Askofu Mwamakula: Siyo Sahihi TBC kurusha picha ya Mzee Wassira akiwa amesinzia kikaoni, TBC Wajieleze na kuomba radhi

Kama ni kweli, huo ni zaidi ya unafki 😁😁

Ujumbe sio TBC kuomba radhi Ila mteuliwa kusinzia kikaoni..
Haa ha 🀣 πŸ˜† πŸ˜„ yaani we jamaa umeelewa kama nilivo elewa mimi, askofu kazumgumza kwa code, askofu Mwamakula anajulikana misimamo yake, leo katumia code kufikisha ujumbe.

Well, tusio angaliaga TBC hatimae tumefikiwa na TBC, yaani utake usitake TBC itakufikia tu, leo tumefikwa
 
Askofu Mwamakula amesema mzee Wassira licha ya kuwa ni Makamu mwenyekiti wa CCM Lakini pia ni Kiongozi mstaafu wa serikali anayepaswa kuheshimiwa na Taasisi zote

Askofu Mwamakula amesema siyo sahihi TBC kurusha picha ya Mzee Wassira akiwa amesinzia kikaoni

TBC wanapaswa kujieleza na kuomba radhi, amesisitiza askofu Mwamakula Ukurasani X

Ahsanteni sana
Hivi katika dunia hii kuna baadhi wanatakiwa waheshimiwe?,

Swali fikirishi je wale wanaopewa heshima lakini wenyewe hawajiheshimu tunafanyaje, kama taifa,

Huku mtaani walevi na watu ambao wenyewe hawajiheshimu hawaheshimiki

Similarly, self-discipline is bottom line for you to be respected by others

Ukijiheshimu utaheshimiwa Tena sana

Public figures have to keep their words = viongozi wa kitaifa inatakiwa watunze kauli zao
 
Hatutaki mambo ya kuficha ukweli, ndio maana wewe askofu uliambiwa Yesu alifufuka na ukakubali bila huhoji. Hapo unahoji nini? Ni ukweli anasinzia sababu ya uzee.
 
Askofu Mwamakula amesema mzee Wassira licha ya kuwa ni Makamu mwenyekiti wa CCM Lakini pia ni Kiongozi mstaafu wa serikali anayepaswa kuheshimiwa na Taasisi zote

Askofu Mwamakula amesema siyo sahihi TBC kurusha picha ya Mzee Wassira akiwa amesinzia kikaoni

TBC wanapaswa kujieleza na kuomba radhi, amesisitiza askofu Mwamakula Ukurasani X

Ahsanteni sana
 
Attachments

  • AF816DD9-9848-4505-B60E-06AA4F30965D.jpeg
    AF816DD9-9848-4505-B60E-06AA4F30965D.jpeg
    147.8 KB · Views: 3
Haa ha 🀣 πŸ˜† πŸ˜„ yaani we jamaa umeelewa kama nilivo elewa mimi, askofu kazumgumza kwa code, askofu Mwamakula anajulikana misimamo yake, leo katumia code kufikisha ujumbe.

Well, tusio angaliaga TBC hatimae tumefikiwa na TBC, yaani utake usitake TBC itakufikia tu, leo tumefikwa
Ukweli na uhakika 😁😁😁
 
Huyu mnaemuita Askofu ni mnafiki sana, hapo kaamua kufikisha ujumbe kinafiki huku akiwapondea tibisii
 
Anasinzia huku anaandika akija kukurupuka hapo utasikia ati Lissu hivi Lissu vile CHADEMA hivi CHADEMA vile...
Nimesikiliza alichoongea jana kwenye UWT, nimejionea aibu kwa kufahamiana naye kwa kweli.

Yaani yeye full kuisema CHADEMA na Lissu, badala ya kumuuza huyo asiyeuzika.
 
Askofu Mwamakula amesema mzee Wassira licha ya kuwa ni Makamu mwenyekiti wa CCM Lakini pia ni Kiongozi mstaafu wa serikali anayepaswa kuheshimiwa na Taasisi zote

Askofu Mwamakula amesema siyo sahihi TBC kurusha picha ya Mzee Wassira akiwa amesinzia kikaoni

TBC wanapaswa kujieleza na kuomba radhi, amesisitiza askofu Mwamakula Ukurasani X

Ahsanteni sana
Mzee wa kusinzia.
 
Nimekumbuka hotuba ya Makongoro wakati wa kampeni mwaka fulani huko nyuma - inayofupishwa kwa maneno "bado yupo tu". Alikuwa akielezea jinsi mzee huyu asivyokubali kun'gatuka.
 
Askofu Mwamakula amesema mzee Wassira licha ya kuwa ni Makamu mwenyekiti wa CCM Lakini pia ni Kiongozi mstaafu wa serikali anayepaswa kuheshimiwa na Taasisi zote

Askofu Mwamakula amesema siyo sahihi TBC kurusha picha ya Mzee Wassira akiwa amesinzia kikaoni

TBC wanapaswa kujieleza na kuomba radhi, amesisitiza askofu Mwamakula Ukurasani X

Ahsanteni sana
Akili kubwa sana Mwamakula
 
Back
Top Bottom