Askofu Mwamakula: Usalama wa maisha ya Peter Madeleka uko hatarini Gerezani kisongo, Arusha!

Askofu Mwamakula: Usalama wa maisha ya Peter Madeleka uko hatarini Gerezani kisongo, Arusha!

Achukuliwe hatua kwa kosa gani wa tanganyika mbona wengine kila mikutano ya CCM wapo akina sheik nani yule
 
Nimeamua kuufuta uzi kwasababu Mods wa JF wameubadilisha kuuweka jinsi wanavyotaka wao. Kichwa cha habari kilikuwa kinasema ASKOFU MWAMAKULA ACHA UCHOCHEZI wameamua kubadili na kuweka wanavyoona wao. Na baadhi ya comments zimefutwa bila sababu. Tafadhalini JF kama mmeamua JF iwe sehemu huru ya kutoa maoni basi acheni iwe huru. Naomba ufafanuzi kama kuna kosa lolote kwenye kichwa cha habari nilichokuwa nimeweka. Pia kwanini comments zingine mzifute.
Uchochezi wa askofu hapo ni upi Matongee ? Kapewa taarifa za siri za mpango wa kutaka kuangamiza roho isiyo na hatia naye kaileta hadharani kosa liko wapi hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwamakula naye amepinda tu kama mateja yanayovuta unga. Yeye Hana kanisa wala waumini popote japo anaitwa Askofu wa Moravian Uamsho

Emmanuel Bandekile Mwamakula ni Tapeli tu kama tapeli yeyote unayomfahamu. Wenzie wa Moravian Mbeya walimtimua walipoona ni mdokozi wa sadaka
Ungana na Lissu kwenda CHATO kutubu na kukiri UZALENDO wa Magu 🙏🙏
 
Wagalatia ni magaidi,wasichekewe kabisa,wanataka kuleta machafuko kama ya central Africa
Vice versa is true,

Dunia hii Ina Amani Kwa Sababu ya uwepo wa Watumishi na WATAKATIFU wa Mungu.

Hesabu na tunza jumla ya maneno ya kinywa chako, sababu utatolea hesabu!!
 
Huyu askofu huwa nina mashaka naye maana nahisi analaaana fulani hivi kutoka kwa Mwenyezi Mungu,ndio maana ameacha kazi ya utumishi wa Mungu na kubaki mpiga Ramli ,mchochezi na mtu asiyefaa kuitwa mtumishi wa Mungu.sasa anajifanya anajificha kwenye koti la uaskofu wa kujipa,. Serikali inatakiwa iwachukulie hatua kali sana watu wa aina hii maana ni hatari kwa usalama wa Taifa kutokana na kuleta sintofahamu na mitafaruko isiyo na ukweli wala msingi katika jamii.
Hivi wewe unajiona una utimamu wa akili? Kwa upuuzi ambao huwa kila mara unaandika humu, kutakuwa na mtu aliyelaanika zaidi yako?

Unafiki ni thibitisho la laana unayoibeba nafsini mwako. Una bahati mbaya sana kwa sababu umelaanika lakini unaamini umebarikiwa. Kwa sababu hujitambui kuwa umelaanika, utabakia hovyp hivyo na laana yako imiendelea kukuandama siku zote za maisha yako.
 
Nimeamua kuufuta uzi kwasababu Mods wa JF wameubadilisha kuuweka jinsi wanavyotaka wao. Kichwa cha habari kilikuwa kinasema ASKOFU MWAMAKULA ACHA UCHOCHEZI wameamua kubadili na kuweka wanavyoona wao. Na baadhi ya comments zimefutwa bila sababu. Tafadhalini JF kama mmeamua JF iwe sehemu huru ya kutoa maoni basi acheni iwe huru. Naomba ufafanuzi kama kuna kosa lolote kwenye kichwa cha habari nilichokuwa nimeweka. Pia kwanini comments zingine mzifute.
Ina maana wamesoma content ya mada yako wakagundua haiendani na title. Ushukuru kwa kuwa wamekusaidia.

Jukwaa lina kanuni ambazo kila mwanajukwaa anastahili kuzitii.
 
Ficha upumbavu wako
Wewe hiyo habari siyo yako. Umeichota na kuja kuitungia kichwa chako cha habari. Wenye kazi yao wamekufundisha jinsi ya kuifanya hiyo kazi unaanza kulalamika.
Mimi ni Mpumbavu kweli na huwa siufichi, najivunia ili ikibidi nikuzidi.
 
Uchochezi wa askofu hapo ni upi Matongee ? Kapewa taarifa za siri za mpango wa kutaka kuangamiza roho isiyo na hatia naye kaileta hadharani kosa liko wapi hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa amekasirika, alitaka kuifubaza hii story kwa kuchomeka propaganda zake, bahati nzuri mods wakamshtukia wakabadilisha ujinga wake, sasa amenuna akafuta story yake, hakujua wagumu tunatwanga tu hata bila content, heading tu inatutosha.
 
Wewe hiyo habari siyo yako. Umeichota na kuja kuitungia kichwa chako cha habari. Wenye kazi yao wamekufundisha jinsi ya kuifanya hiyo kazi unaanza kulalamika.
Mimi ni Mpumbavu kweli na huwa siufichi, najivunia ili ikibidi nikuzidi.
Mimi ni Mpumbavu kweli na huwa siufichi, najivunia ili ikibidi nikuzidi[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wafanyaje

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

ahili FaizaFoxy alishalitolea ufafanuzi/Majibu[emoji12]
 
Back
Top Bottom