Askofu Mwamakula: Siyo Sahihi TBC kurusha picha ya Mzee Wassira akiwa amesinzia kikaoni, TBC Wajieleze na kuomba radhi

Alisinzia mwanzo hadi Mwisho wa kikao.
 
Huyu mzee ni muongo na hapaswi kuwa Askofu.
Ndo mkao wa mzee popote anapoenda na kukaa.
 

Hii ni Saifu ya rejareja. Ukisikia kuchochea kuni kwenye moto ndiyo huku.
 
Mzee Wassira hajasinzia, hapo alikuwa anaandika hiyo note book yake, picha iko wazi kabisa, kashika na kalamu, huyo Askofu wa Chadema aliyejipa uaskofu mwenyewe anaanza kuugua ugonjwa wa akili, anapenda sana attention, kila siku anamalizia anaandika Mwanakondoo ameshinda, sasa hiyo sentensi inahusika vipi na siasa..!!
 
Huyo askofu naye arudi shule
Kuvarishwa❌️
kuvalishwa✔️
 

Hii ndiyo tabia yake kupiga usingizi kwenye vikao. Kwani hii ni mara ya kwanza?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…