Askofu Mwamakula: Siyo Sahihi TBC kurusha picha ya Mzee Wassira akiwa amesinzia kikaoni, TBC Wajieleze na kuomba radhi

Tamaa ilimuua fisi
 
Kwani TBC ni shirika la utangazaji la chama cha mapinduzi?
 
Sasa hapo anayetakiwa kuomba radhi ni nani? Aneyesinzia kwenye kikao? Au anayerusha matangazo?
 
Kosa liko wapi?
Huyu Askofu naye ameanza kuwa wa hovyo?
Kazi ya TBC ni kuhabarisha watu, kazi yao ilikuwa kuchukua matukio
Kosa ni lake aliyesinzia kikaoni
Kila mtu hapo alikuwa na wajibu wake, TBC achukue matukio na Wasira ashiriki kikao
 
Wewe Askofu una matatizo makubwa sana!
Hii picha ni ya zamani sana kwanini iletwe Leo.

Pili kwa namna Mzee Wasira alivyoshika kalamu vizuri mimi siamini kuwa katika picha hiyo alikuwa amesinzia!
Mtu aliyesinzia anaweza kushika kalamu na notebook vizuri kama anavyoonekana Mzee Wasira katika hiyo picha?!
Kwa namna alivyoshika kalamu huo kuna vitu alikuwa anaandika Sasa yawezekanaje mtu ambaye yupo usingizini akaandika?!
Watu wa chadema nyinyi ni wapuuzi sana mkikosa cha kusema basi hata uongo kwenu ni sera ya kisiasa.
Acheni hizo! Hamuwezi kufanikiwa kwa kudanganya watu!.
 
Sasa hapo anayetakiwa kuomba radhi ni nani? Aneyesinzia kwenye kikao? Au anayerusha matangazo?
Mzee Wasira kwenye hiyo picha kainamisha kichwa , hajasinzia !
Ukiangalia alivyoshika kalamu vizuri Kuna mambo alikuwa anaandika, na mtu aliyesinzia hawezi kuandika!.
 
Huyu Mwamakula kumbe anakuwaga Bogus hivi!?
 
Mzee akapumzike kwa umri wake ni muda wa kupunguza majukumu na kazi za chama na kiserikali na kulea wajukuu wake BUNDA.

Ukizeeka unarudi UTOTO nacho ona mzee WASSIRA kwa Sasa akili imechoka ni muda Sasa amekua ana UNDERGO NEGATIVE RETARDATION
Na Wewe naye! Hakuna negative. Retardation.It is only retardation meaning negative growth, movement,etc.
Rudi shuleni ukatoe ujinga mkuu
 
Kama ni kweli, huo ni zaidi ya unafki 😁😁

Ujumbe sio TBC kuomba radhi Ila mteuliwa kusinzia kikaoni..
Kusinzia sio kosa na wala sio ajabu !
Nimeshamuona jamaa anaendesha gari lake na huwa anasinzia kwenye mataa mpaka anapigiwa honi mingi sana 😂

Wenye kumteua wanajua tatizo lake na wamelikubali kwamba hamna shida 🙄😄👍

Atakuwa anapigiwa honi mingi akisinzia !
Mtoto wa Mkulima sijui anasemaje 😳 !
 
Na Wewe naye! Hakuna negative. Retardation.It is only retardation meaning negative growth, movement,etc.
Rudi shuleni ukatoe ujinga mkuu
Your too Naive.

"" In physics, "negative retardation" is essentially a redundant term, as "retardation" itself means negative acceleration, so a "negative retardation" would simply refer to a further decrease in velocity"""

Mwambieni mzee wenu aache kusinzia ovyo ovyo
 
Huyu askofu mnafiki sana. Lengo Lake ni kumponda tu Wasira kwamba anasinzia sinzia amechoka apumzike
 
Wewe hujui kuwa Asili ya Watu wa Mkoa wa Mara (Musoma) huwa ni Kuchukiana na Kuoneana Wivu? Nimemaliza Mkuu.
 
Sasa Mzee kupata USINGIZI mbona ni jambo jema?

Wazee wengi Huwa na changamoto ya kukosa USINGIZI!!

Anyway ikiwa anasinzia mchana, usiku Huwa anafanya KAZI Gani?
Mzee kusinzia mchana haimaanishi usiku anakuwa na kazi nyingine. Usingizi kwa mzee ni dalili za kufikia wakati wa kulala moja kwa moja, yaani ku R.I.P.
 
Sasa Kama anasinzia muda wote watume picha ipi , nchi ina viongozi wajinga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…