johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Akili imemrudia sasa Askofu Mwamakula?? Maana alikuwa anakithamini chama hiki kuliko hata marehemu Mzazi wake. Nakumbuka alipokufa wala hukukaa zile siku za kumila kuomboleza msiba akawahi maandamano ya CHADEMAAskofu Mwamakula amesema Waliohujumu na kuiba kura kwenye Uchaguzi mkuu wa 2020 hawatofautiani na wanaohujumu wenzao Katika Chaguzi Ndani ya Vyama
Kama Chadema kitasahau machozi ya 2020 na hakitasimamia Haki Katika Chaguzi zake basi kitakosa UJASIRI wa kulalamika kama kitahujumiwa 2025
Baba Askofu ameyasema haya Ukurasani X
Navalonge swela πππ₯
Ebwana weweAskofu Mwamakula amesema Waliohujumu na kuiba kura kwenye Uchaguzi mkuu wa 2020 hawatofautiani na wanaohujumu wenzao Katika Chaguzi Ndani ya Vyama
Kama Chadema kitasahau machozi ya 2020 na hakitasimamia Haki Katika Chaguzi zake basi kitakosa UJASIRI wa kulalamika kama kitahujumiwa 2025
Baba Askofu ameyasema haya Ukurasani X
Navalonge swela πππ₯
Kuibiwa kura za mchungaji Msigwa kumemfumbua macho ππAkili imemrudia sasa Askofu Mwamakula?? Maana alikuwa anakithamini chama hiki kuliko hata marehemu Mzazi wake. Nakumbuka alipokufa wala hukukaa zile siku za kumila kuomboleza msiba akawahi maandamano ya CHADEMA
Hali tete UfipaEbwana wewe
huyu mzee ni punguwani tu hakuna askofu hapoAkili imemrudia sasa Askofu Mwamakula?? Maana alikuwa anakithamini chama hiki kuliko hata marehemu Mzazi wake. Nakumbuka alipokufa wala hukukaa zile siku za kumila kuomboleza msiba akawahi maandamano ya CHADEMA
Mtakumbuka nasaha zake 2025πΌhuyu mzee ni punguwani tu hakuna askofu hapo
Usimlishe maneno ngoja afafanue vizuri.Kuibiwa kura za mchungaji Msigwa kumemfumbua macho ππ