Askofu Mwamakula: Tusilale usingizi pasipo kujua Moses Lijenje yupo wapi na ana hali gani

Askofu Mwamakula: Tusilale usingizi pasipo kujua Moses Lijenje yupo wapi na ana hali gani

Hili suala la Lijenje lilipoa baada ya ile kesi ya Mbowe kwisha, jambo ambalo halikutakiwa kufanyika, ni kama vile tulichezewa "mind game" na CCM kuimaliza ile kesi haraka ili tumsahau Lijenje.

Ni wakati wa kupaza sauti ajulikane wapi alipo Lijenje, wale polisi watuhumiwa wa kumpoteza Lijenje wakamatwe na kuhojiwa.

Hata kama imeshathibitika polisi wetu hufanya kazi kwa maslahi ya CCM na kupandishwa vyeo, hili lisitukatishe tamaa kupaza sauti zetu ili ijulikane wapi alipo Moses.
Hakika
 
Halafu akishakuwa maarufu iweje?
Acha hizo aiseee hapo yanazungumziwa maisha ya mwanadamu tena mwanaume mwenye familia.
Kuwa na huruma siasa za kingese zisikutoe kwenye kufikiria zawadi ya maisha tuliyopewa na muumba wetu.
Nawaonea huruma sana watu ambao kazi yao eti ni kupoteza uhai wa watu ipo siku watalia na kusaga meno na hawata ona msaada kamwe.uhai ni ZAWADI ya kila binadamu na haipaswi kuchezewa na mtu awaye yote.
 
Wakati huku Tanzania akina Kingai walipandiswa cheo huko Kenya ambako kuna Rais wa watu hali ni Tofauti.
 
Back
Top Bottom