Pre GE2025 Askofu Mwamakula: Waliohujumu Uchaguzi Mkuu 2020 na kuiba kura hawatofautiani na wanaohujumu chaguzi za ndani za CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Askofu Mwamakula amesema Waliohujumu na kuiba kura kwenye Uchaguzi mkuu wa 2020 hawatofautiani na wanaohujumu wenzao Katika Chaguzi Ndani ya Vyama.

Kama CHADEMA kitasahau machozi ya 2020 na hakitasimamia haki katika Chaguzi zake basi kitakosa ujasiri wa kulalamika kama kitahujumiwa 2025.

Baba Askofu ameyasema haya Ukurasani X.

Screenshot 2024-06-03 113825.png
 
Askofu Mwamakula amesema Waliohujumu na kuiba kura kwenye Uchaguzi mkuu wa 2020 hawatofautiani na wanaohujumu wenzao Katika Chaguzi Ndani ya Vyama

Kama Chadema kitasahau machozi ya 2020 na hakitasimamia Haki Katika Chaguzi zake basi kitakosa UJASIRI wa kulalamika kama kitahujumiwa 2025

Baba Askofu ameyasema haya Ukurasani X

Navalonge swela 😄😄🔥
Akili imemrudia sasa Askofu Mwamakula?? Maana alikuwa anakithamini chama hiki kuliko hata marehemu Mzazi wake. Nakumbuka alipokufa wala hukukaa zile siku za kumila kuomboleza msiba akawahi maandamano ya CHADEMA
 
Ebwana wewe
 
Kuibiwa kura za mchungaji Msigwa kumemfumbua macho 😄😄
 
Akili imemrudia sasa Askofu Mwamakula?? Maana alikuwa anakithamini chama hiki kuliko hata marehemu Mzazi wake. Nakumbuka alipokufa wala hukukaa zile siku za kumila kuomboleza msiba akawahi maandamano ya CHADEMA
huyu mzee ni punguwani tu hakuna askofu hapo
 
Back
Top Bottom