Askofu Mwamakula: Tusilale usingizi pasipo kujua Moses Lijenje yupo wapi na ana hali gani

Hakika
 
Halafu akishakuwa maarufu iweje?
Acha hizo aiseee hapo yanazungumziwa maisha ya mwanadamu tena mwanaume mwenye familia.
Kuwa na huruma siasa za kingese zisikutoe kwenye kufikiria zawadi ya maisha tuliyopewa na muumba wetu.
Nawaonea huruma sana watu ambao kazi yao eti ni kupoteza uhai wa watu ipo siku watalia na kusaga meno na hawata ona msaada kamwe.uhai ni ZAWADI ya kila binadamu na haipaswi kuchezewa na mtu awaye yote.
 
Wakati huku Tanzania akina Kingai walipandiswa cheo huko Kenya ambako kuna Rais wa watu hali ni Tofauti.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…