Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Tamaa ilimuua fisiAskofu Mwamakula amesema mzee Wassira licha ya kuwa ni Makamu mwenyekiti wa CCM Lakini pia ni Kiongozi mstaafu wa serikali anayepaswa kuheshimiwa na Taasisi zote
Askofu Mwamakula amesema siyo sahihi TBC kurusha picha ya Mzee Wassira akiwa amesinzia kikaoni
TBC wanapaswa kujieleza na kuomba radhi, amesisitiza askofu Mwamakula Ukurasani X
Ahsanteni sana