Askofu Mwamakula: Siyo Sahihi TBC kurusha picha ya Mzee Wassira akiwa amesinzia kikaoni, TBC Wajieleze na kuomba radhi

Askofu Mwamakula amesema mzee Wassira licha ya kuwa ni Makamu mwenyekiti wa CCM Lakini pia ni Kiongozi mstaafu wa serikali anayepaswa kuheshimiwa na Taasisi zote

Askofu Mwamakula amesema siyo sahihi TBC kurusha picha ya Mzee Wassira akiwa amesinzia kikaoni

TBC wanapaswa kujieleza na kuomba radhi, amesisitiza askofu Mwamakula Ukurasani X

Ahsanteni sana
Mzee mwenyewe amesema hakua usingizini bali alikuwa anatafakari
 
Ilishindikana kusubiri aamke wapate japo picha moja maana mzee muda wote alikuwa amesinzia hivyo ikabidi tuu wapige japo hiyo moja🤣🤣🤣
 
Mbona hapo hajasinzia anajribu kutafakari mambo yanavyoenda
 
Wajieleze kwa kosa gani,
Ameshachoka aondoke aachie nguvu mpya ifanye kazi,mzee kama huyu unampa nafasi miaka hii data inaenda kuzima kweli tunahitaji maendeleo ?
 
Askofu Mwamakula amesema mzee Wassira licha ya kuwa ni Makamu mwenyekiti wa CCM Lakini pia ni Kiongozi mstaafu wa serikali anayepaswa kuheshimiwa na Taasisi zote

Askofu Mwamakula amesema siyo sahihi TBC kurusha picha ya Mzee Wassira akiwa amesinzia kikaoni

TBC wanapaswa kujieleza na kuomba radhi, amesisitiza askofu Mwamakula Ukurasani X

Ahsanteni sana
Hajasinzia, ndivyo alivyo
 
Ifike muda sasa TIVU apumzike alee vitukuu ,miaka 80 siyo jokea aiseee.

Miaka 60 ya kufanya kazi ni muda wa kupumzika kendelea kula mafao na faida ya uwekezaji.
 
Askofu Mwamakula amesema mzee Wassira licha ya kuwa ni Makamu mwenyekiti wa CCM Lakini pia ni Kiongozi mstaafu wa serikali anayepaswa kuheshimiwa na Taasisi zote

Askofu Mwamakula amesema siyo sahihi TBC kurusha picha ya Mzee Wassira akiwa amesinzia kikaoni

TBC wanapaswa kujieleza na kuomba radhi, amesisitiza askofu Mwamakula Ukurasani X

Ahsanteni sana
Ahahahaaa kama kawaida yake
 
Hapa mbona wassira anachukua notes 😂😂😂😂😂😂😂
 
Huyu mpumbavu atulie tu kwahio kwake CCM kuteua lizee la hovyo na ambalo limechoka anaona sawa , mchungaji fake huyu. Hili jitu Wassira limechoka kitambo sana acha lifedheheke
 
Back
Top Bottom