Alikuwa anachukua notes akapitiliza na kusinzia angalia macho kayafunga huenda hata anakoroma.Hapa mbona wassira anachukua notes πππππππ
Haa ha π€£ π π yaani we jamaa umeelewa kama nilivo elewa mimi, askofu kazumgumza kwa code, askofu Mwamakula anajulikana misimamo yake, leo katumia code kufikisha ujumbe.Kama ni kweli, huo ni zaidi ya unafki ππ
Ujumbe sio TBC kuomba radhi Ila mteuliwa kusinzia kikaoni..
Hivi katika dunia hii kuna baadhi wanatakiwa waheshimiwe?,Askofu Mwamakula amesema mzee Wassira licha ya kuwa ni Makamu mwenyekiti wa CCM Lakini pia ni Kiongozi mstaafu wa serikali anayepaswa kuheshimiwa na Taasisi zote
Askofu Mwamakula amesema siyo sahihi TBC kurusha picha ya Mzee Wassira akiwa amesinzia kikaoni
TBC wanapaswa kujieleza na kuomba radhi, amesisitiza askofu Mwamakula Ukurasani X
Ahsanteni sana
Askofu Mwamakula amesema mzee Wassira licha ya kuwa ni Makamu mwenyekiti wa CCM Lakini pia ni Kiongozi mstaafu wa serikali anayepaswa kuheshimiwa na Taasisi zote
Askofu Mwamakula amesema siyo sahihi TBC kurusha picha ya Mzee Wassira akiwa amesinzia kikaoni
TBC wanapaswa kujieleza na kuomba radhi, amesisitiza askofu Mwamakula Ukurasani X
Ahsanteni sana
Ukweli na uhakika πππHaa ha π€£ π π yaani we jamaa umeelewa kama nilivo elewa mimi, askofu kazumgumza kwa code, askofu Mwamakula anajulikana misimamo yake, leo katumia code kufikisha ujumbe.
Well, tusio angaliaga TBC hatimae tumefikiwa na TBC, yaani utake usitake TBC itakufikia tu, leo tumefikwa
Kwani nawe si TBC!!??Halafu baadaye niombe radhi? πΌ
Hujui vijembe wewe?Kama ni kweli, huo ni zaidi ya unafki ππ
Ujumbe sio TBC kuomba radhi Ila mteuliwa kusinzia kikaoni..
Nimesikiliza alichoongea jana kwenye UWT, nimejionea aibu kwa kufahamiana naye kwa kweli.Anasinzia huku anaandika akija kukurupuka hapo utasikia ati Lissu hivi Lissu vile CHADEMA hivi CHADEMA vile...
Mzee wa kusinzia.Askofu Mwamakula amesema mzee Wassira licha ya kuwa ni Makamu mwenyekiti wa CCM Lakini pia ni Kiongozi mstaafu wa serikali anayepaswa kuheshimiwa na Taasisi zote
Askofu Mwamakula amesema siyo sahihi TBC kurusha picha ya Mzee Wassira akiwa amesinzia kikaoni
TBC wanapaswa kujieleza na kuomba radhi, amesisitiza askofu Mwamakula Ukurasani X
Ahsanteni sana
Akili kubwa sana MwamakulaAskofu Mwamakula amesema mzee Wassira licha ya kuwa ni Makamu mwenyekiti wa CCM Lakini pia ni Kiongozi mstaafu wa serikali anayepaswa kuheshimiwa na Taasisi zote
Askofu Mwamakula amesema siyo sahihi TBC kurusha picha ya Mzee Wassira akiwa amesinzia kikaoni
TBC wanapaswa kujieleza na kuomba radhi, amesisitiza askofu Mwamakula Ukurasani X
Ahsanteni sana
CCM hawamtendei haki huyu mzeeNa leo tena limesinzia huko Dodoma