yao ya kujichapia
 
Tumempuuza askofu Mwamakula hivyo ameachiwa Kwa dhamana"" read between the line
 
Hajawahi na hatakuja kua mhuni....... Wahuni ni wanasiasa wahuni na waovu ambao kila mara wanakimbilia kujionyesha kwenye madhabahu ya dini na kutaka waombewe huku wakiamuru mauaji ya wenzao kila siku huku wakotumia nyumba za ibada kuongelea siasa.........

Akina Martin Luther na kina Desmond Tutu walitumia utumishi wao vema sana...... Viongozi wote wa kidini akiwemo Yesu walikemea wanasiasa na kudai haki kila uchao.....

Ni mbwa wachache tu wasaka vyeo ndio wanaweza kumuongelea vibaya Askofu Halisi na Mpenda haki km. Biblia inavosema kua Haki huinua Taifa ndio wanaenda kinyume na maneno yake kwa maslahi yao na familia zao sio ya jirani zao na taifa
 
Kwahiyo wewe unashauri nini sasa labda unaweza kuwa na jipya?
 
Kwahiyo wewe unashauri nini sasa labda unaweza kuwa na jipya?
Msije na madai ya katiba kwa lengo la kuitoa ccm madarakani. Ainisheni faida za katiba mpya ili na wasio wanazi wa vyama waone watafaidikaje.

Lengo la katiba siyo kuitoa ccm madarakani kama mnavyoaminishana nyie.
 
Mhuni ni mambosasa na vijana wake wa kamata kamata za kishamba
 
Msije na madai ya katiba kwa lengo la kuitoa ccm madarakani. Ainisheni faida za katiba mpya ili na wasio wanazi wa vyama waone watafaidikaje.

Lengo la katiba siyo kuitoa ccm madarakani kama mnavyoaminishana nyie.
Tumia akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…